Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

war on iran is part of biblical prophecy ...

1773086893425.png
 
Ikiwa eneo fulani limeishiwa na makabila mbalimbali kwa maelfu ya miaka na kisha kundi jipya linaingia na kudai ardhi hiyo ni yao kwa misingi ya dini yao, ni kipi kinapaswa kuzingatiwa kwanza,:

Ushahidi wa kihistoria na hali halisi ya wakazi wa eneo waliowakuta?
Au
Hadithi ya kidini na imani ya kikundi kivamizi?
 
Wapi nimeongelea mambo ya Dini na Quran? Nimeleta utafiti wa kisayansi, we unajitungia mambo mengine kabisa na kusema nimeongea Mimi, lete tafiti yoyote unayoijua wewe kwamba Wapalestina wanaongea kiarabu basi ni waarabu kibaolojia, Sudan, Somalia, wote wanaongea Kiarabu, Sudan kusini Hadi Arab cup wanashiriki nap ni waarabu sababu wanaongea kiarabu?
Kama hicho ulichoweka ni utafiti basi naomba nikupuuze!
 
View attachment 3555308

Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu:
  • Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati.
  • Magharibi: Mpaka huu ulikuwa Bahari Kuu (Bahari ya Kati).
  • Kaskazini: Kutokea Bahari ya Kati kuelekea Mlima Hori, mpaka Hamathi na kuishia Sefami.
  • Mashariki: Kutokea Sefami, mpaka mteremko wa Bahari ya Kinerethi (Galilaya) na kufuata mto Yordani hadi Bahari ya Chumvi.
Hakuna kitu kinaitwa Palestina, waarabu ni wavamizi tu wakati wa enzi za jihad
Mungu aliwaumba Adam na Hawa. Hakuna mahali popote Biblia inasema Mungu aliumba Wayahudi na wasio Wayahudi. Hii distinction ni artificial labels ambazo zimekuwa invented na wanadamu.

Kama kuna nchi ya ahadi, basi hiyo ni nchi ya binadamu wote. Hiyo ndio nchi ambayo hata mimi na wewe tunapaswa kuwa. After all, hakuna proof kwamba mimi na wewe sio descendants wa Musa!
 
View attachment 3555308

Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu:
  • Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati.
  • Magharibi: Mpaka huu ulikuwa Bahari Kuu (Bahari ya Kati).
  • Kaskazini: Kutokea Bahari ya Kati kuelekea Mlima Hori, mpaka Hamathi na kuishia Sefami.
  • Mashariki: Kutokea Sefami, mpaka mteremko wa Bahari ya Kinerethi (Galilaya) na kufuata mto Yordani hadi Bahari ya Chumvi.
Hakuna kitu kinaitwa Palestina, waarabu ni wavamizi tu wakati wa enzi za jihad
Lakini hawa wa leo DNA inawakataa.....

Lakini waliopo si wenyewe DNA inagoma....
 
Wajukuu wa Musa ndio Wapalestina wa Leo, Musa hakua Mzungu so is hao wayahudi wa Zamani.

Scientific studies zinaonesha Wapalestina wa Leo Wana same DNA na wayahudi walioshi wakati wa Yesu Na Musa.

Sababu MTU katoka Ulaya anajiita myahudi haimfanyi yeye kuwa ni descendant wa Musa.
Kobaz kwa kujifariji tu.
 
Wafilisti ni wagiriki they have nothing to do na Wapalestina wa sasa. Wapalestina wa sasa ndio waebrania wa zamani. Pamoja na watu wa Lebanon, Syria na Jordan. Tafiti kibao zimefanya ni suala kila MTU analijua. Hakuna Tofauti yoyote baina ya Mpalestina muisilamu, Mpalestina mkristo na Mpalestina myahudi.

Hao mnaowaita wa Samaritan hawaoani na MTU na ndio watu wenye DNA Kali ya Ki ebrania, moja ya tafiti ni hii
View attachment 3555649
Ukiangalia hapo Makundi mbalimbali ya huo Ukanda wote Wana DNA Kali ya Ki Israelite, Samaritan wakiongoza na wengine wakiwa hawapo mbali. Hapo ndio wayahudi halisi wa zamani ambao wamekaa hapo maelfu ya miaka na sasa hivi wanauliwa na wayahudi toka Ulaya ambao hawana claim yoyote na hio Ardhi.
Jitu jeusi tena. Dah haya bana ukifa itabadilika kuwa liarabu.
 
Sawa rudi Mwanzo 13 je hiyo ardhi ilikua ya nani hadi Abraham akatolea fungu la kumi? Maana alikuta kuna wakaaji kabisa wenye ardhi yao.

Na ardhi alipewa Abraham sio waisrael nashangaa kwanini waisrael wamejimilikisha!!

