Isis is closing in on Israel from the south and North

Pekua artical yenye tittle ; the day that shook the world. Ama 6 days that shook the world.1967

Pia hayo mambo mengine kuhusu Kerry yasikuchanganye Kichwa sana ila nakuhaidi ukianzia hapa mwaka 1967 utaelewa hiyo story ya 1973 kwa usahihi zaidi.
Sana sana kwa sasa nakuona ni kama unataka kuendelea kuwapa moyo waarabu wapigane na israel, kitu ambacho matokeo yako dhahiri mwishoni. Nadhani waarabu wakiweza kuwapiva ISIS watakuwa wameboreka. Manake ISIS imeazima wataalamu wachache kutoka ulaya na duniani. Na inawahenyesha waarabu wote pale. Pamoja na USA kuwa boost kwa silaha na mafunzo nchi za waarabu. Bado uwezo wao hauonekani. Hamas walitegemea vurugu walioanzisha ya kuwatoa kafara waarabu wenzao pale Gaza ingewajumuisha na ISIS lakini ISIS wamefunga macho kama vile hawaioni Israel. Matokeo yake waarabu wamekufa vibaya sana! Kuna ukweli inabidi tusime ili kiwasaidia waarabu. waarabu kwa Israeli bado saaana. Kazi ya Mungu haina makosa..
dogo hio ya siku 6 ni hadith za kale, wakati huo kumbuka kuna nchi za kiarabu hata gari ni mfalme tu ana Land Rover na wengi wana nchi walikuwa wana safiri kwa punda tu, sa hivi Israel hana kitu mbele ya warabu mabint wacha wanaume wanachezea F16 kama wanacheza Play station:A S wink:
 
Israel kupigana na gaza ni sawa na jack chan wazipange na maneno oswald,
lakini licha ya kuporomosha mabomu ya kutosha gaza walijaribu kuingia gaza na ndani ya siku mbili wakapoteza makomando karibu 60,ikabidi warudi nyuma,na hawakujaribu tena kuingia gaza.
wakamalizia hasira yao kwa kupiga makombora sehemu za raia na kuua watoto.
kama israel hawezi kuteka gaza,ataweza pigana hata na jordani kweli?.

Kwa taarifa yako ile siiti ni vita ball mapigano dhidi ya ugaidi. Tujiulize nchi gani iliwahi kusimama kijeshi. Achana na hao magaidi. Na unapotaja idadi ya waisrael Inapuuza idadi ya Hama's ambao walitapakaa miili zaidi ya 100 mitaani wamevalia nguo nyeusi wamekufa tena wasio na uhusiano na raia wa palestina. Na yale mapigano yalitumia muda mrefu kwakuwa mbinu kuu ya Israel ilikuwa ni defence na sio kushambulia.

Elingata na wasiwasi umefunika macho yako usione ukweli. Israel Ina msuli mgumu kuliko waarabu.
Pia Israel sio kitisho kwa waarabu. Bali waarabu wenyewe kwa wenyewe ndio kitisho kikuu kwakuwa waarabu ni magaidi by necha
 
War against Egypt; Josiah's Death
Egypt, under the able leadership of Pharaoh Necho, was determined to wage war against Assyria. The Egyptian army marched north-eastward, planning to attack the Assyrian army. King Josiah decided to oppose the advance of the Egyptians, despite the objections and warnings of the Prophet Jeremiah. The King of Egypt assured Josiah that he had no designs upon Judea's independence, and requested free peaceful transit through the land. But the request was refused. In the plains of Meggido the two armies met and Judea's troops were mercilessly crushed.
King Josiah himself was wounded and brought back to Jerusalem. There he died, deeply mourned by the entire people.
 
Source please
 
Mkuu 2013 kumbe uko mweupe sana asee,unless unafanya kusudi.
eti vita ile haikua vita,kwa mantinki ipi!
unapoongea kitu lazima at least kiwe na logic.
 
OK,mimi sijadai hamas hawakufa pia,nachoshangaa kwanini taifa la israel mnalodai linajua sana kufanya vita na hakuna awezae kupigana na israel,kwanini wali retreat?
kwanini hawaiteka gaza?
 
