myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,143
Kuna haja kweli kubadili elimu yetu itoe ufahamu zaidi.Hawa watu wa mnyezii mugu a.k.a moody ni hatari kwa dunia. Usiwaone tu wanaongea kwa sauti za kumbana pua, ni magaidi balaa! Islael piga hawo watu.
Sawasawa 👍 👍Nani kakwambia? Sasa hivi wanaua Watoto na wanawake wa Gaza, Israel nao ni kama Hamas. Both are terrorists. Huwezi kuwanyima, maji, chakula na umeme halafu uanze kuwabom. Gaza ipo 140 square km tu na ina watu million 2. Open sky prison. Palestina kuna wakrstu, catholics na wapagani siyo waislam peke yao. Nyie mnasema uongo kwa sababu ya dini msizozijua. Wale Israel wa kwenye Bible siyo hawa wa sasa, Israel ilianzishwa mwaka 1948 baada ya Waingereza kuwaachia ile ardhi Wayahudi. Wayahudi hao waliopo siyo wale original, wengi wa sasa ni waliorudi baada ya WWII. Wakachukua na radhi zingine zote. Dhambi sana hii, ubabe openly!!
Sawasawa 👍 👍Nani kakwambia? Sasa hivi wanaua Watoto na wanawake wa Gaza, Israel nao ni kama Hamas. Both are terrorists. Huwezi kuwanyima, maji, chakula na umeme halafu uanze kuwabom. Gaza ipo 140 square km tu na ina watu million 2. Open sky prison. Palestina kuna wakrstu, catholics na wapagani siyo waislam peke yao. Nyie mnasema uongo kwa sababu ya dini msizozijua. Wale Israel wa kwenye Bible siyo hawa wa sasa, Israel ilianzishwa mwaka 1948 baada ya Waingereza kuwaachia ile ardhi Wayahudi. Wayahudi hao waliopo siyo wale original, wengi wa sasa ni waliorudi baada ya WWII. Wakachukua na radhi zingine zote. Dhambi sana hii, ubabe openly!!
Ni kweli,nani alijua Blinken myuda, ndipo zikaja taarifa hata Rais wa Misri ni myuda kwa mama.Mzaliwa wa kwanza kavurugwa, anamiliki akili nyingi na karibia majeshi mengi ya nchi kubwa duniani wayahudi wamejaa tena vitengo nyeti, mwarabu atajuta
Kuishangaxa?Siyo Israel kuishangaxa dunia, sema USA.
Israel huko hamas jana imepiga Haifa.
Kwani bado mnaiongelea gaza tu?
Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.
Vita ishapanuka huko. Umelala?
Leo tunangoja Egypt na Jordan
Duh..Walau warusi tuanaweza sema ndio taifa takatifu la Mungu
Ila Hamas wakiua sawa?Kweli kabisa, Mungu gani huyo anataka uue watu? Hao ni majambazi wote
Hadi uarabuni wapo sana tuNi kweli,nani alijua Blinken myuda, ndipo zikaja taarifa hata Rais wa Misri ni myuda kwa mama.
Siyo Israel kuishangaza dunia, sema USA.
Hamas jana imepiga Haifa.
Kwani bado mnaiongelea gaza tu? Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.
Vita ishapanuka huko. Umelala?
Leo tunangoja Egypt na Jordan
[/QUOT
Hakuna vita katika maeneo hayo uliotaja, nafikiri watanzania hasa CCM na CHADEMA mngeangaika katiba mpya jamani.
Lebanon kweli walijitutumua but walichokipata wanakijua wao wenyewe, Syria nao walijaribu but walichokutana nacho wanakijua wao.
Egypty na Jordan ni wachumba tu kwa Israel, inshort waarabu hawana msaada kwa sasa kwa watu wa Gaza, hadi Ayatollah hana lolote, Israel ina nguvu kubwa ambao hata majirani wanahofia.
Waarabu wajinga na ni waoga hawana umoja, hawa watu ovyo sana!!
Muingereza anapaswa kubebeshwa lawama kwa kinachotokea.Waingereza kuwaachia ile ardhi Wayahudi.
Bibi ajuza umewaponza makobazi wenzakoSiyo Israel kuishangaza dunia, sema USA.
Hamas jana imepiga Haifa.
Kwani bado mnaiongelea gaza tu? Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.
Vita ishapanuka huko. Umelala?
Leo tunangoja Egypt na Jordan
Inashangaza sanaWapigwe mpaka waache kumuita Mungu hovyo kwenye mambo yao ya kipuuizi ...yaaan kitu kidogo tu Allah akbar
Huyu mtoa mada hana akili Israel kashangaza nini?Hakuna cha ajabu kinacho fanywa na Israel hapo gaza hata jeshi letu linaweza kufanya hivyo kwasababu anga la Gaza halina ulinzi.
Alsisi huyo huyo ndiye aliyemuweka ndani Mudy Musi kinara wa Muslim brotherhood.Sasa wewe haufahamu kuwa alsisi katokea brotherhood?
Well said Isarael ni taifa teule la MUNGU
Kwa nini halina ulinzi, tuanzie hapo kwanza.Hakuna cha ajabu kinacho fanywa na Israel hapo gaza hata jeshi letu linaweza kufanya hivyo kwasababu anga la Gaza halina ulinzi.
Wana wa Israel hawakuwahi kuwa jamii ya watu weusi huo ni uongo wa wazi kabisa. Wengi wa jamii ya watu waliokuwa wakiishi mashariki ya kati walikuwa ni jamii ya watu weupe.Uzi mzito!
Hakuna taifa takatifu la Mungu litakaloua watu kwa kisasi hivyo!
Taifa takatifu la Mungu ni Tanzania tu kwakweli,tuna upendo wa dhati ndio maana tuanawaza kupendana tu wakati wote wala sio kupiga na kuua!!
Hata haki zetu zikiminywa tunamuita Mungu anatujibu maombi yetu!!
Walau warusi tuanaweza sema ndio taifa takatifu la Mungu kuliko hao tunaodhani!!
Yakobo alikua black,king solomon na hata Ayubu na yesu kristo nae alikua black na karibu asilimia kubwa yote ya waebrania walifananishwa na wakanaani KWA weusi wao coz wakanaani ni Wana wa ham wenye ngozi iliyoungua yaani weusi SASA kwanini waisrael wa leo ni weupe wote!!?
Hata Abdul nassar mfalme wa misri aliwakataa hao waisrael weupe akisema" mbona waliondoka misri wakiwa weusi huo weupe wameutoa wapi""!!?
Ndugu mkristo usije ombea hao wazungu hao hawana uisrael wowote kabisa ombea watz wenzio au hata waethiopia Wana wa king solomon aliezaa na Beth sheeba!
sasa wewe huelewi kuwa mungu wenu wa kiyahudi" alifanyiziwa"na ndugu zake?Alsisi huyo huyo ndiye aliyemuweka ndani Mudy Musi kinara wa Muslim brotherhood.
Faiza Fox, wewe kama mwanamke mwenye busara , je umeisha wahi kusikia wayahudi wakirape au kubaka wanawake wa kipalestina? hakuna sheria yeyote dunianai inayotoa excuse kwa mwanamke kubakwa. leo wewe kuishabikia Hamas kwa usongo wa dini nakushangaa sana . hivi unaweza kuniam,bia wayahudi kwao ni wapi mpaka wewe na hamas muwaite occupier?Siyo Israel kuishangaza dunia, sema USA.
Hamas jana imepiga Haifa.
Kwani bado mnaiongelea gaza tu? Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.
Vita ishapanuka huko. Umelala?
Leo tunangoja Egypt na Jordan