1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina

2. Kabla ya Ukoloni wa Mwingereza mwaka 1917 kulikuwa utawala wa Dola ya Ottoman, hii pia haikuwa Palestina

3. Mamluks wa kutoka Misri walitawala eneo hilo kabla ya Dola ya Ottoman kati ya mwaka 1249-1517, hii haikuwa Palestina

4. Kabla ya ujio wa Mamluk wa Misri eneo hilo lilikuwa chini ya utawala wa dola ya Kikurdi ya Ayubid-Arab kuanzia 1169-1260, hii pia haikuwa Palestina

5. Kablabya Dola ya Ayubid kukikuwa utawala wa Frankish, hii pia haikuwa Palestina

6. Kati ya mwaka 750- 1177 eneo hilo lilikuwa chini ya utawala Umayyad na Fatmid, hawa nao hawakuwa wa Palestina

7. Dola ya Byzantine ilitawala eneo hili kuanzia mwaka 313- 636, hawa hawakuwa wa Palestina

8. Kabla ya dola ya Byzantine eneo hili lilitawaliwa na wa Sassanids kuanzia mwaka 602-628, hii haikuwa Palestina

9. Kabla ya Dola ya Sassanids kulikuwa na Dola ya Byzantine tena, hii haikuwa Palestina

10. Kabla ya Dola ya Byzantine kulikuwa na Dola ya Kirumi kuanzia mwaka 63 BC - 336 AD, hii haikuwa Palestina

11. Kabla ya Dola ya Kirumi kulikuwa na utawala wa Hasmonean kuanzia mwaka 140 BC- 37BC, hawa walikuwa Wagiriki siyo Palestina

12. Kabla ya Hasmonean kulikuwa na Dola ya Seleucid kuanzia mwaka 198 BC- 135 BC, hawa walikuwa Wagiriki siyo Palestina

13. Kabla ya Seleucid eneo hili lilitawaliwa na Dola Alexander The Great kuanzia mwaka 330 BC- 315 BC

14. Kabla ya Alexander The Great eneo hilo lilikuwa chini ya Dola ya Persia kuanzia 545 BCE- 538. BCE

15. Kabla ya Dola ya Persia eneo hilo lilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Babylon kuanzia 597 BC- 539 BC, hawa walitoka Iraq ya sasa na hawakuwa wa Palestina

16. Kabla Dola ya Babylon haijaivamia Jerusalem ilikuwa chini ya himaya 2 za Israel na Yuda kuanzia mwaka 722 BC, hizi hazikuwa Palestina

17. Kabla ya Utawala wa Israel na Yuda kulikuwa na utawala wa Israel 930 BC, hii haikuwa Palestina

18. Kabla ya Israel kulikuwa utawala wa makabila 12 ya wana wa Yakobo ambao ndiyo Israel, ndiyo kipindi cha Mfalme Saul, hii haikuwa Palestina.

19. Kabla ya makabila 12 kulikuwa utawala wa dola ndogo ndogo za Caanan, nayo haikuwa Palestina
 
Wafalme na siyo machifu, kina mwanamalundi, mkwawa, majebele, mangi meli nk nk wanafurukuta makaburini kwa mtu mweusi hasa mtanzania kujifanya anaamini biblia na hasa hao wauaji, wateka ardhi za binadamu wenzao...
 
View attachment 3555308

Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu:
  • Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati.
  • Magharibi: Mpaka huu ulikuwa Bahari Kuu (Bahari ya Kati).
  • Kaskazini: Kutokea Bahari ya Kati kuelekea Mlima Hori, mpaka Hamathi na kuishia Sefami.
  • Mashariki: Kutokea Sefami, mpaka mteremko wa Bahari ya Kinerethi (Galilaya) na kufuata mto Yordani hadi Bahari ya Chumvi.
Hakuna kitu kinaitwa Palestina, waarabu ni wavamizi tu wakati wa enzi za jihad

Enhee... usitoe historia za upande mmoja tu ili kubeba agenda zako...

na Mwanzo 15 : 18 imesemaje ? Middle East yote wamepewa wao! Kuazia Mto Nile mpaka Mto Euphrates ( Iraq kule)

Sasa tushike lipi tuache lipi ??

2. Kuhusu Palestinians kuvamia eneo. Jibu hili:

Wakati wana wa Israeli wanapewa Kanaani, au Middle East yote ( Mwanzo 15 ) eneo hilo palikuwa ni kama mapori ya Mabwepande ??? Kina nani walikuwepo hapo ?????
 
Mwanzo 15:18 Siku ile Bwana akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati,

Unadhani uzao wa Abraham unaoongelewa hapa ni upi?

Ni huu Abraham-Izaka-Yakobo
 
Swala la msingi ni kuwa wayahudi hawaamini katika Christ au bible,

Sasa wanapata Imani ya nchi yao kama kitabu au nabii aliwanyanyua hawamuamini,

Huu ni uwendawazimu Tu, how do you justify something from nothing (unbelievable things)
 
Back
Top Bottom