Isha,Suma lee,Roma: Washinda Tunzo

Ms. Thandiswa

Member
Apr 10, 2012
86
9
Wasanii wa muziki wa hapa home washinda Tunzo zao kwa mara ya kwanza na nina furaha sana coz ni watu niliokuwa nategemea wapokee tunzo hizo za KTMA,wali deserve so wadau ambao nanyi mnawapenda pongezi angalau! karibuni
 
dadavua kila mmoja amepata tuzo ya nini

Mama Elvis bado hujalala?ni hivi Roma wimbo bora wa mwaka Hiphop,pia kaibeba ya msanii bora wa mwaka kwn Hiphop. Isha wimbo bora wa taarabu na Suma lee naye kaondoka na mbili ya kwanza wimbo bora wa Afro pop na nyingine ni ya wimbo bora ya mwaka! utakuwa umenipata n gud 9t!
 
Namadmire sana kijana Lee kwa uwezo wake mkubwa ila pia Roma anastahili kuitwa mbadala wa Jay katika ulimwengu wa hiphop.... Big up sana!
 
Namadmire sana kijana Lee kwa uwezo wake mkubwa ila pia Roma anastahili kuitwa mbadala wa Jay katika ulimwengu wa hiphop.... Big up sana!

umenena now hakunaga kama Roma na anaongelea vitu ambavyo vinaizunguka jamii yetu kwa uwazi sn,huyo Zila kwa kujicfia muda wote angepata mbona ningeandamana hahahahahaaaaaa!
 
Walau mwaka huu kuliko walikotoka maana ilishazoeleka kama c FA na AY good job,
 
cjapenda hapo kwa Roma; wimbo bora wa hiphop alistahl roma bt msanii bora wa hiphop alistahl Fid Q

ni kweli hapo kwa maoni yako, but Roma naona alistahili kote naye namnukuu alisema si wote watapenda yeye kupata tuzo hizo. Q mkali muda wake utafika
 
Mi nashukuru angalau kile kijumba chao cha vipaji sijui wanakiita mwaka huu hakikuona ndani sana.....maaan nilishakata tamaa na. Hiyo KTMA...!!!
 
Mi nashukuru angalau kile kijumba chao cha vipaji sijui wanakiita mwaka huu hakikuona ndani sana.....maaan nilishakata tamaa na. Hiyo KTMA...!!!

umeona eeeh? maana cjui ilikuwa ni nini Barnabas jana alisema pamoja watu kusema Ruge anmuibia eti ndio imefanya ameipata hiyo tunzo,watoto wamekolea vibaya wale mmmmmh!
 
Roma deserved it, nashangaa fans wa Jay Moe wanalalamika

Moe ni msanii wa cku nyingi na baadhi ya fans wake kweli wamekuwa wakilalamika kuwa anabaniwa,sema KTMA walishindwa kumpa tunzo yake miaka ile now hawawezi kum-compare na Roma,walishabugi mbaya!
 
Back
Top Bottom