Kwa nini mna madhehebu mengi (Suni, Shia etc...), why dont you have only one..??? Na hata kusheherekea IDD hawa wanaanza na wengine wanafuata kesho yake........
madhehebu yanatokana na 'personal opinions' za watu. Mfano Sunni na Shia have different views on who should have been the first Khalifa.
Personal opinions is human in nature na ndio maana kuna tofauti, nature hiyo haipatikani katika kuwepo kwa 'vitabu' in Uislamu na hakuna mwenye cha kwake tofauti na kilichopo, lakini sifa hiyo ya kitabu kimoja haipatikani ndani ya Ukristu. Je wewe umefanya nini kuamini na kujishawishi kwamba Biblia yako ndio sahihi na sio ya wengine?