Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,019
- 142,904
- Thread starter
-
- #241
Superpower ina mapana yake.Kuna power nyingi. Ila kukuonyesha ni jinsi gani unaweza angalia uhasilia. Mfano Putin alikuwa waziri mkuu ila alikuwa ndio rais ktk background, uliza wazee wa ndumba, wanavyoweza badili maamuzi ya viongozi wa kiserikali.Israel wanaweza badili kauli ya rais yeyote wa marekani, wanaweza mpeleka Marekani ktk vita vyingi, provided wanaweza jengea hoja, Kutegemea na wewe nataka fikiri vipi, ila huna haja ya kupeteza muda kudai nani superpower .Ni bora ukabaki katika mada. waulize wahidni wenye kwashakoo, wao na tembo wanaowaendesha nani mwenye nguvu?Google wanakuambia information is power, wengine wanasema Gold is power. wengine knowledge is power,JF watakuambia pia freedom of press is power, pengine na information is power. sasa wewe ONGEZEA SUPER tuu kwa kila power.America is Super power but Israel are the controller of that SUPERPOWER.Amerika wenyewe wanajua na kuamini kuwa bila Israel si wao tuu hata Ulaya Itaanguka.Unabisha waulize waarabu km wanaweza uziwa silaha na yeyote duniani bila kwanza wauliza waisrael km wana zaidi ya hizo.....lol
Nyaningadu huwajui Waisrael ndo sababu unaongea uongeavyo ungwafahamu ungechukia kauli yako wao ndio wanao endesha dunia fanya utafit utajua hilo
ni kweli Marekani ni taifa kubwa halina upinzani!? Lakini hebu jiulize kwanini wanapenda kuibeba Israel!
China wameibeba marekani lakini siyo kisilaha, ni mkopo.china na URUSI JE?
china na URUSI JE?
We wacha tu kuna watu vichaa humu huwa wanasema israel ni taifa la mungu, na wengine wanasema yesu ni mungu sasa kama yesu ni mungu na israel in taifa la mungu, vipi taifa la mungu litake kumua mungu....wachana nao hao we jiulize swali moja tu....toka lini taifa la mungu linaomba silaha, kutoka kwenye taifa si la mungu.Hakuna kosa. Ila kuna watu humu bila hata soni eti wanasemaga Israel ni zaidi ya Marekani katika kila kitu ikiwamo uchumi, nguvu za kijeshi, influence, na kadhalika, kitu ambacho si cha kweli hata kidogo.
Ulichoandika hapa ni mkusanyiko wa vitu vingi ambavyo hukuweza tenganisha au jibiwa kwa jibu moja.Mbaya zaidi ni wong concepts.We wacha tu kuna watu vichaa humu huwa wanasema israel ni taifa la mungu, na wengine wanasema yesu ni mungu sasa kama yesu ni mungu na israel in taifa la mungu, vipi taifa la mungu litake kumua mungu....wachana nao hao we jiulize swali moja tu....toka lini taifa la mungu linaomba silaha, kutoka kwenye taifa si la mungu.
sasa ulijuaje vya Israel vilikuwa made in Marekani, wakati kama sijakosea ile ndege iliyotumika kulipua zile ndege za waarabu pale egypt mwaka 1967 inasemekana ilikuwa ya Mrusi!
@NN
Nimesikia hii kitu iko karibuni kutokea sijui lini ilianza hivi
"Israel itaipiku America muda si mrefu" kwa kufanya sabotage kwenye monetary and media sytem ambazo inazi-control"
Wakisaliua dolla $, makao makuu ya uchumi yatakuwa Jeruslemu, hapo ndio utajua kuwa Jew wanatawalaje..US..
waweza kuiita conspiracy theory lakini ...dalili za power kuhamia Jeruslem ziko wazi...
