bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
kwani na Israel hakuna wanajeshi waliouwawa, au umeganda na propaganda za tv za ulaya na marekani ambazo kwa asilimia kubwa hawatangazi? Hukuliona lile jengo lao ambalo lilikusanya wanasayansi kibao lilipopigwa na wanasayansi wao kufariki, au na uwanja wa ndege wao ulipochakazwa?Visingizio vya kijinga kabisa!! Unataka kuniambia Iran yeye hapati misaada kutoka nchi nyingine?
Kama Russia ambayo inaitwa Supapawa inasaidiwa na nchi zingine itakuwaje sasa kwa nchi kama Iran ambayo viongozi wake wa kijeshi zaidi 30 waliuwawa kijinga akiwemo Mkuu wa majeshi itakuwaje!? Acha visingizio vya kijinga na kipumbavu!!!!
Ningekushauri ukasikiliza pande zote mbili uondoe hiyo bias yako.