Kwani una teseka " ?? Mbona mapovu babu ..kama unaumwa dege dege ... alicho kikosea Lissu ninini !!? Je serikali imeshawahi kutoa majibu stahiki kuhusu kupigwa kwake risasi katika ardhi ya bunge tukufu la watanzania " ambalo lina ulinzi mkali masaa 24,?
Serikali ilishawafungulia mashtaka police waliomuua akwilina ..serikali ilishatoa maelezo yakinifu kuhusu alipo Ben saa8 na azory gwanda " ....!? Serikali imeshatoa majibu toshelezi yenye mantiki kuhusu maiti zilizo kuwa zinaokotwa katika fukwe ya bahari ya hindi pale coco Beach achilia mbali nyingine zilizo kuwa zilizopatikana " mtoni ruvu
Serikali " imesharuhusu bunge live " serikali imesharejesha " pesa za mfuko wa usimamizi wa wakulima wakorosho walizo zikwapua !!?
Wewe jamaa umekula maharage ya wapi aise !?
Sent using
Jamii Forums mobile app