Islamization ya CCM-CCM inasilimu

..mpumbavu masikini mkubwa, ndio maana umejaza mavi kichwani, huwez elewa..kasome madrasa tu hicho ndio kinakufaa.. u r so foolish!
 
Wakristo wekandamizwa,
Tukianzia Jana kwenye makatibu wapya wa CCM kwa kila mkoa waliochaguliwa na Samia asilia 70% ni waislamu, hapo utanisha.

Na mimi niletee hizo takwimu
Kwa hiyo waislamu Wanaka damizwa kwenye ajira Kwa sababu asilimia 80 ya ajira zote serikalini ni wakristo?
Kwa hiyo tukubaliane kuwa Chadema waislamu Wanakandamizwa Kwa sababu viongozi wa chadema asilimia 90 ni wakristo
 
Kwa hyo unataka waislam tuanze kumuunga mikono Samia kisa ni muislam mwenzetu?.
 
Mbona wagaratia wanaimiliki chadema na halijahawi kuwa tatizo Kwann iwe Kwa ccm?
Sijajua wanaoleta hizi choko choko za udini.ni wapinzani wakristo
Au ni ccm wakristo?
uovu wa awamu hii unatakiwa kupingwa bila KULETA uchochezi wa kidini.kama hatumtaki mama Samia tuseme hatumtaki.sio tuseme hatumtaki alafu Bado tunamfatilia anayofanya.
 
Kama katoliki mna nguvu na pesa nyingi mbona hamtoi ajira kwa wakatoliki wenzenu ? si mna miradi , kwanza hata hizo taasisi zenu mna kashfa ya kutolipa watu misarahar , gharama kubwa hata mafukara na amyatima mnawacaji ..Kama ni mashetani basi ni nyie .Serikali ndiyo kimbilio la wakatoliki wengi so kaeni muheshimu mamlaka sio PhD za kukusanya sadaka.
 
Leta hotuba hata ya kukopi kwa mudi boy the mbususu kutoka kwa muislamu yoyote kiongozi nchini yenye JAPO VIASHIRIA TU VYA UZALENDO.
 
Kwa hiyo waislamu Wanaka damizwa kwenye ajira Kwa sababu asilimia 80 ya ajira zote serikalini ni wakristo?
Kwa hiyo tukubaliane kuwa Chadema waislamu Wanakandamizwa Kwa sababu viongozi wa chadema asilimia 90 ni wakristo
chadema ina ajiri wafanyakazi wa nchi nzima?
Kwa mfano mbona yanga,Azam na simba wamejazana waislamu?,je ndio tuseme kwenye michezo Kuna uonevu kwa wakristo?jibu ni hapana maana hizo ni taasisi binafsi wanafanya watakavyo.
Hivyo hata chadema wakipata madaraka na kuwa Chama tawala ndipo tutawahukumu kwa uongozi wao wa nchi utakavyokuwa.maana watakuwa na nyenzo zote za uendeshaji wa nchi kwa wananchi wote.

CCM ni Chama tawala na ina nyenzo zote za kuajiri wafanyakazi kila Inchi nzima,saivi kila sekta mmejaza waislamu wenzenu ukilinganisha na kipindi cha magufuli ambapo hapakuwa na ubaguzi wa dini,je kwa nini baada ya raisi muislamu kushika madaraka kumekuwa na ukandamizwaji wa wakristo mpaka kufungiwa makanisa,wakati kipindi cha JPM mpka msikiti mkubwa dodoma aliwajengea?
 
Bora PHD ya kukusanya sadaka kuliko elimu ya madrasa halafu mnapita mpka kwenye maduka ya wakristo kuomba michango ya kujenga msikiti.
 
%75 ya ajira zote hapa nchini zimeshikiliwa na wakristo Kwa hiyo waislamu wanakandamizwa kwenye ajira?
 
Kwanza unafahamu kuwa taasisi asilimia 80% kuanzia miaka ya 70 zilikuwa zinamilikiwa na Roman catholic,lakini serikalini ikajibinafsisha?
Kuna taasisi za KANISA kama bugando,KCMC tumeajiri wakristo lakini pia mpaka nyie mmejazana kwenye taasisi zetu kwa mgongo wa serikali,kwa nini msitupishe na taasisi zetu? au hulijui hilo?
 
..mpumbavu masikini mkubwa, ndio maana umejaza mavi kichwani, huwez elewa..kasome madrasa tu hicho ndio kinakufaa.. u r so foolish!
Huna akili, masikini ni watu wenye sifa kama zako ambao Kila kitu hukichukulia Kwa jicho la udini.
Eti wagaratia mna elimuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ asilimia 75 ya wakazi wa kusini mwa jangwa la Sahara ni wakristo lakini ndo sehemu masikini na chafu kuliko sehemu yeyote duniani ,sasa hiyo elimu yenu ya kanisa imewasaidia nn zaidi ya kuwajaza takataka kichwani na kuzalisha watu wapumbavu kama ww?
Mgaratia mwenzenu Nyerere aliye kuwa na elimu hiyo ya kanisa unayo iyona ni ya thamani nchi siilimshinda mpaka watu wakaanza kuvaa viraka , kutembea peku,na kula mahindi ya njano kama nguruwe mwisho wa siku Madaraka akayakimbia,Si Mwinyi mwenye elimu ya madrasa ndo alikuja kuitoa nchi kwenye dimbwi la umasiki uliokithiri?
 
..ona akili ya kibaka, sudan, chad, niger wengi huko ni wakristo, kipi bora nyerere aliyefanya nchi kujenga viwanda vyake yenyewe au yule aliyefanya nchi jalala la takataka zote toka huko zinakotengenezwa znaletwa kutupwa tanzania..mentality za utegemezi wa dini yenu ndio zinaleta umaskini kwa nchi..muslims does not believe n like to work lkn ni hodari wa kutamani mambo mazuri wasiyofanyia kazi.
 
Bora PHD ya kukusanya sadaka kuliko elimu ya madrasa halafu mnapita mpka kwenye maduka ya wakristo kuomba michango ya kujenga msikiti.
PhD za kike πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›mmeshindwa mapinduzi , mmehamia kwenye taarabu ..
 
Uongo huo , vijana wa paulo manadanganywa ..Matapeli wakubwa nyie , yule mmoja na kanisa lake kapitisha madawa , amekufa leo mwanae ni teja wa kutupa ..Wezi nyie .
 
PhD za kike πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›mmeshindwa mapinduzi , mmehamia kwenye taarabu ..
Mbona Kuna waislamu wenzako wakina shehe sharifu majini ambao waliuliwa kama kuku na risasi au hujui unakula biriani tuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…