Islamization ya CCM-CCM inasilimu

Sasa unapinga nini..acheni mentality za ulaghai kwamba hakuna udini wakati upo toka zamani hata ukabila upo..mtu huru kifikra hawezi kupoteza muda na propaganda za ulaghai, na dawa ya hili tatizo ni lazima upande mmoja uwe juu ya mwingine..hakunaga 50/50
 
Una mawazo ya mshindwaji anayetaka kufakamia kile asichonacho.
Siasa ni all inclusive without discrimination of gender, creed , race or tribe.
Mkianza ku entertain mentality ya divisions based o the above, ujue hapo mnakaribisha kitu hamuwezi ku control.
 
Wewe utakuwa unatumia kijambio kufikiri siyo akili ...hapa tz hakuna kiongozi hata mmoja muislamu mzalendo hata hotuba zao ukizisikiliza zimejaa upumbavu mtupu ...mfano uwezi kufananisha hotuba za Nyerere na raisi yoyote muislamu tanzania ....swali la logic ...kama umekosa UZALENDO NA AKILI HATA KWA KILE KITOKACHO KINYWANI MWAKO UNAWEZAJE KUWA NA AKILI NA UZALENDO KWENYE VITENDO..yaani kiongozi asiye na akili hata katika kile akiwazacho anawezaje kuwa na akili katika kile akitendacho......mfano chukua hotuba 100 za kikwete na za samia kisha linganisha na hotuba 100 za nyerere au JPM kisha njoo hapa ...
SASA TAMBUA KUWA VIONGOZI WAISLAMU NI UCHAFU MTUPU TENA ULIO DHAHIRI KABISA.
 
Wakiristo walidandia treni ya Uhuru ikiwa imeshashika kasi. Harakati nyingi za kudai uhuru zilianzia pwani kwa Waislamu
..wakolon waliweka makao makuu ya utawala wao pwani walikokuwa wanaingilia na kutokea kwenda kwao, isingewezekana kuwapinga ukiwa bara ambako hawako..
 
..tiba ya tatizo lolote ni kudeal na source, ulaghai unaosema kupaka paka mafuta tatizo ndio umefikisha nchi hapa ilipo.
 
Hivi why wakristo wakiwa wengi mahali sio udini ila waislamu wakizidi tu tunakimbilia kusema ni udini.
Kwa TZ kwa miaka mingi, mawaziri idadi kubwa walikuwa wakristo, manaibu same, kwenye chama, same.
Mind you, I am a Christian lakini haya masuala ya udini ni hatari. Bora tu tupiganie tanganyika na zanzibar ila sio udini. Itakuwa ngumu kuigawa Tanganyika kwa misingi ya udini.
India walijaribu ikapatikana Pakistan, waislamu waliobaki India hadi sasa wanaipata pata kutoka kwa chama cha Modi.
Tukomae na Tanganyika masuala ya Uislamu na Ukristo tuachane nayo.
 
Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,
Hivyo ni zamu yenu tuu.
Hilo jiambie wewe na minyumbu myenzio mnaoteseka, wengine Wala hatuna habari hi zo; tunasngalia tu maendeleo. Kuhusu kutokudumu milele Waislamu wanafahamu na kulikubali hilo kuliko kitu chochote hivyo Wala usijihangaishe kumwambia hivyo Samia kwani atakuona ni mshamba mmoja uliyechelewa mno.

Nimalizie na kukukumbusha jambo Moja muhimu linaloumiza mioyo yenu kupita kiasi; nalo ni kuwa itabaki milele kuwa RAISI WA KWANZA MWANAMKE KWENYE NCHI HII YA TANZANIA NI DR SAMIA SULUHU HASSAN, mleta mageuzi ya kweli.......sizungumzii habari za dini yake, hilo nakuachieni nyie mambururaz.
 
Wajinga hao , usibishane nao ..Nimewakuta wanafundishana huo ujinga kanisa, hawa chuki zao za kujificha , baada ya mapinduzi yao kushindwa wamekuja upya ..TEC walihusika ni vile serikali inawaaangalia tu , ila walipanga mapinduzi .
 
Watu wa Mchambawima utawajua tu.
Akili huwa ndogo saana hadi haziwasaidii.
Nani asiyejua Samia ni mdini hadi utosini, lakini matendo yake yanausaidia huo udini wake?
Okt29 kaua, tena wengi tu.
Itabaki kuwa alama ya udini ambao haukumpa sifa njema.
Mnaoshabikia mnaonyesha upunguani usio na tija.
 
L
Mada za Udini zisipendi ila waislamu wamekua wanafanya vibaya kwenye Uongozi wao ni kuuza rasilimali za nchi tu
Muanzilishi wa kubinafisisha mali na mashika ya uma si mkapa mgaratia mwenzenu tena Kwa bei za kutupwa?
Mkapa si ndo aliuza nyumba zote za serikali Kwa bei ya kutupwa ,mkapa si ndo aliuza viwanda vyote vya serikali Kwa bei ya kutupwa?,mkapa si ndo aliuza benki ya taifa NBC?
Migodi yote mkubwa nchini siiliuzwa na mkapa ,ziwa Viktoria siilibinafisishwa na mkapa?
Unaweza kuniambia Kikwete na mwinyi walibinafisisha kipi kikubwa kumzidi Mkapa.
 

Najiuliza, katika kusilimu, Mwinjilisti Aggrey Mwanri naye yumo?
 
Lakini baba wa taifa ni MKATOLIKI na itabaki hivyo milele,na huyo mama yako hata dumu milele hapo atakuja mkristo mwingine safi kama magufuli,
Hivyo ni zamu yenu tuu.
Kwa hiyo baba wa taifa kuwa mkatoriki ndo inawapa nyinyi haki ya kujiona ni bora kuliko raiya wasio kuwa wakatoriki?
 
Hivi mkuu tukiamua kwenda 50/50 ni watu wapi Takao athirika kati ya waislamu na wagaratia?
 
Kwenye suala la balance waislamu ndo wahanga wakubwa ndani ya nchini hii.
Ni kwa sababu huijui the religious demographic distribution katika nchi hii.
Na kwa makusudi tawala zilizokuwa na marais waislamu walididimiza hili.
Iko hivi : Wakristo 63%. Waislamu 34%, Waaminio imani za mababu 11%, wasio na imani kabisa 3%.
Mgawanyo hua hata baada ya uhuru haukufuatwa maana Mwalimu alifjaribu sawazisha kwa misingi ya imani kuwaingiza kwa wingi waislamu kwenye mfumo wa kiserikali, elimu na mambo mengi.
 
Jamani tusome jamani (in Dotto magari's voice 😆😆).. Kenya na Tanganyika ni tofauti Kenya ni settlers colony.. Wakikuyu waliporwa mashamba na waingereza na ndio kilichochea mau mau.. hapo maslahi kaka ndio maana kenya pia ni kabila moja tu lilikuwa front Wakikuyu
 
Waislam hawana shida wao wanachotaka 50/50 tu kwa sababu nchi hii ni yetu sote

Tatizo upande wa pili sasa, wao wanataka hata iwe 90/10.. wao wawe na 90.. na ndio maana mkeka ukitoka wa uteuzi hata rais akibalance kama kateua 10.. kwa mgawanyo wa 5/5 Bado nongwa

Wakiona mkeka mzima wapo wao tu..kama enzi ya meko mijino kenuuuu..

It's so disgusting 🤮🤮
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…