zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,738
- 36,248
Kabla ya 1960 kulikua na taifa la Tanganyika au Rwanda au Burundi? Je ina maana turuhusu tu wayahudi waichukue Tanzania sababu hakukuwahi kuwa na taifa la Tanzania kabla ya 1960??1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina
Tuanzie hapa