Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,439
Aiseee




Duh...!, like father like son, like mother like daughter, like neighbor like....?
P
Vijana wa uvccm wako kwenye makambi yao wanajiandaa.Mmhh inatisha, nikiangalia maandalizi yanayo fanywa hapa kwetu ni dhahiri sasa tunaye mkuu wa kukaa maisha yake yote kwenye madaraka.
Kiki za mikopo kibwagizo tunatumia vyetu wrnyewe.
Na wale wa mobutu nao walijiandaa wako wapi now!Vijana wa uvccm wako kwenye makambi yao wanajiandaa.
Wakwetu mjanja, katumbua kote majeshi kaacha, na mshahara kawaongeza ili wamlinde.Mmhh inatisha, nikiangalia maandalizi yanayo fanywa hapa kwetu ni dhahiri sasa tunaye mkuu wa kukaa maisha yake yote kwenye madaraka.
Kiki za mikopo kibwagizo tunatumia vyetu wrnyewe.
Fid sijui alimaanisha nin...aliye mtia UMASIKINI(wa kifikra) Afrika analia kwa yanayomsibu..
Farid...aliye mtia UMASIKINI(wa kifikra) Afrika analia kwa yanayomsibu..
Kaisha mpiku mbona zamani huyu ni hatari kuliko hata mobutu seseko.....IDD Amin Dada
Kasumba Bekar, kijana mwenye umri wa miaka 21, mfuasi wa Bobi Wine na mmoja wa vijana wanaomkosoa Rais Yoweri Museveni mitandaoni, alitekwa juzi na watu wasiojulikana. Leo ameokotwa eneo la Kasanda (nje kidogo ya jiji la Kampala) akiwa amepigwa hadi kupoteza fahamu, na mikononi amepigiwa misumari.
Huyu ni mfuasi mwingine wa Bobi Wine kufanyiwa vitendo vya kikatili na watu wasiojulikana katika kipindi cha hivi karibuni. August 5 mwaka huu mwanamuziki Ziggy Wine, ambaye alikua akifanya kazi kwenye label ya Bobi nae alitekwa, kupigwa na kutobolewa macho, siku chache baada ya kuandika mtandaoni kuwa Rais Museveni hana tena uhalali wa kuongoza nchi hiyo. Ziggy aliokotwa akiwa mahututi lakini alifariki siku chache baadae.
Bobi Wine ametuhumu vyombo vya usalama kuhusika na vitendo hivyo vya kikatili, lakini Polisi nchini Uganda wamekanusha madai hayo na kusema wanawatafuta wahalifu wanaofanya vitendo hivyo ili kuwafikisha mahakamani.!
Hapana subiri nivue mawani