Isis is closing in on Israel from the south and North

Isis is closing in on Israel from the south and North

Elungata hapa utakuwa unamung'unya Maneno.frankly speaking. USA ilisaidia zana tu. Unapotaja idadi ya silaha huku una ignore population ya Jew ilivyokuwa ndogo.. wangezitumiaje? Je USA ingekubali kuriski silaha zake zote kwa kataifa kasikokuwa na uhakika wa ushindi?yugotabiikiding
Pili shambulizi LA kushtukiza LA waarabu wote plus jeshi LA Soviet miongoni mwao. We kwanini usiite hii kuwa ni vita ya dunia dhidi ya Israel.

Umewahi kuhoji kwanini waarabu wanakiri kuwa Israeli ina uwezo?
Au unadhani wanategemea kospirasi ili wajue ukweli?

Dunia yote ya waarabu wanajua pasi na shaka wala kulazimishwa kuwa Israeli iko fiti ile mbaya. Na ndio wao wanaoeneza hoja kuwa Israel INA miliki nyuklia.
Nyinyi acheni kuwaponza kwa kuwadanganya wakati wao(Arabs) wanajua kabisa walishajaribu lakini Allah hakuwa upande wao to date.
Nyinyi msiojua machungu ya waarabu mtajikuta mnawaponza kwa ujuaji wenu. Kaleni ugali mshibe mlale. Waarabu wanajua zaidi. ISIS wanajua zaidi.
Kwanza nadhani umekubali kuwa walipigwa na ikabidi waombe msaada.
pia utetezi wa idadi ya watu kwa mwaka huo haisaidii,kwani haikua tofauti na leo kwa uwiano.
pia mwaka huo nchi zilizotumia askari kwa upande wa waarabu hazizidi 4,syria,misri,jordan.
idadi ya askari haikuwa tofauti kivile,ukichukulia kuwa karibu raia wote wa israel ni wajeshi.
kwamba walishtukizwa baado sio utetezi,kwani wasingestukizwa silaha zingechomoza kimiujiza.?.
tena eti kuvamiwa na mataifa mengi ndo kigezo cha kuwapa ushudaa,vipi kuhusu korea ya kaskazini ilovamiwa na mataifa karibu 40 ya umoja wa washirika na zikapigwa mpaka draw?,nao wanasaidiwa na mungu.
mungu hasaidii kufanya mauaji.
 
Huyu jamaa bana,eti waarabu wanaikubali sana israel,wapi hata robo andiko likisema hivyo?.
mimi nikiwa na mda naweza kukuletea maandiko na ikajaa roli jinsi israel ama netanyau wanaodai iran ni hatari kwa usalama wao na akitaka marekani imsaidia kuipiga.

kuhusu nuclear,unajidanganya tu,mabomu yote ya israel hayatoshi kuteketeza nchi zote za mashariki ya kati,wakati israel kuifuta inaihitaji kombora moja ama mawili.
na kitu kitatoka pakistan.
 
Israel siku ya Yam khipur (taarifa walikuwa wamezipata mapema mno) GOLD MEIR akakataa kufanya suprise attack kama mwaka 1967

HII DOCUMENTARY IKO UNBIASED KABISA mnaweza kufadika hapa

Last edited by a moderator:
Kwanza nadhani umekubali kuwa walipigwa na ikabidi waombe msaada.
pia utetezi wa idadi ya watu kwa mwaka huo haisaidii,kwani haikua tofauti na leo kwa uwiano.
pia mwaka huo nchi zilizotumia askari kwa upande wa waarabu hazizidi 4,syria,misri,jordan.
idadi ya askari haikuwa tofauti kivile,ukichukulia kuwa karibu raia wote wa israel ni wajeshi.
kwamba walishtukizwa baado sio utetezi,kwani wasingestukizwa silaha zingechomoza kimiujiza.?.
tena eti kuvamiwa na mataifa mengi ndo kigezo cha kuwapa ushudaa,vipi kuhusu korea ya kaskazini ilovamiwa na mataifa karibu 40 ya umoja wa washirika na zikapigwa mpaka draw?,nao wanasaidiwa na mungu.
mungu hasaidii kufanya mauaji.