Ukweli ni kuwa Waarabu hawawezi kupigana hata na sisi waafrika. Sisi tunakabiliwa na uduni wa silaha na umaskini.kitakacho wawezesha wao watusumbue ni mbinu zao za ugaidi. Manake hii nchi yetu imejaza RAIA wao humu kwetu wengi sana tu. Lakini hawatatushinda

Hakuna nchi ya kiarabu inaweza simama na sisi Tanzania.
Likewise Israel.

Ni kweli Goliathi anauzoefu na vita. Ni kweli amepanda hewani. Ni kweli Daudi hajawahi hana uzoefu na vita. Lakini kama Mungu alimwokoa kwenyw meno ya Simba na dubu atamwokoa na Goliath. Mwisho wa siku Israel itakuwa victorious.
Waisrael wanajifunza kwa makosa lakini waarabu they never learned. Ndio màana huwa wanajigeuza explosive materials.wanapoona wanaZidiwa na vita. Hawana subra.
 
Kwa taarifa yako ile siiti ni vita ball mapigano dhidi ya ugaidi. Tujiulize nchi gani iliwahi kusimama kijeshi. Achana na hao magaidi. Na unapotaja idadi ya waisrael Inapuuza idadi ya Hama's ambao walitapakaa miili zaidi ya 100 mitaani wamevalia nguo nyeusi wamekufa tena wasio na uhusiano na raia wa palestina. Na yale mapigano yalitumia muda mrefu kwakuwa mbinu kuu ya Israel ilikuwa ni defence na sio kushambulia.

Elingata na wasiwasi umefunika macho yako usione ukweli. Israel Ina msuli mgumu kuliko waarabu.
Pia Israel sio kitisho kwa waarabu. Bali waarabu wenyewe kwa wenyewe ndio kitisho kikuu kwakuwa waarabu ni magaidi by necha
Kwamba waisrael walitumia mbinu ya defence?.
mbinu ya defence wakati wameizunguka gaza pande zote?.
ile ilikua ilikua mashambulizi sio defence.
very weak argurments.hebu tulia uje na point za maana asee
 
Ukweli ni kuwa Waarabu hawawezi kupigana hata na sisi waafrika. Sisi tunakabiliwa na uduni wa silaha na umaskini.kitakacho wawezesha wao watusumbue ni mbinu zao za ugaidi. Manake hii nchi yetu imejaza RAIA wao humu kwetu wengi sana tu. Lakini hawatatushinda

Hakuna nchi ya kiarabu inaweza simama na sisi Tanzania.
Likewise Israel.

Ni kweli Goliathi anauzoefu na vita. Ni kweli amepanda hewani. Ni kweli Daudi hajawahi hana uzoefu na vita. Lakini kama Mungu alimwokoa kwenyw meno ya Simba na dubu atamwokoa na Goliath. Mwisho wa siku Israel itakuwa victorious.
Waisrael wanajifunza kwa makosa lakini waarabu they never learned. Ndio m¨¤ana huwa wanajigeuza explosive materials.wanapoona wanaZidiwa na vita. Hawana subra.
Israel haiwezi hata kuipiga gambia kijeshi.
umeng'ang'ania goliat na daudi,hizo ni hadithi tu hazina uhakika wowote.
 
Mkuu 2013 kumbe uko mweupe sana asee,unless unafanya kusudi.
eti vita ile haikua vita,kwa mantinki ipi!
unapoongea kitu lazima at least kiwe na logic.

