Mpendakwao
Member
- Mar 29, 2007
- 91
- 20
Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe

...
Mkubwa hii imekuwa too much sasa majirani tunashindwa kulala mnapiga kelele sana mnapozozana
Tatizo ni viroba mkuu, jamaa wanapiga sana viroba, mtu mwenye akili timamu huwekuwa unatukana hovyo kila kukicha, kutukana sio demokrasia bali ujinga, asante kwa kuwakosoaHuyu bwana mi namsupport kwa % 100 hata mimi nimepata wasiwasi huo kwa chama changu, kweli kila siku maandamano tu, hamna njia nyingine ya kutatua matatizo/kudai haki zaidi ya maandamano? Pili: Mbona shu2ma ndani ya cdm @ siku? Mara oh huyu mara huyu why why why?
La mwisho, tuache ushabiki mtu humu akipost ukweli kuhusu chadema, anatukanwa na kukashifiwa why why kwani sisi wanainchi tuliojenga imani ya dhati na chadema hatuna haki ya kutoa maoni pale tùnapoona chama kimepotea/kinapotea hauna haki yakutoa maoni yetu. Watu humu mmekaa kuponda ponda 2 kila m2 anapotoa maoni yake kuhusu chadema anavyoiona?? Why why?
Labda katiba isiwe hii, labda nchi isiwe Tz, Kwa mbinu 101 za chama chetu, wale nyuki 25 wa mashineni (wasiouma wala wasio tengeneza asali) lazima wapungue!!!!CDM haifi,we subiri 2015 utaona tu wabunge zaidi ya 100 wanaingia mjengoni,ccm itakuwa ndio chama cha upinzani hyo Dec 2015...
CDM haifi,we subiri 2015 utaona tu wabunge zaidi ya 100 wanaingia mjengoni,ccm itakuwa ndio chama cha upinzani hyo Dec 2015...