Mkuu nakubaliana na wewe, kapuku ni kapuku tu, kweli kabisa. Who will care for air defence when the aircraft is not on flight, a plane is shot down when is on flight not when it has landed. Unajua kuwa air force one haiwezi kutungulika? unajua what air defence system Air force and air force two has one have? Simple fact ambayo haihitaji hata darasa inaonesha ukapuku. Kama kulindwa kwa air force one kama ndege, inalindwa hata ikiwa ndanai ya mipaka ya US, si nje tu.
Uliza ni nani anayewadhibiti waarabu, US au Israel? ni Ulaya au Israel? Iangalie Israel katika pande zote ulinganishe na maneno ya walokelo uone ukweli ni upi. Jaribu kukumbika walichofanya OPEC miaka ya sabini utajua ni kwanini US na Ulaya zinawadhibiti waarabu, na si Israel.
Kiutamaduni na historia wayahudi na waarabu hawana tofauti, unless uwe mlokole hujui hilo. Mwarabu yuko close na myahudi kuliko mlokole, mlokole anajipendekeza tu. Do your research and see what you will find.
Hakuna aliyesema kuwa Israel ni nchi ya wajinga, na si kweli kama waarabu wote ni Hamas au Hezbulah. Ukitaka kujua kama wayahudi ni normal people ishi nao, ongea nao uone matendo yao, they are not extraordinary people na si less inteligent kama Hitler alivyodhani. Au nenda Israel kwenyewe ukaone wanavyoishi, au ukweza nenda Iran ambako kuna wayahudi wengi nje ya US na Israel. Jaribu kutafuta maana ya ashkenazi,mizrahim na sephardm halafu utajua unaongea nini. Do not be a dumb dweeb.
Mimi huwa sielewi ni kwa nini watu ambao wanaelewa so-little katika baadhi ya mambo huwa na hulka ya kuwaponda wenzao ambao wanawaona wako more conversant na kinacho zungumzwa, trend hii hiko more pronounced kwenye FORUM hii 'am afraid! Wako mahili katika name calling lakini angalia wanacho contribute-ni almost next to nothing, ni vizuri watu tukaheshimiana hili tujifunze mengi na kubalishana mawazo without offending anyone!
Katika maisha yangu niliwahi kusoma na watu hawa (Wayahudi), ndiyo maana nimeweza kutambuwa majina yao kirahisi humu. Kusema ukweli ni binadamu wa kawaida kama sisi, na wengi wao infact huwa hawapendi kuwa bellicose kwa kutaka kupigana vita ovyo ovyo, vile vile hawapendi kabisa viongozi wao ambao ni radicals kama alivyokuwa Begin, Sharon na sasa Natenyahu.
Mtu kama Sharon (ambaye yuko kwenye coma mpaka leo) na Begin naweza kuelewa chuki zao kuhusu Warabu zinatokana na nini, walikulia Palestine nakuwa brainwashed na wazazi wao kutokana na biblical rhetoric kwamba Palestina ni nchi ya Wayahudi kwa hiyo Warabu hawapashwi kukaa pale. Kitu ambacho kilikuwa kinanishangaza kidogo ni kuhusu huyu Natanyahu, this guy gotta a very refined American English, sasa chuki zake kwa Warabu zinatokana na nini; baadae kabisa nikaja gunduwa kuwa kaka yake ambaye ndiye alikuwa anaongoza kikosi cha kuokoa mateka pale Entebbe Uganda ndiye aliyekuwa mwanajeshi pekee kuuwawa kwenye action; nadhani hiyo hiko embeded kwenye subconscious yake kwamba given a chance Warabu ata-deal nao summarily (bila huruma, kulipiza kisasi cha kifo cha kaka yake)
Ni watu wachache wanaojuwa kwamba vile vile Wayahundi wanabaguana wenyewe kwa wenyewe na wako kwenye sijuhi tuite makabila hayo matatu uliyo taja hapo juu, na inategemea your country of origin namely: North Africa na middle East ,Eastern Europe, Western Europe an the USA.
