Na ndiye raisi wa kwanza ambae ameleta maafa makubwa ambayo hayajawahi kutokea nchini mpaka kupelekea kuua raia wengi sana nchini kwa kutumia jeshi l,Hilo jiambie wewe na minyumbu myenzio mnaoteseka, wengine Wala hatuna habari hi zo; tunasngalia tu maendeleo. Kuhusu kutokudumu milele Waislamu wanafahamu na kulikubali hilo kuliko kitu chochote hivyo Wala usijihangaishe kumwambia hivyo Samia kwani atakuona ni mshamba mmoja uliyechelewa mno.
Nimalizie na kukukumbusha jambo Moja muhimu linaloumiza mioyo yenu kupita kiasi; nalo ni kuwa itabaki milele kuwa RAISI WA KWANZA MWANAMKE KWENYE NCHI HII YA TANZANIA NI DR SAMIA SULUHU HASSAN, mleta mageuzi ya kweli.......sizungumzii habari za dini yake, hilo nakuachieni nyie mambururaz.
Kwa hiyo Nyerere ni muislamu mwenzako sio?Nioneshe kanisa lako katika harakati za uhuru , mlikuwa mnamuimbia mkoloni mapambio ..Mmekwisa nyie , mikwara za kizamani
Kati ya sisi na nyie Nani anayejiona ana haki ya kuwa juu ya wenzake.Kwa hiyo baba wa taifa kuwa mkatoriki ndo inawapa nyinyi haki ya kujiona ni bora kuliko raiya wasio kuwa wakatoriki?
Kwa hiyo ww lengo na matamanio Yako ni taifa kuwa kwenye mfumo katorikiNyie lengo lenu ni kuona nchi nzima inakuwa na mfumo wa kiislamu,
Lengo langu ni kukwambia kwa hiyo agenda yenu haiwezekani
Si angepigani uko bara kwao , mpaka kaja kwa wajanja ..Harakati zote huku kwetu , huko bara mlikuwa bado mnalima .Kwa hiyo Nyerere ni muislamu mwenzako sio?
Hujui kama yeye ni mkatoliki safi na ndiye anayetambulika kupigania uhuru wa tanganyika hata kusaidia nchi jirani?
Aliye kwambia shida ya waislamu ni kujengewa msikiti ,au kuvaliwa kazi siku nzima?Kati ya sisi na nyie Nani anayejiona ana haki ya kuwa juu ya wenzake.
Mfano:kipindi raisi magufuli yupo madarakani aliwajengea mpaka msikiti mkubwa zaidi pale dodoma na akawa anashinda amevaa kanzu zenu.
Lakini nyie baada ya huyu mama yenu kushika nchi,anataka kila sekta wote wanufaike waislamu tuu mpka inafikia hatua mnatuona sisi kama adui zenu.
Mmeshindwa na mambo yenu ya udini huko chadema mnaanza maneno ya umbea umbeaMama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Mimi nimekutajia ufisadi wa mkapa.. na wewe taja wa kikweteUfisadi wakati wa mkapa utaulinganisha na wizi wakati wa kikwete..?
..wewe ni punguani, zitaje hizo shule za makanisa zinazofanya biashara ya elimu..huyo mwenye jukumu anao huo uwezo? unakoroga koroga mambo hata huelewi unacholeta, mambo ya kusoma waislamu hawawezi ni kubabaisha tu na ku-demand mambo makubwa wakati uwezo kdg..toa mfano wa shule ya kanisa kulalamikiwa hicho unachokisema..yupi bora boda boda anayejitafutia kihalali au kibaka mvuta bangi na madawa ya kulevya anayekaba watu uck..Ebu kuwa na akili basi ww kilaza ,mm sijasema shule sio lazima bali nimesema kujenga shule sio lazima Kwa mtu yeyote, mwenye jukumu la lazima la kutoa elimu kwa raia wake ni serikali ukiona taasisi za dini au watu binafisi wameamuwa kujenga shule basi zimezijengwa Kwa sababu za kibiashara tu na sio wajibu wake wa lazima.
