Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 52,708
- 96,802
Arooo...hiro ni ri-apple pie,razima!Kidding&am already gone!
mmh hata mm kuna mtu nlishawahi kumuhisi ni gay ila ana girlfriend sa sijui hapo inakuwaje
Mbona kwa sasa hapa Bongo watu wa jinsia hii wapo wengi tu....yaani utashangaa tena nasikia kuna mawaziri wawili wa hii serikali yetu ya sasa wao ni dizaini hii pia. Ni watu wa umri kati ya 40 - 50 na ni watanashati sana.
Taja initials tu zao ....
Ya wapi tena heb nisimulie kidgoInafanana na ile simulizi ya kule inaitwa mwana mji
Sjui kwa kweli hata mie nimeshangaa
Dah! ni shida watu mna mifano haiHuyo ni kama "powerbank" inachajiwa baadae nayenyewe inachaji simu
Aisee nimeshangazwa sana na hili.
Inawezekana vipi?
Yani kuna jamaa hapa ana girlfriend wake na anakula mzigo kama kawaida.
At the same time, jamaa huyo huyo ana boyfriend (means he is a gay) na analiwa vile vile.
Sasa nashindwa kuelewa, mtu kama ni gay anawezaje kuhimili tena mikiki mikiki ya upande wa mwanamke?
Naomba michango yenu tafadhalini.
I stand to be corrected.
Kama nimekumiss vile
Wewe ukishamuhisi mtu tu hapo hapo hisia zako zinageuka 'verified facts'? Cc Nyani Ngabu.
Learning to ignore things is one of the great path to inner peace
kuna mtua atakua kaizuia njiani.....Mbona pm yako sijapata?
Mmmmm ukiona mwanaume anajipenda sana,ujue kuna walakini,mwanaume anatakiwa anukie kimbuzi mbuzi 
Huyo ni kama "powerbank" inachajiwa baadae nayenyewe inachaji simu