Israel na ukiristo

Israel na ukiristo

Status
Not open for further replies.
Mkuu tukusikie na wewe ambaye sio copy and paste,,,au na wewe kacopy na kupaste halafu ulete hapa tuone.
...
Si tatizo lako! ...hujui unalotaka kueleza!
"copy & paste"
 
Hapo msaada wa Mungu juu ya hayo yotee unahitajika ili kuijua kweli sahihi
 
Mkuu hii ni sawa na kusema Mh Rais amezaliwa Mkoa wa Pwani halafu mwingine akasema amezaliwa Msoga,,,its one and the same thing...kama huelewi seek clarification.
Eti Yesu Kristo alizaliwa Nazareth, watu wengine bana! Kwa nini mnapenda kuandika vitu msivyovifahamu?
 
Jadili hoja! usimjadili mtoa hoja, alichokisema ndio ukweli wenyewe, wayahudi hawatambui Uungu wa yesu,wakimaliza kuwatwanga waislam watawageukia wakristo,

So what? Silly! Mnajulikana na propaganda zenu za kishetani!
 
kazi kweli kweli. sasa hawa freemasson lengo la kutaka kuwa na dini moja ni nini hasa?
 
so yote haya yapo, yanafanyika na yanaendelea kufanyika? afu na Mungu pia yupo anaangalia?? kama ni hivo basi this world and everythhing in it is a serious joke.
 
Ni kweli Mkuu Yesu alizaliwa Bethelemu, Judea ya Galilaya ambayo ilikuwa Nazareth kipindi hicho ndo maana wameandika Nazareth is the home town of Jesus Christ.
naona bado unachanganya..nazarethi ilikua ni kwao marry mamake yesu na ndiko alipatia mimba ,ila kumzaa yesu alimzalia bethelehemu walikua wameenda kwenye sensa yeye na mmewe joseph.

Lakini nazareth ndo mji aliokulia yesu baada ya yeye na wazazi wake kutoka uhamishoni misri.
Japo yesu alipofikia utu uzima ilibidi aondoke nazareth juu wenyeji wa nazareth hawakupatana nae akawa anaishi galilaya.
 
Jewish ndo waanzilishi wa Freemanson ambayo kwa kiasi kikubwa wanaamini Lucifier kama their God
 
Long live Israel! Long live sons of Sarah and Ibrahim!
 
Exactly!..... Ni pepo linalotaka kujenga chuki dhidi ya Israel kwa vile linajua Mwokozi wa Dunia katokea Taifa hilo! Lucifer ana mbinu nyingi sana! Anajifanya ana mapenzi na ukristo kumbe ni devil at work kupotosha wanadamu!

Kikubwa kinachofanyika na ndugu zetu ni kutuambia kua Wayahudi hawautambui ukristo!

Lkn ukiangalia ata wao hawawapendi Wayahudi! Sasa wakati Wa Yesu Wayahudi walimsulubusha Yesu kwa makosa ya sifa zake Yesu! Walikua wakipinga Sifa zake Yesu kitu ambacho ni sawa na wao wanavyopinga Sifa zake Yesu na kuupinga ukristo kua Hakuna hiyo Imani! Sasa Km Wayahudi wanapinga Sifa za Yesu na ukristo utawatofahtisha vipi Na Hawa ndugu zetu na Wayahudi?
Wako sawa kiimani Hawa wote ni wapinga Kristo wanaopatikana ktk kitabu cha Yohana Wa Pili 2:22.

Asante!
 
Mkuu hii ni sawa na kusema Mh Rais amezaliwa Mkoa wa Pwani halafu mwingine akasema amezaliwa Msoga,,,its one and the same thing...kama huelewi seek clarification.
Mkoa ulikuwa Galilaya wala sio Nazareti. Ulichokisema wewe ni sawa na kusema rais alizaliwa kisarawe. Kisarawe na msoga vyote viko pwani ila si sahihi kusema kisarawe ni sawa na msoga. Narudia tena, tatizo ni kupenda kuongelea vitu msivyovielewa.
 
Mkuu Kumbuka Mungu alipoliacha taifa la Israel kwa uovu na Warumi walilisambaratisha kabsa,,na akaawaahidi kuwa watakaporudi tena katika nchi ya ahadi atawapa msaidizi ambaye ni roho mtakatifu ambaye watatakiwa kumtii,,Waisarel hata baada ya Yesu kuja na kuachiwa msaidizi ambaye ni roho mtakatifu wameendelea kumkaidi Mungu,,na ndo maana wengi hawajaokoka kwa maana ya kumwamini Yesu Kristo,,bado wanamsubiri Messiah aliyetabiriwa katika agano la Kale katika kitabu cha Isaya.
Mkuu mleta mada kwa fungu la kitabu cha Yohana 15:26 hapo ulikua Na maana gani?
 
Mkuu hii ni sawa na kusema Mh Rais amezaliwa Mkoa wa Pwani halafu mwingine akasema amezaliwa Msoga,,,its one and the same thing...kama huelewi seek clarification.
lakini nazareth iko kaskazini mwa israel wakati bethelehem iko ukingo wa magharibi wa mto jordan(westbank)
 
...kasome na jifunze kutoka kwenye "Habari Njema Kwa Watu Wote / Agano Jipya"

...ukifuzu vizuri, rudi hapa jamvini...!

Biblia haipo kueleweka na watu wote kwa vipindi vyote.
Katika kipindi chochote cha muda hamna anayefudhu kuifahamu Biblia yote. Unachokifahamu msaidie na mwenzako.
 
Mkuu tuache hasira tujadili haya mambo kwa unyekevu na upole,,mimi ni mkristo,,naweza nikawa nimekosea kwenye post yangu,,nisahihishe tu kaka na tusonge mbele
So what? Silly! Mnajulikana na propaganda zenu za kishetani!
 
Kuna watu badala ya kujadili wanafoka na kuleta hasira,, tuelimishane tu wakuu,,hakuna alieitafsiri biblia perfect 100%,,lkn haimaanishi kuwa tusiendelee kutafuta maana...what if walikosea?
Biblia haipo kueleweka na watu wote kwa vipindi vyote.
Katika kipindi chochote cha muda hamna anayefudhu kuifahamu Biblia yote. Unachokifahamu msaidie na mwenzako.
 
Mkuu Isotope,,naweza nikawa nimesoma vibaya between the lines,,tuendelee na mada kuhusu taifa hili teule na ukiristo.

Back
Top Bottom