Isis is closing in on Israel from the south and North

Isis is closing in on Israel from the south and North

Yeah,unashangaa?,israel haina power projection kubwa,kwa nchi za mbali kama iran etc wanachoweza ni ku sneack attack kwa ndege zao,kisha hao mbio.
hata kwa syria ambao ni battle harden,israel ataishia ku sneak attack.
ni kama mtu umesimama aje mtu speed nyuma,anakuzabua kibao cha kisogo,ukigeuka kwa taharuku unaishia kuona vumbi mtu anaishilizia.

Mkuu inaonyesha wewe ni mjuvi wa vita eeh! ?
Kwanza ondoa uwezekano wa waarabu kutumia nuclear. Hata kama wanayo
Palestine na Israeli wamechanganyika pamoja hivyo matumizi ya silaha za maangamizi yataangamiza msikiti mtakatifu (dome of rock)wa wapalestina na wapalestina wote na waisrael. Na hii ni dhambi ya ukafiri kwa Allah hawataweza kuifanya.

Okey kama waisrael wanaweza ku-sneak. Je Waarabu wanaweza nini? You Tell me....
 
Isis haina uwezo wa kuivamia Israel.ISIS ni kosa kubwa la Al-Baghdad kwa sababu mwisho wa siku watasabisha Iraq na Syria kugawanyika katika matabaka matatu( Wakurdi,Washia na Wasunni) labda iwe ndo lengo lao
 
President Nixon saved ISRAEL from annihilationPresident Nixon saved ISRAEL from annihilation
Israel lady Prime Minister GOLDA MEIR phoned U.S. President RICHARD NIXON at 3 am to send Israel help. And Nixon KNEW that was the mission of his life, regardless the consequences to him.
In 1973, Israel was in the brink of annihilation as 12 Arab nations had lined up their tanks and troops against the ill-equipped Jewish army.
Godda Meir wrote in her diary she thought of suicide because of the hopeless situation.
Earlier, Meir had asked the help of then Secretary of State Henry Kissenger but of no avail.
Against All Odds: In Search of a Miracle /episodes2.php
The News Today Online - Iloilo News and Panay News /2009...wish.state.from.annihilati on.html
.

Ulichoongea ni kweli, but do you think Israel will let that happen again?
 
Nadhani contradictions za Middle East ni Nyingi, tena Nyingi sana, kuna vita Kati ya tafsiri ya uislamu (faizafoxy hasemagi kitu hapa ni aibu) Kati ya suni na Shiite, hii ni Syria, lebanon, Bahrain , misri kidogo, Iran, turkey na Iraq, kuna Imani kuwa wairan siyo waarabu, hiyo ni Kuwait, Saudi Arabia, UAE, na Jordan. Kuna tatizo la influence ya Iran kwa wale wanaojiona kuwa ni domain ya waarabu proper, hiyo ni Syria, Iraq, Lebanon, turkey , Saudi arabia na Bahrain. Kuna nia ya Isis kujenga caliphate mpya ya pure islam beliefs ( not sure which) hii inahusu tena Syria , Lebanon, Iraq, Jordan na turkey. Kuna tatizo la mtazamo wa kuzuia formation ya state ya Kurdistan, hii inahusu Iraq na turkey, na uoga wa kukuza jeshi la peshmerga. Halafu kuna general issues za vijana kwenye falme Zote za kiarabu ( typical panya road) na matatizo ya utawala wa kifalme , Ajira n.k , na kuna tatizo la Palestine internally Kati ya Hamas na Palestine authority, na kila mtu na washabiki wake, na kuna tatizo la wapelistina wengi walio Jordan kuliko wote wanaosihi Palestine na gaza strip, lakini Hawana nia ya kurudi Palestine, na Jordan hawana nia ya kuwapa uraia hata baada ya miaka 60 na wanaishi kwenye camps( Hawa huwa hawazungumziwi hata kidogo) , kuna vita Syria ya wenyewe kwa wenyewe, Kuna fukuto la dini Zote lebanon, na usisahau pia kuna protected interests za marekani especially kwenye Mafuta. Marekani wakati wote wamewatumia waarabu kama toilet paper Yao, Leo ki kubwa ni kutumia Saudi arabia kushusha bei ya Mafuta chini ya nusu bei, ili waifilisi urusi. In short ability yao kuwa kitu ki moja na kupigana na taifa dogo kama Israel Haipo .

Hapo kwenye red sio suala la imani, ni kwamba Wairan sio waarabu.
 
Mkuu umemaliza kila kitu, middle east issues are complex!
 
Wairan si waarabu watu hawafahamu kuhusu human Races kwa kuongezea ni vyema watu wakagoogle Who is Arab..!!?