So kama Israel ni la Mungu what about la kwako? Where does that put you?labda niwape baadhi ya majawabu. sio kwamba iko sana upande wa izrael bure hapana . israei ina wataalamu wengi ambao wamefanya mambo makubwa sana katika historia ya marekani na bado inao wataalamu wengi wa sayansi marekani (historia inasema heroshima na nagasaki zilipigwa na marekani kwa technologia toka israel) kuna fununu pia kuwa NASA ya marekani imejaa waisraeli wakutosha. kwa hiyo kuwa super power haiitaji vifaa vingi na majeshi makubwa.bali technologia ya kutosha na akili ya kuitumia kiasi cha majirani zako kukuogopa. pia nchi nyingi zenye wakikristo wengi wanaoamini katika biblia huwezi waaminisha kuwa kuna taifa liweza shindana nataifa la mungu.pia historia ya wana wa israeli kuteswa na hitler nakizazi chao kuendelea kuwapo sijambo la kawaida sana.japo sisi tuna amini israeli bilamarekani tungesha ifutaga juu ya uso wa dunia
labda niwape baadhi ya majawabu. sio kwamba iko sana upande wa izrael bure hapana . israei ina wataalamu wengi ambao wamefanya mambo makubwa sana katika historia ya marekani na bado inao wataalamu wengi wa sayansi marekani (historia inasema heroshima na nagasaki zilipigwa na marekani kwa technologia toka israel)
kuna fununu pia kuwa NASA ya marekani imejaa waisraeli wakutosha. kwa hiyo kuwa super power haiitaji vifaa vingi na majeshi makubwa.bali technologia ya kutosha na akili ya kuitumia kiasi cha majirani zako kukuogopa. pia nchi nyingi zenye wakikristo wengi wanaoamini katika biblia huwezi waaminisha kuwa kuna taifa liweza shindana nataifa la mungu.pia historia ya wana wa israeli kuteswa na hitler nakizazi chao kuendelea kuwapo sijambo la kawaida sana.japo sisi tuna amini israeli bilamarekani tungesha ifutaga juu ya uso wa dunia
..................... hata mie nashangaa Mungu kuchagua Israel tu, kuwa taifa lake ! Sasa hata America mungu ameliacha !? Maana kutwa wenyewe utakuta wanasema 'God bless America': Mungu yupi waliebakinae Waamerika!?So kama Israel ni la Mungu what about la kwako? Where does that put you?
labda niwape baadhi ya majawabu. sio kwamba iko sana upande wa izrael bure hapana . israei ina wataalamu wengi ambao wamefanya mambo makubwa sana katika historia ya marekani na bado inao wataalamu wengi wa sayansi marekani (historia inasema heroshima na nagasaki zilipigwa na marekani kwa technologia toka israel) kuna fununu pia kuwa NASA ya marekani imejaa waisraeli wakutosha. kwa hiyo kuwa super power haiitaji vifaa vingi na majeshi makubwa.bali technologia ya kutosha na akili ya kuitumia kiasi cha majirani zako kukuogopa. pia nchi nyingi zenye wakikristo wengi wanaoamini katika biblia huwezi waaminisha kuwa kuna taifa liweza shindana nataifa la mungu.pia historia ya wana wa israeli kuteswa na hitler nakizazi chao kuendelea kuwapo sijambo la kawaida sana.japo sisi tuna amini israeli bilamarekani tungesha ifutaga juu ya uso wa dunia
Haya, wale wanazi wa Israel njooni muelezee hii ya wao kuomba silaha toka kwa Marekani. Si mnadaigi Israel ni super power....come and rationalize this one now!
Narudia tena, THE UNITED STATES OF AMERICA IS THE ONLY WORLD's SUPER POWER na kukilinganisha ki-Israel na Marekani ni sawa na kulinganisha kiroboto na tembo.