Ile ni vita dhidi ya ugaidi. Ni vita kati ya good na evil. Ni vita kati ya people of god and agents of Satan.
Ni vita kati ya right from wrong.ni vita kati ya God'sholyPower against forces of darkness
.Hamas hawakuwa kwenye dire needs ya kupigana vita dhidi aa Israel. Bali walianzisha vita ile ili kufanya middle east isikalike. Ikiamini ISIS wangejitokeza kuwapa sapoti.
Mbinu zao zote ni za kigaidi. Israel ilichofanya ni defence mechanism tu(iron Dome). USA hawakutaka kuona Israel inakua mchochezi wa vurugu pale middle East. Wakitaka kuiondoa ISIS na bashaar government
Hama's wakitaka kuendeleza mauaji na ugaidi na hujuma kwa Israel kupitia kufunguliwa mipaka. Ndio maana kwenye mkutano:Nchi za kiarabu ziliishutumu Hamas kwa mauaji ya wasio na hatia na sio Israel. Israel ilipata pressure kimataifa ikiwemo kwa USA na ndio maana ikalegeza misimamo. Tofauti na hapo waarabu wangendelea kufunguana mabucha mpaka Leo. Kaisome vizuri usije na taarifa za upande mmoja. Ndio maana wachambuzi wengi hupenda kusema Israel haikushinda vita Bali ilishinda battle. Kwakuwa waarabu hawabadiliki, so long wako pale watarudi tema kupigana.Waarabu hawana uwezo bali wanakiburi tu. Na kama wangekuwa na uwezo Israel isingekuwepo Leo hii. Hata kinachofanya wao(Arabs) wasiweze kukaa pamoja ni kiburi chao wenyewe. Mungu amewapa waarabu mafarakano baina yao ili wasiinuke kuishambulia Israel. Na hata wakiinuka bado ushindi atawapa Israel.sterling hafi. Inahitaji macho ya rohoni kuona kuwa kazi ya Mungu haina makosa.
Na hiki kiburi ni kama "LAANA" kwao ili wasiongezeke wakaja kuizidi israel. Mungu amewapofusha macho wasione kile kilicho dhahiri , wakatubu na kuongoka na mungu akawaponya.
Mungu hajabadilika ni yuleyule wa jana, Leo na hata milele. Kwani hata faraoh alikuwa na moyo mgumu vilevile akawa anaambulia mapigo. Naye hakutambua wakati uliofaa pengine angesha waruhusu wana wa israel waondoke misri alikokuwa akitumikisha.

Wengi inatushangaza kwanini ISIS inapoteza focus kwani kimahesabu ingeweza kuvuna wafuasi wengi zaidi kama ingeishambulia Israel.hao Hamas Hezbollah, Iran wangekuwa upande wao. Lakini tangu mwanzo hatujaona hilo. Sanasana Isis anampiga alqaeda
NusraFront anampiga Isis .hamas anampiga mpalestina, Syria anampiga Isis, Muslim brotherhood anampiga saudia.alqaeda anampiga ISIS. Iran anampiga ISIS Saudia anampiga Iran n.k.hata saudia kitisho kwake sio Israel so long yupo na USA.Saudis wanaiogopa Iran. Yaani hapa waarabu hawaaminiani hata wao.yaani mambo vuluvululuu. Na hapa na conclude kuwa tatizo LA middle east haliletwi na Jewish state. Kama baadhi ya waarabu wanavyodanganya dunia. Dhambi ya uongo inawatafuna waarabu. Wangekwepa laana kwa kumwachia myahudi ardhi yake.pengine mungu angewanusuru na mafarakano.

Kimsingi watu wenye uwezo(intelligent) wanatumia majadiliano kama njia ya Ku-survive salama. Lakini waarabu hawana utamaduni huo kiasili na ndio maana hata wakijadiliana wanaitumia kama nafasi ya kudanganya ili wajipange na waje kushambulia kwa kushtukiza.Yesser Arafat aliwahi kufanya hivyo akashindwa vibaya sana. Na hii inawafanya wasiaminiane na wasiaminike worldwide. nuff said
 
From reality point of view Israel army is mighty in middle East. Hao Isis ili waivamie Israel Lazima wawe wameshinda vita yao upande wa Levant(Iraq na Syria),Arabia Emirates,Saudi Arabia,Jordan, Iran,Lebanon na mwisho ni Egypt.Mtoa mada yupo kishabiki angalii ukweli wa Mambo...
 
Duuuuuuuuuu
Yeah,unashangaa?,israel haina power projection kubwa,kwa nchi za mbali kama iran etc wanachoweza ni ku sneack attack kwa ndege zao,kisha hao mbio.
hata kwa syria ambao ni battle harden,israel ataishia ku sneak attack.
ni kama mtu umesimama aje mtu speed nyuma,anakuzabua kibao cha kisogo,ukigeuka kwa taharuku unaishia kuona vumbi mtu anaishilizia.
 
