Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,978
- 5,417
Real?
Vijana wa uvccm wako kwenye makambi yao wanajiandaa.
Vijana wa uvccm wako kwenye makambi yao wanajiandaa.
Ah wanajambisha sana.Pengine wana maslahi nao?
na mtu wa kuharibu huu mfumo ni raia wa nchi husika....Mfumo wa nchi za kiafrika umeharamishwa uende hivyo na mtu wa kuharibu huu mfumo ni raia wa nchi husika, vinginevyo tutakuwa wasomaji, wachangiaji na kulaumu tu...



hili sio kweli kabisa na siwezi kukubaliana nawe kwa hakika ndugu yanguOkay twende taratibu Mshanajr.na mtu wa kuharibu huu mfumo ni raia wa nchi husika....hili sio kweli kabisa na siwezi kukubaliana nawe kwa hakika ndugu yangu
Oh kwa muktadha huo nimekupata vema... Japo huwa kuna external force fulani hutumikaOkay twende taratibu Mshanajr.
Mabadiriko yanayotokea katika nchi yoyote (mfano, Sudan ya kaskazini, nk) siyo wananchi walilazimisha utawala wa kiimla kusimama?.
Au nani atamtoa m7, paul nk kama wananchi hawataamua?
Mkuu hakuna kasoro kenya.Paskali,A.Mashariki (kasoro Kenya) kuna kitu kinaendelea,na nadhani yuko anayekiinjinia na atakuwa "mkubwa,mzito,very ancient in time".Haiwezekani tufanane mambo yetu tuuu!
Anyway,jpili nenda kasali,mimi siendi tena,sipendi unafiki kwa kweli.
Its not good for many of us.Ila Mungu atasimama soon...i guarantee you that.
Hao viongozi wa Iran ndio wakandamizaji hatari hakuna mfano.Hapa ndipo nawaona mabeberu wapumbavu wanahangaika na Irani anayetengeneza silaha zake kwa ajili ya nchi yake wanaacha hwa mashetani viongozi wa kishenzi wanawatesa watu wanavyopenda badala ya kuwashughulikia.
Tatizo hawafi mapemaWasiojulikana wanaiendesha Afrika Mashariki.
Nikimkumbuka mzee Mugabe na al bashiru basi nazidi kuamini siku zao zinahesabika.
Kwa uchungu watu walio nao huenda hata wakaamua kuzichapa viboko maiti zao
This is Crucifixion. Damn it ! . People are so wicked and soulless.
Si kweli hakuna serikali duniani inayopendwa na raia wake km Iran.Hao viongozi wa Iran ndio wakandamizaji hatari hakuna mfano.