Is like saying Nothern Sudanese, Egyptians, Algerians, Moroccans, Libyans are Africans not Arabs Right?
That racist percian blood are no better than real Arabs. They all the same
 
Is like saying Nothern Sudanese, Egyptians, Algerians, Moroccans, Libyans are Africans not Arabs Right?
That racist percian blood are no better than real Arabs. They all the same
Arab identity is based on one or more of
genealogical , linguistic or cultural grounds,
en.m.wikipedia.org/wiki/Arabs
 
ISIS will never attack Israel at all, because ISIS =Israeli Secret Intelligence Service. Abu Bakr Al Baghdadi is trained by the Israeli Mossad, he spent a few months being trained in how to communicate effectively and how to get people to follow him. When ISIS soldiers were wounded they were getting treated in hospitals in Israel:A S wink:

VERY true.

With information just breaking that the United States has been air dropping arms, food and medical supplies to Islamic State of Iraq and Levant (ISIL) forces in Iraq, supposedly the world’s latest terrorist enemy on steroids, what has been suspected all along is now being confirmed.

To add fuel to the fire, this news comes just as warmonger Senator McCain got busted for secretly and illegally entering Syria to meet with ISIL to coordinate strategy on that warfront.

Clearly the ISIL is an ally to the US government in both Iraq and Syria. The command headquarters operating out of the US Embassy in Baghdad has been overseeing the US military airdrops of war supplies to our purported latest enemy in various provinces throughout Iraq. Back in October the US lied about an accidental dropping of supplies that went to the Islamic State jihadists instead of to the Kurds. The strategy in Iraq is to prolong the “war” against ISIL in order to ensure that permanent US military bases there get established, something recently deposed Iraqi President Maliki refused. It wasn’t so much Maliki’s poor leadership that spearheaded persecution and killing of so many Sunnis during his reign of terror that caused Washington to finally pull the plug on him. It was his kicking Americans out of his country entirely at the end of 2011 that brought his US orchestrated removal from power several months ago.

Just as the US Empire created al Qaeda and Osama bin Laden back in the 80’s to finish off the Russians in Afghanistan, then backed al Qaeda’s ethnic cleansing of Serbs in Kosovo and Bosnia, paving the way for bin Laden to play the heavy in collusion by Saudi-Israeli assistance to pull off the coup d’etat of the century on 9/11, it all became false pretext to wage permanent war on terror. Now that the US government has torn the Middle East asunder into multiple war ravaged failed states, with these latest revelations coming out of Iraq, the US cover has been completely blown – ISIL turns out to be just another axis-of-evil Empire creation by the US-Israeli-Saudi governments. Based on these latest on the ground accounts filtering in through Iranian and Iraqi intelligence sources, those previous reports from months ago on how the United States was covertly financing and training this “new and improved” brand of Islamic State terrorism again created by the US turns out to be absolutely true.

Like al Qaeda in the 1990’s Balkans, ISIL is the latest US mercenary terror on the ground fighting the US proxy war in Syria against Bashir al Assad’s forces and then seven months ago when ISIL invaded Iraq, it created the perfect excuse to deploy once again US troops on the ground in Iraq, remove former US puppet Melawi, set the stage for balkanizing Iraq into three separate entities (Kurds, Shiites and Sunnis) and fight a fake war against ISIL long enough to regain a military foothold in the country while following through with the overall longtime agenda to thoroughly destabilize the entire region.

Long ago even prior to 9/11 the neocon game plan still being acted out today was to wreak havoc in the Middle East and North Africa, taking down one regime after the next, plundering oil rich lands for Exxon, Shell and BP, carving up and devising chessboard pipelines to Europe while isolating and cutting off Russia and Iran oil and gas routes, waging the blood for oil conquest for global hegemony at the murderous expense of the darker skinned human population that happens to be Moslem.
 
tatizo la 2013 ni ushabiki.
Iran anazalisha silaha zake yenyewe na hapa tumesema sana,ila jamaa ushabiki umemziba macho,wanatengeneza manowari,helicopter,ndege,makombora wao,wenyewe,hata air defence baada ya mrusi kukataa kumuuzia s-300 baada ya kuwa wameshalipa,ikabidi waifungulie kesi,iran walitengeneza ya kwao.wewe unadhani kwanini marekani kaanza kulainisha lugha kwa iran?.
Iran imeshawahi kukalia palestina yote,miaka ya nyuma na huyo anaewasaidia alikua wapi?.
Syria ambalo ndo taifa kongwe hapo kabla hata hajazaliwa abrahamu lilishakaa hapo kwa mamia ya miaka,we huoni ajabu kwanini syria haanguki?
Uchumi wa israel hauwezi kusustain vita vya zaidi ya miezi miwili na inabidi waishukuru sana ufaransa kwa kuwasaidia tech ya silaha za nuclear ambazo ndo wanategemea sana.

