Uongo mwingine jamani duuuuuuuh

Info Boy

Member
Sep 9, 2013
33
6
[h=5]Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi wewe unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha nne Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Jamaa: Aaah sory nimechanganya nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo ya wasichana...
Jamaa: haaah aaah nilikuwa nakutania tu nachukua masters VETA.
Demu: Mh ina maana VETA imeanza kutoa masters?
Jamaa: Ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini...unaniuliza maswali kama Tupo uhamiaji?
KWA TAHARIFA YAKO NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE.[/h]cheka zaidi hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom