Israel kuishangaza Dunia tena

Hivi wewe kwa akili zako unadhani Kama siyo backup ya USA, UK na France kuwa nyuma ya Israel unadhani hilo Taifa lingekuwa linabehave hivi?
 
Oooh...! Pole sana mama. Bado unaota hayo maneno ya mataifa yanayoizunguka Israel kuungana kuishambulia?. Umesahau?. Unafikiri viongozi wa hayo mataifa wenyewe wajinga wasahau kilichowakuta?. Hivi sasa ni mmoja mmoja anaechomoka kujifanya kichwa maji. Na taarifa yako Hamas sio wenyewe walioform yale mashambulizi,bali walikuwa undercontrol ya makomandoo wa Iran. Hata hao Lebanon Hezbollah wanasukumwa na iran.Hivi Iran nae yuko kwenye target
Siyo Israel kuishangaxa dunia, sema USA.

Israel huko hamas jana imepiga Haifa.

Kwani bado mnaiongelea gaza tu?

Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.

Vita ishapanuka huko. Umelala?

Leo tunangoja Egypt na Jordan
 
Hivi wewe kwa akili zako unadhani Kama siyo backup ya USA, UK na France kuwa nyuma ya Israel unadhani hilo Taifa lingekuwa linabehave hivi?
Basi kama hujui teknorojia zote za kijeshi ama hata kwenda mwezini ama kufupishq bila kutaka mambo yote zile teknorojia zote zile za hali ya juu za marekani ni Muisrael. Kwa hiyo huwezi kutaja maendeleo yoyote ya marekani au ulinzi wowote wa kijeshi wa marekani bila kumtqja Israel
 
Hii inatusaidia nini sisi? Kwamba Israel ameshinda, Hamas ameamgamia, then tutakuwa tumepata nini? Au kwa hii promo Israel kuna kitu anskupa?
 
Viongozi wote Wa juu wa Bunge la Congress la marekani pamoja na Marais mbalimbali waliopita Wana asili ya Israel
 
Usionyeshe ujinga wako waziwazi kiasi hicho. Siyo waPalestina wote ni Waislam; kuna Christian, catholics na hata wasioamini mungu. Na kuna wale ambao hawapendi Hamas. Do not generalize.
Kwaiyo we unaona sawa watoto na watu waliokuwa hawana hatia kupigwa mabomu?
 
Israel imefeli siku wanashambuliwa. Mengine yote ni kujifaragua tu.

Mtu apange kukuvamia bila wewe kujua, Kesho yake uanze kupiga mabomu ukidai unajua alipojificha. Huu ni uongo mkubwa.
 
Siyo Israel kuishangaxa dunia, sema USA.

Israel huko hamas jana imepiga Haifa.

Kwani bado mnaiongelea gaza tu?

Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.

Vita ishapanuka huko. Umelala?

Leo tunangoja Egypt na Jordan
Nchi za kiarabu zitapigwa tena kama 1967
 
Hayo mambo yao...ila jua hivyo. Fatah ndio wengi kuliko Hamas.
Rais wa Palestine atatoka Fatah..
Fatah walishindwa uchaguzi 2005, Urais na bungee,
wakagoma kuachia madaraka wakakimbilia west bank ambako wanapata full support ya Israel na ndio maana wanetulia tulii.......
 
Hawa watu wa mnyezii mugu a.k.a moody ni hatari kwa dunia. Usiwaone tu wanaongea kwa sauti za kumbana pua, ni magaidi balaa! Islael piga hawo watu.
 
Umeshashiba magimbi.Shida tupu.
 
Tatizo elimu ndogo,na watu wapo brainwashed sana.
 
Umebugizwa ujinga na umebugia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…