Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,877
- 4,441
waisrael walimkosea sana Mungu katika nyakati tofauti, na Mungu aliwaadhibu na kumrudia. Mmekuwa mkiwalaumu wakristo kwamba wanaipepelea israel wakati wayahudi wenyewe hawana time na wakristo. Ukristo hauna mafundisho chukiHizi nchi Israel, Iran, UAE nk hata sio ndugu zetu
Ila cha ajabu utaona Watz waislamu wanaipondea Israel, sio kwa sababu Israel haipo sawa, bali kwa sababu Wakristo wanaiita taifa teule
Hapohapo utaona Watz wakristo wanaitetea Israel, sio kwa sababu Israel ipo sawa, bali kwa sababu Biblia imewaaminisha ni taifa teule. Kwa higo wanawaona waisraeli kama Mungu watu na Israel kama pepo ndogo
Dini zimewafumba macho, tayari hawawezi kuwaona waisraeli kama binadamu wengine ambao nao wanapaswa kukosolewa wakikosea
Waisrael wenyewe hata hawajali kuhusu ngozi nyeusi. Yani hiki kitu cha kuona watu weusi wanajishusha kwa waisraeli wengine wanajishusha kwa waarabu kisa tu dini zao, kinaniumiza sana. Basi tu there's nothing I can do
Mkuu kila dini inadai haifundishi chuki, huenda ni kweli ila wenye dini wanashindwa kujizuiawaisrael walimkosea sana Mungu katika nyakati tofauti, na Mungu aliwaadhibu na kumrudia. Mmekuwa mkiwalaumu wakristo kwamba wanaipepelea israel wakati wayahudi wenyewe hawana time na wakristo. Ukristo hauna mafundisho chuki
hawa wapo, haina haja ya kuwataja majina yao, watajitokeza kuwatetea wenzao kwa hoja zote kwamba wana haki kufurahia maisha yaoKuna Ndugu zao humu utawaona mbio kuja kusubiri anausema vibaya ushoga.
Kwani hiyo ni sasa tu wanafanya au kawaida yao na huyo Mungu wenu yupo kimya..kuna muda tumieni akili, mnachokiabudu ninyi na hizo dini zenu za mchongo, ni tofauti na wanachokiabudu wao...shame on you wafi diniMsione ajabu hao ******* watakapokusanyika katika sherehe zao wakala kibano heavy toka kwa Mungu kama wale wa enzi za sodoma na gomora
Hizo habari za kuunga umezitoa wapi ndugu mwandishi?
Fukwe za Israel zitakuwa zinanuka mavi.View attachment 3576795
Haya wale Waisreli wa Budha pelekeni vijambio vyenu sherehe yenu hiyo.