Nikisoma baibo naona Taifa hili LA Mungu wa Kweli lilikuwa linashinda vita nyingi kama daudi na Goliath, na pale wanapomuudhi mungu wanapokea kipondo lakini ni kama kwenye movie hivi. Mwisho wa siku wao ndio sterling na Arabs ndio kubwa LA maadui. Kama ulikuwa mpenzi wa movie drive in enzi hizo ungetabiri nani mshindi? The answer is obvious.
Israel IPO military muscle.
 
Huyu jamaa bana,eti waarabu wanaikubali sana israel,wapi hata robo andiko likisema hivyo?.
mimi nikiwa na mda naweza kukuletea maandiko na ikajaa roli jinsi israel ama netanyau wanaodai iran ni hatari kwa usalama wao na akitaka marekani imsaidia kuipiga.

kuhusu nuclear,unajidanganya tu,mabomu yote ya israel hayatoshi kuteketeza nchi zote za mashariki ya kati,wakati israel kuifuta inaihitaji kombora moja ama mawili.
na kitu kitatoka pakistan.

Mkuu hufahamu tu, Israel inamtambo wa kuzuia nyuklia.
Iran haiwezi kutumia silaha labda kama wanalenga kujilipua na wao.
Na kwa taarifa yako Israel ndio imetishia kuishambulia Iran. Na kwa nyongeza Israel in anaitazama Iran kama kuruhusu jipu likuwe ije kuwa shida kulitumbua.ndio maana wanataka kuchukua tahadhari mapema.
Si Israel tu inayoitazama kwa ugomvi likewise Saudi hawataki US ipatane na Iran.wanaichukulia kama kitisho.
 
Nikisoma baibo naona Taifa hili LA Mungu wa Kweli lilikuwa linashinda vita nyingi kama daudi na Goliath, na pale wanapomuudhi mungu wanapokea kipondo lakini ni kama kwenye movie hivi. Mwisho wa siku wao ndio sterling na Arabs ndio kubwa LA maadui. Kama ulikuwa mpenzi wa movie drive in enzi hizo ungetabiri nani mshindi? The answer is obvious.
Israel IPO military muscle.
Kwanza ishu ya daud na goliati ina utata na pia zilikua ndondi.hata kama ilikua vita ni ushabiki tu kudai kuwa walishindwa walipomkosea sijui mungu,tuseme siku hizi wameokoka ndo maana wanashinda kama unavyaamini?.
hizo ni habari za kuamini ama imani na si halisi.
nakuletea mfalme ahaz wa yuda uone alivyokua akipata kibano cha wasyria mpaka akaenda kuomba msaada egypt.
 
Mkuu hufahamu tu, Israel inamtambo wa kuzuia nyuklia.
Iran haiwezi kutumia silaha labda kama wanalenga kujilipua na wao.
Na kwa taarifa yako Israel ndio imetishia kuishambulia Iran. Na kwa nyongeza Israel in anaitazama Iran kama kuruhusu jipu likuwe ije kuwa shida kulitumbua.ndio maana wanataka kuchukua tahadhari mapema.
Si Israel tu inayoitazama kwa ugomvi likewise Saudi hawataki US ipatane na Iran.wanaichukulia kama kitisho.
Mtambo upi,useme hapa,au unadhani iron dome ama arrow itadungua kombora la nuke?.

kama iran haitishi then kwanini wanaigopa wakati hata haina history ya kuvamia kwa zaidi ya miaka 200?
 
