Kuna hearing ktk Congress in USA, ambayo inaquestion Muslim Community. Ktk mpango huu kuna mpango maalum wakufanya Wamarekani kufear na Uislam, kuongeza chuki na Uislamu.
Je hii ni Chuki ya Wamerakani na Uislamu? au ni Kampeni maalum ya kumuondosha Obama madarakani mwaka 2012 kwa njia ya kusema kamba Obama ni Muislamu?