Is this normal?

Wajua kutuandaa sisi wanawake ni sanaa in itself. Kumbuka wakati hamjaoana au kabla ya mtoto maandalizi ulikuwa unaanza tangu asubuhi mfano wakati mnadate ni wazzi kama mlikuwa mnado unampigia simu honey mie leo mwenzio sijiwezi please naomba nikutoe !! basi mwanadada atakaa siku nzima akiiwaza usiku huo ufike, tayari secretion za hormones za penzi huanza kutolewa na mpaka huo muda mtu atakuwa tayari. Na mara nyingi kabla hujampandisha juu utamtolea maneno matamu ya mahaba na pengine utampeleka dinner somewhere apate na ka drink.

Sasa sasa hivi mwakwetu ah uko buzy na kazi zako naye yuko buzy mnakuja kutana kitandani akishamlaza mtoto. tena hakuna maneno ya mahaba unapeleka tu mkono kunako unataka kuendelea.

Kwa kweli huwa inatuput off kwanza kitu kinachokuja kichwani kwaetu haraka ni kuwa' huyu ananichukulia mimi kama chombo cha starehe yake yaani nimelizane na mtoto yeye ananisubiri nimfurahishe(anachukulia kama ni wajibu sasa)

Atakubali akupe si kwa kuwa anatamani la hasha bali kwa kuwa anajua ni haki yako na anahofia usijehisi anakunyima haki yako. So atakupa but hawezi kukupa vingi kwa wakati huo ambao yeye anahisi unamtumia!!

Jenga mazingira ya kumwandaa tangu mapema na kumsaidia shughuli mbalimbali (kama humsaidii) ili asichukulie tendo la ndoa kama wajibu wake kwako!!

Tembelea-www.dinahicious.blogspot.com- hilo tatizo limejadiliwa na kupatiwa majibu yakinifu na wahanga wengi walifanikiwa kurejesha furaha katika ndoa zao.
 
Naomba msaada

Nina umri wa miaka 30 na, nina waifu an watoto wawili na nimekuwa mwaminifu katika ndoa yangu.

Ila sasa naona shida kwani waifu hana hamu na tendo la ndoa kama zamani...na kila tukikutana kimwili, anaridhika baada ya mara moja tu huku mimi nabaki nikitazama ceiling.

Nimejaribu kuongea nae. analalamika kuwa ninataka sana.

How many times is too much in a week?

Je, nifanyeje?

...naaaaam, ni kawaida tu hiyo. Endelea kumpenda mkeo, kumhurumia na kumjali kwa hali aliyokuwa nayo wakati huu,...

Mtendee haki yake ili naye akulipe fadhila kwenye 'fainali za uzeeni' ...wakati huo utapokuwa unamuacha yeye akihesabu boriti!
 
Back
Top Bottom