Siasa ni hesabu ninyi wenye akili mko wachache, sisi wajinga ndio wengi labda mtuibie kura tu.km cdm ndio watakuja na gia yao ya kurudisha wafanyabiashara wa vibanda ili wachafue tena jiji,wataungwa mkono na wehu tu lkn sio watu wenye akili timamu.
Hata perege huko kwa demu wangu pisii Wangari Maathai pia wanawabomolea vibanda. Labda ni masharti ya mganga kwa maza!Hapo sawa vitoke. Ila kunyerez ndan ndan au mabwepande huko.goba..unatoa vibanda viko kwenye maeneo ya watu binafsi..mnatafta nn....
Dah..ni hatarHata perege huko kwa demu wangu pisii Wangari Maathai pia wanawabomolea vibanda. Labda ni masharti ya mganga kwa maza!
Wakiambiwa wafate utaratibu wanaona Serikali inawaoneanyie ndio mnajenga vibanda na kuvikodisha kisha mnapata pesa.Mnatoa vijana vijijini n thn wanakuja kujazana mjini apa kwa ujira mdogo...hapana aisee hii sio sawa.
io Wanataka ujinga huu uendelee kisa wanajiita wanyonge acheni Kataeni kuitwa Wanyonge....Chakarika Nyie mkiungana Wawili mnakodi frem moja kila mtu anapanga vitu ili mradi muwe waaminifu....Shida mnataka unafuu wakati mnachafua kila eneo hapana asee...
Kauli za watu wa salary ya lak8 hizi.hahahahha....Na Nd
io Wanataka ujinga huu uendelee kisa wanajiita wanyonge acheni Kataeni kuitwa Wanyonge....Chakarika Nyie mkiungana Wawili mnakodi frem moja kila mtu anapanga vitu ili mradi muwe waaminifu....Shida mnataka unafuu wakati mnachafua kila eneo hapana asee...
Pia Serikali ikiwezekana ijenge mifumo ya umwagiliaji,na vijana wakopeshwe kwa riba nafuu.kilimo Cha kutegemea mvua hakiwezi walipa. Kuwafukuza na kuharibu mitaji yao sio busara,tuangalie mbali hao ndio wanaweza kuivusha Nchini siku za mbeleni,wakipangiliwa vizuri.Nchi si ya matajiri peke yao.Njia nyingine rahisi serikali wangeitumia kwa wamachinga...
Wawape maeneo ya wazi wafanye kama magulio tu
Ova
Kiongozi wetu analo jibu nini cha kufanya.Ingekua wewe ndo kiongozi ungefanyaje?.