well said kwakweli inasikitisha sanaSawa tumekubal city centre..kkoo na kwingne sabab ya msongamano wa watu ni kwel watoke
Ila sasa mnatoa watu wako kinyererz ndan ndan..madale huko..goba huko ndan ndan..vijana ..wamama wamejiajir...wanaweka vibanda along the road huko pembezon mwa jiji tena sio kwenye miferej bal wanarudisha nyuma mita kadhaa...bado huko pia mnawambia watoe..dahhh
Kwahyo mnataka wafanye biashara kwenye frame za lak2 lak3...why mnakataza hata huku pembezon mwa jij..
Watu wafanyeje sasa wakuu...hao machinga wa siku hiz weng ni graduates wa vyuo vikuu...ajira zenyew mnazo wa preach ndo hzo...mnataka wafanye nin wakuu..
Hayo maeneo mnayosema mnawatengea..kwa wing wao hayawez tosha hata siku1....
Wakuu...toen hayo mabanda kwenye stand za mabas masoko ya mijin...ila huku pembezon...waachen jaman...
This ishu ni kubwa kuliko mnavyofikir
Wengne tuna kofia mbili..tuko kwenye biashara na tuko kwenye ajira formal....tumeajir watu weng....
Watu wanacheka..Well...tutayumba for a while lakin tutarud na njia nyingne bora..naamin hilo..mfanyabiashara ni mtu mwenye akil nying sana naamin hilo
Uzi tayar
Pole sana..ila fuata utaratibu..hata nyumbani kuna utaratibu..huwezi weka vyombo juu ya kitanda kisa wewe ni myonge maisha lazima yawe na utaratibu..hasa nyie graduates ndio mnatakiwa muonyeshe mfano mana mmeenda shule.Sawa tumekubal city centre..kkoo na kwingne sabab ya msongamano wa watu ni kwel watoke
Ila sasa mnatoa watu wako kinyererz ndan ndan..madale huko..goba huko ndan ndan..vijana ..wamama wamejiajir...wanaweka vibanda along the road huko pembezon mwa jiji tena sio kwenye miferej bal wanarudisha nyuma mita kadhaa...bado huko pia mnawambia watoe..dahhh
Kwahyo mnataka wafanye biashara kwenye frame za lak2 lak3...why mnakataza hata huku pembezon mwa jij..
Watu wafanyeje sasa wakuu...hao machinga wa siku hiz weng ni graduates wa vyuo vikuu...ajira zenyew mnazo wa preach ndo hzo...mnataka wafanye nin wakuu..
Hayo maeneo mnayosema mnawatengea..kwa wing wao hayawez tosha hata siku1....
Wakuu...toen hayo mabanda kwenye stand za mabas masoko ya mijin...ila huku pembezon...waachen jaman...
This ishu ni kubwa kuliko mnavyofikir
Wengne tuna kofia mbili..tuko kwenye biashara na tuko kwenye ajira formal....tumeajir watu weng....
Watu wanacheka..Well...tutayumba for a while lakin tutarud na njia nyingne bora..naamin hilo..mfanyabiashara ni mtu mwenye akil nying sana naamin hilo
Uzi tayar
Walotoa hilo wamekiuka maagizo ya mkuu wa mkoa, Makala alisema walioziba barabara na njia za waenda kwa miguu ndio watoke.Hapo sawa vitoke. Ila kunyerez ndan ndan au mabwepande huko.goba..unatoa vibanda viko kwenye maeneo ya watu binafsi..mnatafta nn....
Ndo nmekwambia...frame eneo prime kodi ni kuanzia la3 - lak5....kijana anaetoka chuo ana mtaj huo...?..imagine ni mdogo wako....kasoma miaka kibao kamaliza hakuna ajira kajiajir kapangishwa kwenye kibanda analipa kod elf50 anajisongesha ili aende kwenye hzo frame za lak3...mnakuja mnamfukuza....sawa..fanyen hivo kkoo posta etc..sio huku nje ya mji ambako hakuna msongamano huo....sjui unanielewa auPole sana..ila fuata utaratibu..hata nyumbani kuna utaratibu..huwezi weka vyombo juu ya kitanda kisa wewe ni myonge maisha lazima yawe na utaratibu..hasa nyie graduates ndio mnatakiwa muonyeshe mfano mana mmeenda shule.
#MaendeleoHayanaChama
Bro huku mitaan gar zinapita zinatangaza watoke hadi huko na watu wanatolewA..na mkuu wa mkoa tuko kimyaaa...safi sanaWalotoa hilo wamekiuka maagizo ya mkuu wa mkoa, Makala alisema walioziba barabara na njia za waenda kwa miguu ndio watoke.
Ila kama nina kiwanja changu nikaweka kibanda cha matunda ambacho hakiko eneo la barabara hamna wa kunigusa.
Kwahiyo kila sehemu mfanye biashara hovyo hovyo..kisa sio city centre..wewe ulienda shule kupoteza muda tu..basi waambie waje wafanye biashara hapo kwako.Ndo nmekwambia...frame eneo prime kodi ni kuanzia la3 - lak5....kijana anaetoka chuo ana mtaj huo...?..imagine ni mdogo wako....kasoma miaka kibao kamaliza hakuna ajira kajiajir kapangishwa kwenye kibanda analipa kod elf50 anajisongesha ili aende kwenye hzo frame za lak3...mnakuja mnamfukuza....sawa..fanyen hivo kkoo posta etc..sio huku nje ya mji ambako hakuna msongamano huo....sjui unanielewa au
Huku Kigamboni watu hawajaziba njia wala barabara..... wako mbalii kweli na main road ila wamebomolewa kisa vibanda vinachafua mjiWalotoa hilo wamekiuka maagizo ya mkuu wa mkoa, Makala alisema walioziba barabara na njia za waenda kwa miguu ndio watoke.
Ila kama nina kiwanja changu nikaweka kibanda cha matunda ambacho hakiko eneo la barabara hamna wa kunigusa.
Naona hatuelewan chief..halaf unahis mi ni mnyonge..hahaha..chiefKwahiyo kila sehemu mfanye biashara hovyo hovyo..kisa sio city centre..wewe ulienda shule kupoteza muda tu..basi waambie waje wafanye biashara hapo kwako.
#MaendeleoHayanaChama
Haina sasa huo mpango..imewafukuza wako nyumban tu wanangaa machoSasa unatakaje?unataka watu waachwe wazagaezagae wazibe njia wajaze mabanda???
Issue hapa wamachinga waondolewe,wawekwe sehemu husika kwa mpngalio na utaratibu
Kikubwa serikali sasa I've na permanent solution
Kuhusu tatizo la wamachinga!
Ova
Na pia Tanzania haijafikia level hiyo ya ustaarab..bado nchi maskin sanaa..hakuna mtu anapenda kuwa machinga kakaSasa unatakaje?unataka watu waachwe wazagaezagae wazibe njia wajaze mabanda???
Issue hapa wamachinga waondolewe,wawekwe sehemu husika kwa mpngalio na utaratibu
Kikubwa serikali sasa I've na permanent solution
Kuhusu tatizo la wamachinga!
Ova