Is this criminalisation of islam in Tanzania or humiliation of Christianity?we are brothers

Majibu ya maswali yako :-
1. Miaka ya nyuma uislamu na waislamu walikuwepo na haya mauaji tulikuwa tukiyasikia kwenye nchi kama Misri, Iraq na kwingineko kwenye christian minority huku uislamu ukijiingiza kwenye ugaidi wa kutisha wa akina Osama.
2. Kinachotokea sasa ni waislamu wa zanzibar kuupokea ugaidi kwa mikono miwili na kuutekeleza kama unavyosikia au pengine kushiriki ukiwa mwislamu pia.

Si kweli kabisa,,
unachokisema wewe ni kumeza moja kwa moja propaganda za west,osama ugomvi wake na marekani ulikua wazi na ulikua unafahamika tokea mwanzo,walipotofautiana katika misimamo yao then kikatokea kile kilichotokea,hakuna anaeamini ya kwamba osama alikua pale kwa maslahi ya uislam,unamchukulia yeye kwa kuwa ni mtu mwenye kuamin dini ya kiislam,lakin uhalisia hauko hivyo,,
then nchi nyingine kwenye machafuko unayoskia watu wana interests zao moja kwa moja,wengine hutumiwa uislam kama gia yao tuh,,
tungetemea nchi kama saudi arabia,oman,qatar na zingne nyingi zenye waislam wengi tuskie vurugu hizo,mbona kupo cool?
mji wa makkah ni mji ambao kwa kiasi kikubwa huchukuliwa kama ni mji mtukufu kwa waislam kwenda kuhij na kufanya ibada zao,tulitaaji kuskia hapo kuna machafuko makubwa kama uislam unafundisho ivo,mbona pako cool?
TAFAKARI..
 
Sio suala la kuutetea uislam.
Ni suala la kulitetea taifa letu,hapa kama kutakuwa na machafuko na uvunjifu wa amani tutaweza vipi fanya ibada zetu?

Kuhusu ponda,faridi na ilunga kama wao ni waislam au si waislam sijui unahitaji jibu la namna gani,zipo sifa za kumwita mtu muislama,nazo baadhi yake ni wema na kuamin mafundisho ya qur an na sunna za mtume (s.a.w),na kufuata maamrisho yake na kuacha makatazo yake,zaman hatukuyaona haya,tujiulize kwa sasa yanatokea wapi?

huko juu umesema kuwa uislam ni amani, na kuna watu (niwaite mijitu) wachache wanaouchafua uislam. Unakubaliana na mafundisho ya hao niliowataja? Inakuwaje hawa wanaouchafua uislam wanachukuliwa hatua halafu waislam (wengi) wanapinga hukumu juu yao? Yawezekana kabisa hoja yako hukuitafakari kabla ya kuiandika. Na kama uliitafakari basi ukubaliane nami kuwa niliowataja (na wengine wasiofahamika) wanauharibu uislam. Na waumini wanaowatetea hawajui watendalo. Tuelewane hapo kwanza.
 
Naomba nikuulize swali, Je Shehke Ilunga ni Muislamu? na anachfundisha ndio Uislamu? tuanzie hapo kwanza kabla hujawasema wale wanonyooshe vidole haya matukioa na Uislamu ! ukinijibu hapa tutaenda sawa
 
Si kweli kabisa,,
unachokisema wewe ni kumeza moja kwa moja propaganda za west,osama ugomvi wake na marekani ulikua wazi na ulikua unafahamika tokea mwanzo,walipotofautiana katika misimamo yao then kikatokea kile kilichotokea,hakuna anaeamini ya kwamba osama alikua pale kwa maslahi ya uislam,unamchukulia yeye kwa kuwa ni mtu mwenye kuamin dini ya kiislam,lakin uhalisia hauko hivyo,,
then nchi nyingine kwenye machafuko unayoskia watu wana interests zao moja kwa moja,wengine hutumiwa uislam kama gia yao tuh,,
tungetemea nchi kama saudi arabia,oman,qatar na zingne nyingi zenye waislam wengi tuskie vurugu hizo,mbona kupo cool?
mji wa makkah ni mji ambao kwa kiasi kikubwa huchukuliwa kama ni mji mtukufu kwa waislam kwenda kuhij na kufanya ibada zao,tulitaaji kuskia hapo kuna machafuko makubwa kama uislam unafundisho ivo,mbona pako cool?
TAFAKARI..

kule wanatumia quran pekee, nyinyi mnachanganya quran na bangi!
 
