Isome kwa tafakuri

Isome kwa tafakuri

Pengine wana maslahi nao?
Hapa ndipo nawaona mabeberu wapumbavu wanahangaika na Irani anayetengeneza silaha zake kwa ajili ya nchi yake wanaacha hwa mashetani viongozi wa kishenzi wanawatesa watu wanavyopenda badala ya kuwashughulikia.
 
Duh...!, like father like son, like mother like daughter, like neighbor like....?
P
Paskali,A.Mashariki (kasoro Kenya) kuna kitu kinaendelea,na nadhani yuko anayekiinjinia na atakuwa "mkubwa,mzito,very ancient in time".Haiwezekani tufanane mambo yetu tuuu!
Anyway,jpili nenda kasali,mimi siendi tena,sipendi unafiki kwa kweli.
Its not good for many of us.Ila Mungu atasimama soon...i guarantee you that.
 
Picha yake ndio hii[emoji1541]
IMG_20190830_053603.jpeg



Cc Unforgetable
 
Real! Huyu Magufuli asipodhibitiwa Mapeema ataenda Kwenye Utawa wa Milele like their friends, very bady!
We should wakeup although it is very Difficult for Tanzanians to do so.
CCM is a very bright political party than you think...under MR BEN for this TIME.
 
Mu7 ndiyo Best yake na Jiwe including Mr Slim na Nkurunzinza. Hatari saana! Real we are Shithole!
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Afrika ina Viongozi wengi WAPUMBAVU na WASHAMBA SANA.

Yaani miafrika haiendelei kwasababu ya ujinga hata kujiongoza wenyewe hatuwezi.
 
Back
Top Bottom