Ahazwas twenty years old when he succeeded his father Jothamto the throne of Judea. He was a weak and idolatrous king. He even made his son walk through the fire of Moloch, aping the abominable custom of the Phoenicians. Another son, Hezekiah, who was to become king after Ahaz, was saved from the flames of the idol by his mother.
Soon great troubles and misfortunes befell the land and the king. The Edomites revolted, and even made a successful invasion of Judah, carrying off many captives. Then the Philistines also broke into some western districts of the land which they annexed to their own territory. Finally, Rezin, the king of Syria, who had Joined forces with King Pekah of Israelwhile Jotham was yet alive, marched on Judea together with his associate.
Ahaz suffered a crushing defeat at the hands of Pekah. Many people of Judea were killed and numerous prisoners were brought to Samaria. The prophet Obed went to meet the victorious army of Pekah and said: "Because G-dwas angry with Judah, He gave her into your hands. You have slain many in cruel rage; the rest you want to force into your service as man and maid-servants. Thus you bring guilt upon yourself. Return the captives of your brethren, that G-d's wrath may not come upon you." Some of the leaders of Israelsupported this plea of the prophet, and the captives were freed. They were fed and dressed and were transported back to their families in Judea.
Rezin, too, came away with spoils. Though Jerusalemhad withstood the siege of the united armies, Rezin captured the important harbor of Elath and exiled its Jewish inhabitants. In their stead he brought in Syrian colonists.
Ahaz found himself hard-pressed by the united armies of Pekah and Rezin. The position of Jerusalem seemed very precarious. The Prophet Isaiahtried his best to encourage Ahaz and assure him that G-d would save the city from the hands of the enemies. But Ahaz had no trust in G-d. He sent a delegation of noblemen to Tiglath-Pileser, the powerful king of Assyria, with presents of gold and silver taken from the treasures of the Temple and his own palace. Ahaz instructed his envoys to hand over these presents to the king of Assyria with the following words: "I am your servant and son. Save me from the hands of the kings of Syria and Israel who have gone to war against me."
Tiglath-Pileser was only too glad to take this opportunity to subdue these two states and gain an outlet to the sea. He marched on Damascus and thus forced Rezin of Syria to abandon the siege of Jerusalem. Rezin himself was captured and killed by the Assyrians. At that time Syria was incorporated into the Assyrian empire and at the same time Tiglath-Pileser also annexed part of the land of Israel.
Ahaz Desecrates the Temple
Delivered from his enemies, Ahaz traveled to Damascus to thank his liberator and patron, the victorious Tiglath-Pileser. He was accorded the usual courtesy, but he was made aware of his status of dependence. In Damascus Ahaz saw a famous heathen altar which he admired so much that he had it copied and sent to Jerusalem to the High Priest Uriah, with the command to put it up in the Holy Temple. After his return from Damascus, he himself sacrificed on this altar, and forced the priests to offer the daily sacrifices on it.
In order to satisfy the greed of Tiglath-Pileser, Ahaz continually despoiled of its treasures the Temple, which had been enriched during Uzziah's and Jotham's successful reigns.
Ahaz died in the sixteenth year of his most unfortunate rule. Both politically and spiritually he had been instrumental in undermining the foundations of the kingdom of Judea. Heaven, too, did its share to spoil the last honors accorded him. On the day of his death, the sun shone for only two hours, so that his burial had to be rushed through. He was not buried with the other kings of the House of David
 