Na ndio maana nyinyi waumini mnachanga pesa za kujenga shule lakini ikikamilika watoto wanao somea hapo ni watoto wa wenye hela tena wasio kuwa waumini wa hilo kanisa wakati nyinyi mlio changa hela za kujenga hiyo shule watoto wenu wanasomea kayumba.
Sasa kama hata hao waislamu wachache walio soma wakiteuliwa na kuajiliwa mnataka kupasuka mioyo na mnakimbilia humu kuanzisha nyuzi za kijiliza udini,je waislamu wangekuwa wamesoma wengi na kuajiliwa wengi simngeshika silaha na kuingia mitaani kupigana ?
Waislamu wako nyuma, vipi wakristo ndani ya nchini hii wako mbele Kwa kipi na kuwa kwao mbele kumeisaidia nini Tz?
Mbona mikoa karibia yote yenye umasiki uliyo kithiri ni ndo mliko jazana?
Hizo shule na vyuo mnavyo jisifia vina fanya nini la maana zaidi ya kuzalisha boda boda na Malaya wa bei rahisi mitaani?
Sina maana hiyo,lengo langu ni kuona kila mtu anafaidi mema ya nchi,Kwa hiyo ww lengo na matamanio Yako ni taifa kuwa kwenye mfumo katoriki
..Epa, richmond/dowans, escrow kwa uchache..kasome ripoti za cag ulinganishe..Mimi nimekutajia ufisadi wa mkapa.. na wewe taja wa kikwete
Huna akili kwa hiyo hizo shule huwa wanasoma bure ?..wewe ni punguani, zitaje hizo shule za makanisa zinazofanya biashara ya elimu..huyo mwenye jukumu anao huo uwezo? unakoroga koroga mambo hata huelewi unacholeta, mambo ya kusoma waislamu hawawezi ni kubabaisha tu na ku-demand mambo makubwa wakati uwezo kdg..toa mfano wa shule ya kanisa kulalamikiwa hicho unachokisema..yupi bora boda boda anayejitafutia kihalali au kibaka mvuta bangi na madawa ya kulevya anayekaba watu uck..
Tukiangalia takwimu za ajira ,na nafasi za uongozi hapa nchini ni watu gani waliokandamizwa kati ya waislamu na wakristo?Sina maana hiyo,lengo langu ni kuona kila mtu anafaidi mema ya nchi,
Je kwa nini wengine wapambane kuwakandamiza wengine?
CCM imefanyika kuwa jumuiya ya kiislamu kama ilivyo Shula ya maimamu.Mama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Kwa hiyo kama nyie wa zanzibar ni wajanja kwa nini mlikubali awashawishi muungano?Si angepigani uko bara kwao , mpaka kaja kwa wajanja ..Harakati zote huku kwetu , huko bara mlikuwa bado mnalima .
Kwa nini tulie na kusaga meno?kwamba nyie ni wengi sana kiliko sisi au kwa nini yani tulie?Aliye kwambia shida ya waislamu ni kujengewa msikiti ,au kuvaliwa kazi siku nzima?
Leo hii tukiamua twende haki Kwa haki kuanzia kwenye ajira na nafasi ya uongozi nyinyi wagaratia simtalia na kusaga meno.
Choko wewe..Epa, richmond/dowans, escrow kwa uchache..kasome ripoti za cag ulinganishe..
Mkapa aliondoka bei ya sukari kwa kilo sh. 500 linganisha kipind kikwete anamaliza bei ya sukar ilikuwaje..hiyo ndio mizani nzuri kupima nani alijenga nchi na nani alibomoa..
Wakristo wekandamizwa,Tukiangalia takwimu za ajira ,na nafasi za uongozi hapa nchini ni watu gani waliokandamizwa kati ya waislamu na wakristo?