Is this normal?

Izo siku nyingine mnalala kama kaka na dada au mnabadilisha vitanda au vyumba?

Wewe ili kuthibitisha kuwa umelala na mkeo lazima ufanye nae tendo la ndoa!

Ndio mnaokondesha wake zenu halafu mnasingizia wanafanya diet....
 
Wapenzi na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka iliyopitiliza!

Mwanaume atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata hamasa ya mapenzi ya mwanamke ahaijashika hatama, atamwingilia na ndani ya dakika sekunde ama dakika zisizozidi 3, mwanamme hufika mshindo.

Katika hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea pembeni bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya tendo endapo endapo tabia hiyo ya mwanaume itaendelea.
 
Matuthi ya nini thatha? Mwanamke wangu umfanye nini? ....

Matuthi yako wapi hapo? Wewe si umesema kijamaa hakihimili mikiki, nipe mwanamke wako ili aje kukupa ushuhuda.

.... Wewe unamdanganya mleta mada kuwa dozi ya x2 ni kawaida wakati si kweli. Usi-impose standards zako kwa watu wengine..period!


Zaidi zaidi, wewe ni muongo kama una mtindio wa ubongo vile.

Wapi hapo nilipotoa authority au conclusion kwamba lazima watu wafanye siku 2? Wapo hapo niliposema mara mbili kwa wiki ndio standard achia mbali kusema hiyo ndio standard yangu?


siku 4 kwa wiki ndio inatakiwa .mbili noma unamaanisha kwa mwezi mara 8 tu?

Unaelewa maana ya at least wewe? Inaonyesha nyie ni walipuaji.
 
Wewe ili kuthibitisha kuwa umelala na mkeo lazima ufanye nae tendo la ndoa!

Ndio mnaokondesha wake zenu halafu mnasingizia wanafanya diet....


Duh..mke akonde kwa sababu ya sex? sijawahi kusikia.......kama nisipofanya naye tendo la ndoa atajuaje kama amelala na mwanaume?
 
Matuthi yako wapi hapo? Wewe si umesema kijamaa hakihimili mikiki, nipe mwanamke wako ili aje kukupa ushuhuda..

Nikupe mwanamke wangu ili iweje kobe wewe. Kama huwezi huwezi tu. Tumesikia mwenyewe ukinadi x2 sasa utaweza dozi weye ? Ukizidisha hapo si tutaokota maiti?
 
Zaidi zaidi, wewe ni muongo kama una mtindio wa ubongo vile.

Wapi hapo nilipotoa authority au conclusion kwamba lazima watu wafanye siku 2? Wapo hapo niliposema mara mbili kwa wiki ndio standard achia mbali kusema hiyo ndio standard yangu?
.

Peruzi peruzi kwenye kichwa chako na angalia you own life utapata jibu
 
Pole kwa tatizo la mkeo. Inawezekana uchovu unamchosha, kama mfanyakazi atakuwa anafanya kazi nyingi kazini na vile vile kazi za nyumbani + watoto. Muhimu inabidi ujitahidi kumsaidia mama watoto baadhi ya kazi za nyumbani na kuonyesha mahaba zaidi ya kumjali. Uwe unampa taarifa mapema kama unataka peremende ili awe tayari.
 
Mwenzako amekinai kwa yaleyale. Kitanda, stail, maneno, muda, etc. Ninachoona hapo unamchukulia mkeo kama dada. Try kinky sex. Kuna vitu anavitamani ila havioni kwako akiwa na imani unajua. Hata kama kazi nyingi, sanaa inahitajika. Tafuteni vakesheni
 
kakaaaaaa ongeza kubembeleza, vimichezoooooo, saidia kazi, vizawadiiii, sifa sifa, utakula hadi useme basi mwenyewe. onyesha unajali wanawake wanapenda kujaliwa.
 
Nawashukuru kwa ushauri wenu, na kwa wale walioleta mzaha ninawaelewa... hapa lazima tushauriane and at the same time tuenjoy.

Ahsanteni tena sana wadau wenzangu
 
Kuna sababu zake.