Jeroboam IIruled Israelfor forty years. Because of his kindness to the prophets Jonahand Amos, he was spared the misfortune that had been foretold for the dynasty of Jehuand the people of Israel. The city of Ninevehrepented when G-dsent His prophet to them, but the people of Israel refused to mend their evil ways. They became worse from day to day.
After Jeroboamdied, his son Zechariahascended the throne. His weak and sinful rule had lasted scarcely six months when he was openly murdered by Shallum, before all the people. Shallum slaughtered all the descendants of Jehu's family and made himself king over Israel. However, his reign had lasted only one month when he too was slain by a man called Menahem benGadi.
Menahem was not better than his predecessors. Being a professional soldier, he ruled by brutal force. Seeing that only a few of the people sympathized with him, he ruled with extreme cruelty. He destroyed entire cities when there was only a rumor of revolt. He killed many thousands of people who did not please him, and thus he became increasingly disliked by his subjects.
Assyrian Oppression
In addition to internal unrest and anarchy, there was trouble from outside. As the prophet Amos had foretold, the kingdom of Assyriahad slowly won supremacy over all its neighbors. Led by their king Put, the Assyrians invaded the land of Israel, which lay in the path of their conquests to the West and the South. Menahem was so engrossed in the fight against his adversaries within, that he preferred to give up all resistance to the invaders and pay heavy tribute in exchange for King Pul's promise to support his rule. The one thousand talents of silver which he promised to pay the king of Assyria were collected from the people, of whom each man had to pay fifty shekels.
Pekahiahand Pekah
Menahem died after ruling for ten years. He was succeeded by his son Pekahiah. But two years later the king was murdered by Pekah ben Remaliah, one of the army generals.
The weight of Assyria's dominion over the land of Israel began to bear down more heavily. Pekah saw there was no escape from complete subjugation by Assyria. He therefore willingly joined the revolt which King Rezin of Syria had raised against Assyria, in the hope of enlisting Egypt also in an effort to stem the tide of Assyrian conquest.
Pekah and Rezin approached the king of Judeato join their league. But King Jotham, and later King Ahaz, warned by their prophets, refused to be a party to the revolt. Pekah and Rezin threatened Judea and finally invaded it, avenging themselves cruelly upon its inhabitants that fell into their hands. Ahaz, however, appealed to King Tiglath-Pileser of Assyria to come to his rescue. Tiglath-Pileser had only waited for this opportunity. His armies marched into Syria, defeated Rezin, killed him, and occupied the land, which Tiglath-Pileser then annexed and made one of Assyria's provinces. Next he turned against Israel and sliced off most of the northern part of the land, taking the inhabitants captive.
Hoshea--Last King of Israel
Then Tiglath-Pileser organized and supported a revolt against King Pekah, under the leadership of Hoshea, son of Elah. Hoshea killed Pekah in the twentieth year of his rule and became first administrator and, after eight years, king, by Assyria's grace.
During all this time the morale of Israel sank lower and lower. But Divine retribution was not long in coming. Lack of political leadership and the continued process of losing one province after another to Assyria completely demoralized the population. Under the circumstances, there seemed no hope for the Northern Kingdom to survive.
End of Northern Kingdom
In the meantime Tiglath-Pileser died and was succeeded by Shalmaneser, who was just as cruel and ruthless as his predecessor. He annexed one province of Israel after another and finally left the king not much more than the immediate land around Samaria. In his despair, Hoshea turned to the King of Egypt for help, but Shalmaneser found out about it and imprisoned Hoshea. Then he ravaged what was left of the land of Israel and besieged Samaria. The city held out for three years. The capital of the Northern Kingdom fell (in the year 3205), and the Kingdom of Israel (or Ephraim) came to an end. Scores of thousands of the conquered people were led into captivity. In their place came other settlers from Assyria, especially the Kutheans, who became known as the Samaritans. They occupied the cities of the land of Israel and became half assimilated with the remaining native Israelites. Although they worshiped the G-d of Israel, they also clung to their idols. The people of Israel, however, who for the most part were transported to the Assyrian empire, disappeared completely without leaving any indication of their fate. No trace has been found of the Ten Tribes
 
Waisrael si miungu watu ni usanii tu kudai kila wanapopigwa eti wamemuudhi mungu.

vita ya juzi tu hapo gaza,israel walimaliza silaha mpaka wakavamia godown la silaha za marekani,wakati gaza ni ndogo,ukubwa wa eneo la mnazi mmoja.
sasa waje wapambane na iran,itakuaje?.
 