War against Egypt; Josiah's Death
Egypt, under the able leadership of Pharaoh Necho, was determined to wage war against Assyria. The Egyptian army marched north-eastward, planning to attack the Assyrian army. King Josiah decided to oppose the advance of the Egyptians, despite the objections and warnings of the Prophet Jeremiah. The King of Egypt assured Josiah that he had no designs upon Judea's independence, and requested free peaceful transit through the land. But the request was refused. In the plains of Meggido the two armies met and Judea's troops were mercilessly crushed.
King Josiah himself was wounded and brought back to Jerusalem. There he died, deeply mourned by the entire people.
 
Last edited by a moderator:
I dont support Israel, Wala Magaidi ISIS na Wala washirika wao, Ila nacheka sana ninapoona baadhi ya comment za wadau kwani kuzielewa inabidi ujitoe Fahamu kwa kiasi fulani. Naamini kwenye AMANI (PEACE) kama nchi yetu Tukufu ilivyo ya Amani. Kuhusu Suala la IsIS kuiteka Israel or defeating Israel that will never Happen...Lakini Pia kwa kujidanganya kuwa kupigana na Israel ni kupigana na Mungu na Makosa mengine yasiyokubarika. Ulimwengu umebadilika sana na lolote laweza kutokea mahala popote kwa mtu yeyote. Kwani Waarabu wamesha-advance kijeshi kama ilivyo kwa Israel Pia. Ila nilitarajia kwenye argument za wadau nikute mambo yafuatayo;-

(a) Kwamba Israel imeundwa mwaka 1948 baada ya vita vya pili vya dunia na baada ya UN kupitisha partition Plan (1947) kuligawa taifa la Palestine. kwa maana hiyo mataifa ya syria, jordan, kuwait, iran na mengineyo yalikuwepo tayari na yakijiongoza yenyewe kabla ya kuwepo taifa la Israel

(b) Kwamba baada ya vita vya baridi (Cold war) kati ya west na East(Soviet) na kushuhudi kumeguka kwa USSR, kumekuwepo uhasama usioisha kwa pande husika na Ku-exist kwa israel kunatokana na influence ya Western Countries (US). kwa maana nyingine, adui wa Israel ni Rafiki wa Urusi kwa upande mwingine and viceversa.
(c) Nyakati (era) ni muhimu sana katika maendeleo ya kila kitu. analysis iko hivi, Tangia mwaka 1973, imepita miaka 42. kwa hiyo technology aliyonayo Egypt na nchi nyingine za kiarabu imekuwa sambamba na ya israel. kwa hiyo Israel asitarajie mteremko kwenye vita dhidi ya wanyonge wake.

(d) endapo Israel atapigana vita sasa hivi dhidi ya nchi yoyote ya Kiarabu atakuwa anapigana na nchi karibia zote za middle east na hapo hapo US ataingilia kati as well Russia ataingia pia vitani. madhara yatakuwa makubwa than we can imagine here. Reference ni Afghan war(Soviet war in afganistan) US na Russia walikutana uso kwa uso nchini afghanistan na ndo chimbuko la Torabora Caves

(e) Kwamba Iran amesha-advance both in military and technology na israel hawawezi kabisa. Angalizo ni kwamba, Vita ni kama mchezo wa mpira, One mistake, One Goal. Hata hapa kwetu nyumbani, tulimshinda Idd-Amin kwa mbinu na wala hatukuwa na dhana za kivita kumzidi. Ingawa kwa taifa kama Israel, maadui ni wengi kuliko marafiki

kwa hayo machache, nadhani waarabu kwa sasa hawahitaji vita kwani wameshakuwa weakened na Arab spring na Ugaidi unaoendelea nchini mwao. (Ingawa wana hela ya kununua chochote watakacho-military equipment). kama ilivyo kwa israel, They are no longer preferably superior in any circumstance.
 
