Iran wanaenda kuchapwa vibaya, nimesikia kiongozi wa juu wa Iran anaenda kunyongwa sio muda mrefu.Wanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani. Je, ni taifa la Mungu?
Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
Kwenye heading umetutaarifu halafu kwenye content unatuuliza!Wanasema Israel ni taifa la Mungu lakini inaonekana kama ni taifa Marekani tu. Haimtegemei Mungu kwa Kila kitu bali inamtegemea Marekani kwa Kila kitu, hailindwi na Mungu inalindwa na Marekanani. Je, ni taifa la Mungu?
Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
Ayatollah ndiye mchokozi, kautaka mwenyewe maana ndiye mmiliki, mfadhili, mtetezi na mlezi wa makundi yote ya magaidi yanayoshambulia Israel siku zote - Hamas, Hezbollah, Houthi, ISIS, nk.Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
"Kasongo urudie"huu wimbo uliimbwa na Makwizi Band ,,,,,,mpe jibu.Kwenye heading umetutaarifu halafu kwenye content unatuuliza!
Na Israel ameamua kujilinda kwa kumaliza tatizo kwa kudumuAyatollah ndiye mchokozi, kautaka mwenyewe maana ndiye mmiliki, mfadhili, mtetezi na mlezi wa makundi yote ya magaidi yanayoshambulia Israel siku zote - Hamas, Hezbollah, Houthi, ISIS, nk.
Naam,Na Israel ameamua kujilinda kwa kumaliza tatizo kwa kudumu
Israel imeichokoza vipi Iran? Kwamba mashambulizi ya miaka yote ya vikundi vya Hezbollah, Hamas na Houth ambayo yamekuwa yakielekezwa nchini Israel ambayo mafunzo, pesa, vyote vinafadhiliwa na Iran huo haukuwa uchokozi?Hamas walianzisha ugomvi na Israel ikapata sababu ya kupiga hadi Leo. Sasa nayo imemchokoza Iran, je Iran nayo wamepata sababu ya kumtandika Israel?
Israel ilopopigwa na Hamas akapata sababu ya kuua maelfu ya watu Gaza, nae akafanya kosa hilohilo akaichokoza Iran. Nina uhakika Sasa hivi netanyahu anajuta kuanzisha ugomvi ule. Alipiga hesabu vibaya.Kwenye heading umetutaarifu halafu kwenye content unatuuliza!
Sawasawa. Kama unamzidi hesabu Netapusi na jopo lake basi upo vizuri sana.Israel ilopopigwa na Hamas akapata sababu ya kuua maelfu ya watu Gaza, nae akafanya kosa hilohilo akaichokoza Iran. Nina uhakika Sasa hivi netanyahu anajuta kuanzisha ugomvi ule. Alipiga hesabu vibaya.
Na ujue wataweka watu wao madarakani kama walivyofanya Iraq, Syria na LibyaNaam,
Ni kama kung'oa magugu na mizizi yake yasiendelee kuchipua