Kwanza nadhani umekubali kuwa walipigwa na ikabidi waombe msaada.
pia utetezi wa idadi ya watu kwa mwaka huo haisaidii,kwani haikua tofauti na leo kwa uwiano.
pia mwaka huo nchi zilizotumia askari kwa upande wa waarabu hazizidi 4,syria,misri,jordan.
idadi ya askari haikuwa tofauti kivile,ukichukulia kuwa karibu raia wote wa israel ni wajeshi.
kwamba walishtukizwa baado sio utetezi,kwani wasingestukizwa silaha zingechomoza kimiujiza.?.
tena eti kuvamiwa na mataifa mengi ndo kigezo cha kuwapa ushudaa,vipi kuhusu korea ya kaskazini ilovamiwa na mataifa karibu 40 ya umoja wa washirika na zikapigwa mpaka draw?,nao wanasaidiwa na mungu.
mungu hasaidii kufanya mauaji.

Hio ilitokea lini mkuu?
 
Egyptian-ISIS group of Ansar Bait all Magdis in Sinai and ISIS in Southern Syrian.
If Israel was attacked By ISIS. America would expect a proportionate response by Israel which is military capable of defending itself.
America would counsel against sustained Israel involment because would threaten the tacit alliance between America, Iran, Turkey and several Arab states against ISIS.

ISIS has been criticised by many a Arabs and Muslims for not taking its fight to Israel and instead fighting fellow Arabs and Muslims.
If attack Israel may boost it'd popularity of spread Islam.
Kitu kingine ni kuwa their hate against Israel reflects their doctrinal mistakes towards taifa LA Mungu
Nadhani contradictions za Middle East ni Nyingi, tena Nyingi sana, kuna vita Kati ya tafsiri ya uislamu (faizafoxy hasemagi kitu hapa ni aibu) Kati ya suni na Shiite, hii ni Syria, lebanon, Bahrain , misri kidogo, Iran, turkey na Iraq, kuna Imani kuwa wairan siyo waarabu, hiyo ni Kuwait, Saudi Arabia, UAE, na Jordan. Kuna tatizo la influence ya Iran kwa wale wanaojiona kuwa ni domain ya waarabu proper, hiyo ni Syria, Iraq, Lebanon, turkey , Saudi arabia na Bahrain. Kuna nia ya Isis kujenga caliphate mpya ya pure islam beliefs ( not sure which) hii inahusu tena Syria , Lebanon, Iraq, Jordan na turkey. Kuna tatizo la mtazamo wa kuzuia formation ya state ya Kurdistan, hii inahusu Iraq na turkey, na uoga wa kukuza jeshi la peshmerga. Halafu kuna general issues za vijana kwenye falme Zote za kiarabu ( typical panya road) na matatizo ya utawala wa kifalme , Ajira n.k , na kuna tatizo la Palestine internally Kati ya Hamas na Palestine authority, na kila mtu na washabiki wake, na kuna tatizo la wapelistina wengi walio Jordan kuliko wote wanaosihi Palestine na gaza strip, lakini Hawana nia ya kurudi Palestine, na Jordan hawana nia ya kuwapa uraia hata baada ya miaka 60 na wanaishi kwenye camps( Hawa huwa hawazungumziwi hata kidogo) , kuna vita Syria ya wenyewe kwa wenyewe, Kuna fukuto la dini Zote lebanon, na usisahau pia kuna protected interests za marekani especially kwenye Mafuta. Marekani wakati wote wamewatumia waarabu kama toilet paper Yao, Leo ki kubwa ni kutumia Saudi arabia kushusha bei ya Mafuta chini ya nusu bei, ili waifilisi urusi. In short ability yao kuwa kitu ki moja na kupigana na taifa dogo kama Israel Haipo .
 
