2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,365
- 6,086
- Thread starter
- #61
Yeah,unashangaa?,israel haina power projection kubwa,kwa nchi za mbali kama iran etc wanachoweza ni ku sneack attack kwa ndege zao,kisha hao mbio.
hata kwa syria ambao ni battle harden,israel ataishia ku sneak attack.
ni kama mtu umesimama aje mtu speed nyuma,anakuzabua kibao cha kisogo,ukigeuka kwa taharuku unaishia kuona vumbi mtu anaishilizia.
Mkuu inaonyesha wewe ni mjuvi wa vita eeh! ?
Kwanza ondoa uwezekano wa waarabu kutumia nuclear. Hata kama wanayo
Palestine na Israeli wamechanganyika pamoja hivyo matumizi ya silaha za maangamizi yataangamiza msikiti mtakatifu (dome of rock)wa wapalestina na wapalestina wote na waisrael. Na hii ni dhambi ya ukafiri kwa Allah hawataweza kuifanya.
Okey kama waisrael wanaweza ku-sneak. Je Waarabu wanaweza nini? You Tell me....