OK,mimi sijadai hamas hawakufa pia,nachoshangaa kwanini taifa la israel mnalodai linajua sana kufanya vita na hakuna awezae kupigana na israel,kwanini wali retreat?
kwanini hawaiteka gaza?
kaka unafikiri kweli...!!? Israel haikuingia Ghaza kuiteka.. kuiteka Ghaza ni siku less than 2 days . kwa nini Syria haikuichua Golan kama inauwezo...!!? kwa nini Egypt ililazimika kusaini mkataba wa Amani ili irudishiwe Sinai
 
I dont support Israel, Wala Magaidi ISIS na Wala washirika wao, Ila nacheka sana ninapoona baadhi ya comment za wadau kwani kuzielewa inabidi ujitoe Fahamu kwa kiasi fulani. Naamini kwenye AMANI (PEACE) kama nchi yetu Tukufu ilivyo ya Amani. Kuhusu Suala la IsIS kuiteka Israel or defeating Israel that will never Happen...Lakini Pia kwa kujidanganya kuwa kupigana na Israel ni kupigana na Mungu na Makosa mengine yasiyokubarika. Ulimwengu umebadilika sana na lolote laweza kutokea mahala popote kwa mtu yeyote. Kwani Waarabu wamesha-advance kijeshi kama ilivyo kwa Israel Pia. Ila nilitarajia kwenye argument za wadau nikute mambo yafuatayo;-

(a) Kwamba Israel imeundwa mwaka 1948 baada ya vita vya pili vya dunia na baada ya UN kupitisha partition Plan (1947) kuligawa taifa la Palestine. kwa maana hiyo mataifa ya syria, jordan, kuwait, iran na mengineyo yalikuwepo tayari na yakijiongoza yenyewe kabla ya kuwepo taifa la Israel

(b) Kwamba baada ya vita vya baridi (Cold war) kati ya west na East(Soviet) na kushuhudi kumeguka kwa USSR, kumekuwepo uhasama usioisha kwa pande husika na Ku-exist kwa israel kunatokana na influence ya Western Countries (US). kwa maana nyingine, adui wa Israel ni Rafiki wa Urusi kwa upande mwingine and viceversa.
(c) Nyakati (era) ni muhimu sana katika maendeleo ya kila kitu. analysis iko hivi, Tangia mwaka 1973, imepita miaka 42. kwa hiyo technology aliyonayo Egypt na nchi nyingine za kiarabu imekuwa sambamba na ya israel. kwa hiyo Israel asitarajie mteremko kwenye vita dhidi ya wanyonge wake.

(d) endapo Israel atapigana vita sasa hivi dhidi ya nchi yoyote ya Kiarabu atakuwa anapigana na nchi karibia zote za middle east na hapo hapo US ataingilia kati as well Russia ataingia pia vitani. madhara yatakuwa makubwa than we can imagine here. Reference ni Afghan war(Soviet war in afganistan) US na Russia walikutana uso kwa uso nchini afghanistan na ndo chimbuko la Torabora Caves

(e) Kwamba Iran amesha-advance both in military and technology na israel hawawezi kabisa. Angalizo ni kwamba, Vita ni kama mchezo wa mpira, One mistake, One Goal. Hata hapa kwetu nyumbani, tulimshinda Idd-Amin kwa mbinu na wala hatukuwa na dhana za kivita kumzidi. Ingawa kwa taifa kama Israel, maadui ni wengi kuliko marafiki

kwa hayo machache, nadhani waarabu kwa sasa hawahitaji vita kwani wameshakuwa weakened na Arab spring na Ugaidi unaoendelea nchini mwao. (Ingawa wana hela ya kununua chochote watakacho-military equipment). kama ilivyo kwa israel, They are no longer preferably superior in any circumstance.

Mkuu umesema vyema na analysis yako in general haina biased kabisa.

Nachoweza kusema ni kuwa Israel iliyoonekana dhaifu kwa jeshi dogo na silaha chache mbele ya waarabu miaka ile ndio hii inavyoonekana hivyo Leo hii.
Isipokuwa Leo hii mambo yamebadilika kwakuwa uwezo wa silaha, mbinu za kivita kwa pande zote umeboreka sana kiasi kwamba uharibifu na maangamizi yanaweza kuwa makubwa zaidi ya wakati ule.

Cha msingi ni kuwa Russia na USA Wana mkono wao kwenye huu ugomvi( kind a proxy war between Russia and USA in Arab land). Na ni wazi zamu hii vikipigwa wataingilia tu.
Naweza kutabiri kuwa ufanisi na uwezo wa Russia na USA ndio utakao amua mshindi wa vita ya Israel na Waarabu.
 
Back
Top Bottom