Fighting Israei is fighting GOD.No one will win that war.Someni Biblia Mwanzo 12:2-3.Yeyote atakayem lanai Israel atalaaniwa Na MUNGU ' mwenyewe. Chezea MUNGU wewe!
 
Baadaye

I don't believe in any conspiracy theory. Labda tukuulize ni mwaka gani waisrael walipigwa na Palestine ama waarabu na US ikaingilia?the answer is Non.

Kimsingi waarabu walikuwa wanasaidiwa military na RUssia ili kuichapa Israel, hili hatulisemi lakini ndio kiburi kizima cha waarabu kiliegemea hapo.
Kwa ufupi ni kwamba six day war Ingekuwa zaidi ya six day ikiwa tu Russia isingetishia kuingia vitani dhidi ya Israel. Israel ingeshaichukua Egypt yote. Hakukuwa na kizuizi zaidi ya Russia.

Kitisho chake kikailazimisha marekani ilazimishe Amani ya Egypt na Israel ili kumaliza vita.

Jeuri ya sasa ya Iran inategemea China na Russia.

Israeli ilizamisha meli ya USA ilitlyokuwa doria ikidhani ni meli ya kijasudi ya waarabu.
Chezea Israel wewe. Taifa LA Mungu. Taifa LA Yesu, Moses. Waisrael wanalinda torati. Moja wapo ya amri za Torah inasema ardhi upewayo na bwana mungu wako ukae ustarehe na usiabudu miungu wengine.

Kwanini ISIS hawaiogopi USA lakini wanaigwaya Israeli?
Umesema ukweli mtupu. Nchi za Ulaya na marekani zinalipa fadhila kwa Israel kutokana na Eistein kuvumbua fomula ya atomic bomu. Revenge ya Israel siku zote huwa kali na inaadabisha. Israel haitegemei taifa lolote lile. Sikuzote UN humkatisha makali anapotaka kuteka nchi nzima.
 
Waisrael si miungu watu ni usanii tu kudai kila wanapopigwa eti wamemuudhi mungu.

vita ya juzi tu hapo gaza,israel walimaliza silaha mpaka wakavamia godown la silaha za marekani,wakati gaza ni ndogo,ukubwa wa eneo la mnazi mmoja.
sasa waje wapambane na iran,itakuaje?.
mbona alipigana na mataifa yote ya kiarabu kwa siku sita tuu na kuteka ardhi zao zooote. Ikija Iran pekee basi ni mfupa wa kuku kwa fisi.
 
Baadaye

I don't believe in any conspiracy theory. Labda tukuulize ni mwaka gani waisrael walipigwa na Palestine ama waarabu na US ikaingilia?the answer is Non.

Kimsingi waarabu walikuwa wanasaidiwa military na RUssia ili kuichapa Israel, hili hatulisemi lakini ndio kiburi kizima cha waarabu kiliegemea hapo.
Kwa ufupi ni kwamba six day war Ingekuwa zaidi ya six day ikiwa tu Russia isingetishia kuingia vitani dhidi ya Israel. Israel ingeshaichukua Egypt yote. Hakukuwa na kizuizi zaidi ya Russia.

Kitisho chake kikailazimisha marekani ilazimishe Amani ya Egypt na Israel ili kumaliza vita.

Jeuri ya sasa ya Iran inategemea China na Russia.

Israeli ilizamisha meli ya USA ilitlyokuwa doria ikidhani ni meli ya kijasudi ya waarabu.
Chezea Israel wewe. Taifa LA Mungu. Taifa LA Yesu, Moses. Waisrael wanalinda torati. Moja wapo ya amri za Torah inasema ardhi upewayo na bwana mungu wako ukae ustarehe na usiabudu miungu wengine.

Kwanini ISIS hawaiogopi USA lakini wanaigwaya Israeli?
dogo kamulize John Kerry alikuwa Pilot wa dege za kivita zaki Israel, au hakuwa wakati warabu wanapigana vita ya 1973 na Israel. Mnajifanya vipofu nyie sa zingine. Israel hawezi kwenda vitani bila ya USA si kisilaha, wala si kwa Military Intelligence Service.
 
