Ismail Jussa: Ni nani?

Jadi

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,494
860
WanaJF nisaidieni,mara kwa mara nimesoma hapa kuhusu mtu anaita Jussa,ni nani,nguvu yake ikoje?ni kiongozi wa serikali?au ni polisi,mwanajeshi?
 
Mwenye data zake kamili atujuze maana wengi tunachanganya na Duni Haji nadhani hapa!!!
 
Shoga yake RA.
Ushahidi kwamba ni shoga yake alkuwa analalamika kwamba hamadi rashidi anamwonea wivu kwakuwa yy ni shoga yake RA,.

MY TAKE;
1. Sijui kwanini anajivunia urafiki na RA ilhali akijua jamaa ni mchafu na asafishiki.
,2.nahisi ni kibaraka wa sisiemu
 
Yuko kwa kazi maalum ndani ya cuf kukibomoa chama. Hamad Rashid pekee ndio kajaaliwa upeo wa kumshtukia huyu jamaa though inamgharimu
 
Acheni hizo Wakuu, Ismael Jussa Ladhu hamumuwezi. Tafuteni mwengine. Kile kichwa kimeenda shule bana.
 
Huyu ni Jusa au Juha? Maana sioni anachoongea zaidi ya kuzua. Kwa mfano anasema eti Nyerere ni adui wa Zanzibar asijue kuwa muungano ukivunjika watapinduana kama Comoro! Ni mwendawazimu wa kiwango cha kutisha anayeweza kusema haya. Juha hajui kuwa tukivunja huo muungano na kuwataka wanzanzibari waliozaliana bara watakosa pa kuwaweka! Amesahau jinsi Mtikila alivyoungwa mkono na watanganyika kama ishara yao kuwa na hasira na ma********* hawa! Juha anapinga kuwa hatuwapi umeme bure ukiachia mbali mchele wetu wanaoupenda sana! Juha kashiba sana kiasi cha kujiropokea asijue anakata tawi alilokalia. Kama matone ya mafuta yanaanza kuwatoa roho waroho hawa, kama kweli yatakuwapo itakuwaje? Akina Juha na wengine wenye mawazo kama yao wanapaswa waambiwe: kama wamechoka na muungano na wana ubavu na hoja wapeleke hoja ya kuvunja huo muungano waone kama ni rahisi na ni nani ataanza kulia.
Jusa kimsingi, kaongelea personalities badala ya issues. Mie nadhani wanzanzibari waache unafiki wa kula huku na kule. Waseme wamechoka muungano na uvunjwe tuone. Pia waache mchezo mchafu wa changu kichungu chako kitamu.
 
Huyu ni Jusa au Juha? Maana sioni anachoongea zaidi ya kuzua. Kwa mfano anasema eti Nyerere ni adui wa Zanzibar asijue kuwa muungano ukivunjika watapinduana kama Comoro! Ni mwendawazimu wa kiwango cha kutisha anayeweza kusema haya. Juha hajui kuwa tukivunja huo muungano na kuwataka wanzanzibari waliozaliana bara watakosa pa kuwaweka! Amesahau jinsi Mtikila alivyoungwa mkono na watanganyika kama ishara yao kuwa na hasira na ma********* hawa! Juha anapinga kuwa hatuwapi umeme bure ukiachia mbali mchele wetu wanaoupenda sana! Juha kashiba sana kiasi cha kujiropokea asijue anakata tawi alilokalia. Kama matone ya mafuta yanaanza kuwatoa roho waroho hawa, kama kweli yatakuwapo itakuwaje? Akina Juha na wengine wenye mawazo kama yao wanapaswa waambiwe: kama wamechoka na muungano na wana ubavu na hoja wapeleke hoja ya kuvunja huo muungano waone kama ni rahisi na ni nani ataanza kulia.Jusa kimsingi, kaongelea personalities badala ya issues. Mie nadhani wanzanzibari waache unafiki wa kula huku na kule. Waseme wamechoka muungano na uvunjwe tuone. Pia waache mchezo mchafu wa changu kichungu chako kitamu.
Umeongea kwa lugha ya mjinga lakini kuna ukweli mwingi ktkt maneno yako.Labda ni vyema muungano usingetokea kabisa kuliko kuzungumzia kuuvunja. Maana vilivyoshikana havitaacha kunyofoana ikibidi kutengana. Pia si wazanzibari tu bali wote wana manufaa na Muungano. Kwa Bara ni prestige na labda kuhofia usalama. Na hilo si jambo dogo. Wazanzibari wanapata soko la means of labour.
 
Back
Top Bottom