Isaack Ndodi VS Babu Kikombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Isaack Ndodi VS Babu Kikombe

Discussion in 'Celebrities Forum' started by GHOST RYDER, Jul 19, 2011.

 1. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hawa Jamaa vipi mbona kama wanatoweka hivi???
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tapeli Ndondi kamalizwa na babu
   
 3. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  The beginning of their end
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Babu will persist drought, rainy condition, winds, typhoons and peoples words!
  Watakuja watamwacha!
  Sasa hivi babu anapokea wageni toka Middle East, wengi sana hadi inatisha!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  [h=2]Dawa ya Babu inawezekana kuwa katika mfumo wa vidonge -WHO
  [/h]Thursday, May 05, 2011 / Posted by ishak /


  [TABLE]
  [TR="bgcolor: #e1e1e1"]
  [TD][​IMG]
  Foleni ya kupewa kikombe cha babu
  [/TD]
  [TD]UTAFITI unaoendelea kufanyika wa dawa ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile wa kijiji cha Samunge umebainika kuwa dawa inatibu maradhi sugu na Shirika la Afya Duniani [who] Kuikubali dawa hiyo
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Hayo yamebainishwa na Askofu wa Kanisa la KKKT na kubainisha kuwa shirika hilo limekubali kuwa dawa hiyo inatibu maradhi sugu kama ilivyobainishwa awali katika utafiti wa kina walioufanya.

  Imesemekana kuwa dawa hiyo inawezekana kuwa katika mfumo wa vidonge na chupa.

  Shirika la Afya Duniani WHO ambalo lilituma wataalamu wake kuichunguza dawa ya babu, limebainisha hilo na kulifanyia kazi mikakati hiyo ya kuweka dawa hiyo katika mifumo hiyo na si kikombe pekee kama ilivyozoeleka, alisema Askofu huyo.

  Pia dawa hiyo imethibitishwa na taasisi ya TMF na kubainisha kuwa dawa hiyo inatibu maradhi sugu.

  Hayo yalisemwa jana na Mwenyekiti wa TMF, Marwa Gonzaga jijini Dar es Salaam.

  Alisema wakati wakiendelea na utafiti huo walibaini kuwa tiba hiyo ni mchanganyiko wa mizizi ya miti shamba ya aina mbili ambayo ni kisayansi unafahamika kama Carissa Spinarum na mti wa Ntuntwa.

  Tayari dawa ya babu imeshajizolea sifa ndani na nje ya nchi ambapo watu wameendelea kumiminika kijijini hapo kunywa dawa hiyo.

  Hata hivyo taarifa zilizopatikana baadae zimesema kuwa babu amekataa dawa yake kufanyiwa mabadiliko yoyote kwakuwa Mungu hapendi.

  Babu alisema kuwa kwakuwa dawa hiyo ni ya miujiza alioteshwa na Mungu, masharti aliyopewa na mungu kwenye ndoto yake hayaruhusu dawa hiyo ifanyiwe mabadiliko yoyote yale. Labda kama ataoteshwa ndoto nyingine ya kupewa ruhusa kufanya hivyo.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]source nifahamishe
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [h=4]1 comments:[/h]Comment by emu-three on May 19, 2011 3:20 AM Habari nzuri hiyo mkuu, unajua kuna dawa nyingi za kienyeji nzuri, kama wataziweka katika mfumo wa vidonge itafaaa..!
  [h=3]Post a Comment [/h]
   
 6. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Habari hii nzuri wakiiona na kuisoma mabwana KAKOBE na MWINGIRA wanaweza kuzirai
   
 7. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ndodi haoenkani tena Star TV kawa on OFF
   
Loading...