nenda shule uje tena israel wana project nyingi sana za silaha za kivita hayo mataifa unayoyasema yanawapa technologia ndo yanasuport hizo project. Kwenye kila technologia ukiangalia chanzo israel was behind it.
 
in the first days of the 1973 war and Prime Minister Golda Meir begged for American help, Nixon delivered.
Not only that. When he learned the deliveries were being bogged down by bureaucracy, he called in his secretaries of state and defense.
As Henry Kissinger read out the list of what was being sent to Israel, Nixon replied, ¡°Double it. Now get the hell out of here and get the job done.¡±
He further made clear to the Israelis not to worry about weapons and ammunition: America would replace whatever they¡¯d lost with even more advanced equipment.
¡°Whatever it takes,¡± he told Kissinger, ¡°save Israel.¡±

Israel beg USA to look for Russia not to intervene
 
Tatizo unaanza kuleta mambo ya imani wakati mjadala ulikua unaanza kwenda vizuri.hapa tunaongelea reality na si faith.
ukienda hivyo kwa kujidanganya eti kuzungukwa ndo kushindwa ntakuuliza kwanini licha ya cuba kuzungukwa na washirika wa marekani hawakuwahi kuishinda.

Sasa wewe unaleta masihara unadhani Cuba wana uwezo wa kuipiga marekani tofautisha cold war na hot war hahahahah ukipelekwa Cuba utakimbia kwa hali ilioko hapo shida tupu ndo maana juzi kati Obama kasema wanarudisha uhusiano wananchi wanashangilia. Ukomunisti ni shida ujeuri wa kiongozi unawaumiza wananchi wewe unasema Cuba imeshinda hahaha angalia Operation Urgent Fury
 
dogo hio ya siku 6 ni hadith za kale, wakati huo kumbuka kuna nchi za kiarabu hata gari ni mfalme tu ana Land Rover na wengi wana nchi walikuwa wana safiri kwa punda tu, sa hivi Israel hana kitu mbele ya warabu mabint wacha wanaume wanachezea F16 kama wanacheza Play station:A S wink:

Acha pumba six day war Misri ndo taifa lilokuwa nna vifaaa vya kisasa kuliko mataifa yote ya uarabuni walizidiwa ki intelligence na israel. COz ndege za kivita za misri zingeweza maliza ile vita chaaap ila jiulize why wakaomba msaada kwa mataifa yote hayo mpaka wanapewa kichapo wanadanganya wananchi kuwa sasa hivi tunaipiga TELVIV kumbe wanachezea jangwa
 
OK,mimi sijadai hamas hawakufa pia,nachoshangaa kwanini taifa la israel mnalodai linajua sana kufanya vita na hakuna awezae kupigana na israel,kwanini wali retreat?
kwanini hawaiteka gaza?

Elungata weka akili yako kidogo Hamas huwezi washinda hata siku moja hao ni hide and seek hata israel ingeteka hamas sana sana ingewekewa vikwazo na UN coz hamas wangejificha wanajichanganya na raia wanakuwa wanajilipua kimya huku pressure ikizidi kwa israel kutokana na mataifa mengine so waliliona hilo. Hamas dawa yao ni drones tu kama USA anavyowafanya mbaya Taliban
 
Cc Elungata
 
Last edited by a moderator:
Acha pumba six day war Misri ndo taifa lilokuwa nna vifaaa vya kisasa kuliko mataifa yote ya uarabuni walizidiwa ki intelligence na israel. COz ndege za kivita za misri zingeweza maliza ile vita chaaap ila jiulize why wakaomba msaada kwa mataifa yote hayo mpaka wanapewa kichapo wanadanganya wananchi kuwa sasa hivi tunaipiga TELVIV kumbe wanachezea jangwa
dogo akili zako zinaonyesha umeisha changanyikiwa na bangi, hujui unacho ongea.
 
nenda shule uje tena israel wana project nyingi sana za silaha za kivita hayo mataifa unayoyasema yanawapa technologia ndo yanasuport hizo project. Kwenye kila technologia ukiangalia chanzo israel was behind it.

Arab identity is based on one or more of
genealogical , linguistic or cultural grounds,
en.m.wikipedia.org/wiki/Arabs

Mkuu uko sawa lakini ukweli ni kuwa Ayatollah wa Iran anatabia ya kuuita "Ulimwengu wa KIISLAMU" especially pale alipo
Lakini kwa hapa ukiitaja ISIS. Lakini ukitumia lugha hiyo unachokoza mabishano ya kidini. Ndo maana kwa kuokoa muda inabidi tuwaite Waarabu.
 
nenda shule uje tena israel wana project nyingi sana za silaha za kivita hayo mataifa unayoyasema yanawapa technologia ndo yanasuport hizo project. Kwenye kila technologia ukiangalia chanzo israel was behind it.

Achana na huyo jamaa elungata, yeye ni jihad mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom