Makanyaga
Platinum Member
- Sep 28, 2007
- 11,819
- 7,562
Nimesikiliza mahojiano ya Tundu Lissu kwenye Hard Talk ya BBC, nimesikitika SI KIDOGO!
Ila wakati mwingine upinzani ukiuendesha pasipo kutumia hekima ya hali ya juu, unaweza ukajikuta umeshakuwa adui wa Taifa zima, na adui yako mwenyewe, pasipo wewe mwenyewe kujua! I can't believe kwamba this is the same politician we used to appraise a lot. Mimi nina uhakika huyu mtu atakuwa ameshauriwa kufanya hivi, siyo mawazo yake binafsi, na waliomshauri ni watu wanaojifanya kuwa ni marafiki zake, kumbe maadui. Huwezi ukaongea hivi na media ya nje kuhusu nchi yako hata kama umegombana na baadhi ya wana siasa!
Ni ushauri tu lakini, kwa wengine ambao wao bado hawajafikia kwenye kiwango hicho, ili nao wasije wakafika huko!It's pity mtu ukishafikia kwenye level ya kuongea tu kila neno linalopiga hodi mdomoni, na si kila neno linalotoka kwenye ubongo!