Pekua artical yenye tittle ; the day that shook the world. Ama 6 days that shook the world.1967

Pia hayo mambo mengine kuhusu Kerry yasikuchanganye Kichwa sana ila nakuhaidi ukianzia hapa mwaka 1967 utaelewa hiyo story ya 1973 kwa usahihi zaidi.
Sana sana kwa sasa nakuona ni kama unataka kuendelea kuwapa moyo waarabu wapigane na israel, kitu ambacho matokeo yako dhahiri mwishoni. Nadhani waarabu wakiweza kuwapiva ISIS watakuwa wameboreka. Manake ISIS imeazima wataalamu wachache kutoka ulaya na duniani. Na inawahenyesha waarabu wote pale. Pamoja na USA kuwa boost kwa silaha na mafunzo nchi za waarabu. Bado uwezo wao hauonekani. Hamas walitegemea vurugu walioanzisha ya kuwatoa kafara waarabu wenzao pale Gaza ingewajumuisha na ISIS lakini ISIS wamefunga macho kama vile hawaioni Israel. Matokeo yake waarabu wamekufa vibaya sana! Kuna ukweli inabidi tusime ili kiwasaidia waarabu. waarabu kwa Israeli bado saaana. Kazi ya Mungu haina makosa..
 
Fighting Israei is fighting GOD.No one will win that war.Someni Biblia Mwanzo 12:2-3.Yeyote atakayem lanai Israel atalaaniwa Na MUNGU ' mwenyewe. Chezea MUNGU wewe!
Kwahiyo hayo maneno unatafsiri vipi?,kwanza unakumbuka nani aliambia hayo?.
kisha unayaamini kuwa yametamkwa na huyo mungu kweli?
 
Pekua artical yenye tittle ; the day that shook the world. Ama 6 days that shook the world.1967

Pia hayo mambo mengine kuhusu Kerry yasikuchanganye Kichwa sana ila nakuhaidi ukianzia hapa mwaka 1967 utaelewa hiyo story ya 1973 kwa usahihi zaidi.
Sana sana kwa sasa nakuona ni kama unataka kuendelea kuwapa moyo waarabu wapigane na israel, kitu ambacho matokeo yako dhahiri mwishoni. Nadhani waarabu wakiweza kuwapiva ISIS watakuwa wameboreka. Manake ISIS imeazima wataalamu wachache kutoka ulaya na duniani. Na inawahenyesha waarabu wote pale. Pamoja na USA kuwa boost kwa silaha na mafunzo nchi za waarabu. Bado uwezo wao hauonekani. Hamas walitegemea vurugu walioanzisha ya kuwatoa kafara waarabu wenzao pale Gaza ingewajumuisha na ISIS lakini ISIS wamefunga macho kama vile hawaioni Israel. Matokeo yake waarabu wamekufa vibaya sana! Kuna ukweli inabidi tusimie waarabu kwa Israeli bado saaana. Kazi ya Mungi haina makosa..
Israel kupigana na gaza ni sawa na jack chan wazipange na maneno oswald,
lakini licha ya kuporomosha mabomu ya kutosha gaza walijaribu kuingia gaza na ndani ya siku mbili wakapoteza makomando karibu 60,ikabidi warudi nyuma,na hawakujaribu tena kuingia gaza.
wakamalizia hasira yao kwa kupiga makombora sehemu za raia na kuua watoto.
kama israel hawezi kuteka gaza,ataweza pigana hata na jordani kweli?.
 
mbona alipigana na mataifa yote ya kiarabu kwa siku sita tuu na kuteka ardhi zao zooote. Ikija Iran pekee basi ni mfupa wa kuku kwa fisi.
Ha ha ha,wamekudanganya mkuu
 
Back
Top Bottom