1. Inawezekana amechoka kwa sababu za kisaikolojia na kibaolojia

2. Inawezekana anachoshwa sababu za kisosholojia

3. Trend

Sababu za kibaolojia na kisaikolojia ndo zinazochangiwa na vitu vingi; dawa za kuzuia mimba (kibaolojia), homon imballance (kibaolojia), magonjwa (kibaolojia), kazi nyingi (kisaikolojia), msongo wa mawazo (stress) kwa sababu mbali mbali (kisaikolojia), n.k.

Sababu za kisosholojia ni hiyo ya kuwa inawezekana yuko involved na mtu mwingine. Sababu inayoweza kumfanya awe involved si moja tuu. Napenda kutofautiana na wengi wanaosema kuwa usipomridhisha anatoka nje. Huo si ukweli. Sababu za mtu kutoka nje hazisababishwi na mtu mwingine. Ni yeye mwenyewe anaamua. Hata kama unamridhisha vipi bado anaweza kumgawia mwingine kwa sababu zake mwenyewe ambazo hazina uhusiano na wewe.

Trend: Wote tunakua na kuzeeka. kadri tunavyokua uwezo wetu wa kufanya mambo hayo hushuka. Wataalam wanakadiria kuwa wanaume huanza kushuka uwezo wao kuanzia umri wa miaka 25. Wanawake huanza mapema zaidi na kwa wanawake uzazi na utumiaji wa contraceptives huchangia sana. Kwa hiyo kadri unavyo kua nguvu na uwezo huo hupungua. Kasi yake ya kupungua nguvu inaweza kuwa kubwa kuliko ya kwako. Kwa hiyo itakuwa ni normal.

Suluhisho: Inategemeana na sababu. Kumtreate mkeo kama malaika kama wanavyoshauri baadhi ya watu haitasaidi. Mwanamke si malaika, naye ana makosa yake mengi. Ana fantasies nyingi. Ana ndoto nyingi. Ni vigumu kwa mwanaume asiye malaika kuviridhisha vyote hivyo.

1. Be fair to her and yourself. Lakini usidanganywe eti umgeuze kuwa kama malaika, hataridhika. Hata hizo zawadi za mara kwa mara na sifa za mara kwa mara zinaweza ku-end-up kuwa routine. Wasiliana naye kuhusu your expectations na jaribu kuelewa anachokuambia.

2. Mapenzi hayashibiki. The more you get, the more you need (true to men). Wakati mwingine uwe mtu wa kiasi. Jidhibiti. Siyo lazima kila unaposikia msukumo utekeleze.

3. Other hobies? kujihusisha na michezo mbali mbali kunasaidia kupunguza matamanio ya ngono sana. Jaribu kujihusisha na michezo mbali mbali kama kuogelea, kufanya jogging, kutembe umbali mrefu kiasi (6Km on a row), etc.

4. Medical? Matatizo mengi ya kibaolojia huweza kutibika. Mnaweza kufikiria kufanya medical check-ups za mara kwa mara.
 
hayo mavitu ni sayansi and art brothers and sisters...sayansi kwa maana ya kwamba mwili unaendeshwa kama mashine and so efficiency inapungua with time na matumizi pia..the more you use the faster vipuli vinachoka! so waweza choka kiutendaji kabla ya umri wako kufika.
art kwa maana ya kwamba hayo mavitu yanahitaji ubunifu so that every day ionekane new day.
kubwa kuliko yote ni communication..couples should talk among themselves of what mtu anataka or anafeel at what time...things like creating the mood before "dancing"..hapo ni art brothers n sisters, so brother namshauri atembelee tovuti www.x&y communication.comhuko i'm sure atatoka na jipya,people in there are very compitent with these mavitu
 
Aisee mwambie huyu, inaonekana jamaa yetu anaishia kushinda JF majukumu ya ndoa hayaelewi vyema.lol


.... Mkuu, naona kama mnabishana bure! Na umri nao una-matter sana kwenye mambo haya ati! newly weds wenye umri wa miaka 25-35 wanaweza ku-do hata seven time a week meaning each day of the week! kuanzia hapo ukijumlisha na watoto kasi hii inaweza kupungua na unapofika 55-60 mnaweza hata mkawa mno-do hata once per two weeks na mkajionea sawa tu as long as LOVE is still there..
But amen, amen i tell you... an age will surely come when you will only be able to just look at it (tena pengine kwa mawani! ha ha )and be unable to do anything about it even for a whole YEAR !! :) :)
 
Back
Top Bottom