Swala la kujiuliza hapa ni rahis sana,,
Kwan miaka ya nyuma uislam na waislam hawakuwepo?

mafundisho ya uislam yapo vile vile,nini sasa kinapelekea hiki kinachotokea sasa?
TAFAKARI...

Dullah unauliza maswali ya msingi sana. Majibu yake yanahitaji tafakuri ya kina isiyo na chembe ya ushabiki wa kidini. Kwa wakristo imani na matendo ni vitu ambavyo haviwezi kutenganishwa. Dhana ya msingi ni kuwa muumini wa kweli anatakiwa kutenda yale anayoamini. Imani ya mtu haiwezi kuonekana kwa macho kwani iko ndani ya roho ya mtu lakini pia huwezi kuifahamu imani ya mtu kwa kusikiliza anachoongea peke yake. Ili uweze kufahamu imani halisi ya muumini shartu uangalie matendo yake ambayo ni uthibitisho wa nje wa kile kilichojificha ndani ya roho yake. Hii maana yake ni kuwa hata kama utaongea kwa kipaza sauti kuwa wewe una amini katika mambo fulani ikiwa matendo yako hayaakisi kitu unachohubiri na unafanya kinyume kabisa basi wewe ni mwongo au mnafiki.
 
Well said kabisa,labda mimi niulize swali moja kwako,
Chukulia mfano taharuki iliyokatokea mbagala na kuchomwa kwa kanisa kipindi kile,je kabla ya taharuki ile na sakata la kukojolewa qur an huku bara tulishawahi kuskia choko choko kama hizi?
ni wazi kwamba hatukuwahi kuwa na choko choko kama hizo,
Zanzibar pia haya tunayaona miaka hii ya sasa,mufti alimwagiwa tindikali huko,makanisa yanachomwa huko,padri kauwawa huko n,k
kisha tumekuja tena kuyaskia ya geita hivi majuzi,thats why tunasema haya yanayotokea sasa kwani zaman yalikuwa wapi?
mafundisho yako vile vile,watu ni wale wale,kuna nin kimezliwa mioyoni mwao?
hapo ndipo tunapostahiki kusimamia..
 
Naomba nikuulize swali, Je Shehke Ilunga ni Muislamu? na anachfundisha ndio Uislamu? tuanzie hapo kwanza kabla hujawasema wale wanonyooshe vidole haya matukioa na Uislamu ! ukinijibu hapa tutaenda sawa

Hatuna jinsi ya kujua kama ni huyu ndugu ni muislamu au anachofundisha ndio uislamu. Tunachoweza kuona ni kuwa huyu ndugu anatumia vyeo vinavyotumiwa na waislamu, anavaa mavazi ya ibada yanayovaliwa na waislamu wanapoenda kuswali na anadai kuongea na kutoa mawaidha kwa jina la mungu anayeaminiwa na waislamu. Njia pekee ya kujua kama huyu kweli anahubiri uislamu ni kwa kuwasilikiza wajuzi wa uislam wa kweli, yaani wanazuoni na viongozi wengine, watueleze kama hiki anachoongea huyu ndugu ndio hasa uislam. Bahati mbaya hawa jamaa ama wameamua kukaa kimya au wanaongea kwa sauti isiyosikika na hivyo kumfanya huyu ndugu aendelee kuhubiri huo uislamu wake bila kipingamizi.
 
Naomba nikuulize swali, Je Shehke Ilunga ni Muislamu? na anachfundisha ndio Uislamu? tuanzie hapo kwanza kabla hujawasema wale wanonyooshe vidole haya matukioa na Uislamu ! ukinijibu hapa tutaenda sawa

Shekhe ilunga umhukumu yeye kulingana na hayo anayoyazungumza,
Kama unataka mimi niwe katika position ya kumjaji huyo shekhe kama ni muislam sahihi au si muislam sahihi mimi sipo katika position hiyo,zaid zaid nitachosimamia mimi kipimo cha muislam safi ni kufuata mafundisho na kuacha makatazo na kumcha mola ipasavyo..
 
Mkuu huwajui wanafiki wakubwa hawa! Na imani yangu ni imani thabiti. Kwani hujui kuwa uislamu ndiyo dini inayoogopewa kwa fujo duniani kuliko dini zote? Wakuita brother na wanakuchinja mchana kweupe! wanakupa msahafu uukojolee kisha wanaenda kubomoa makanisa mazuri kwa wivu wa Mohamad!

Sawa nimekupata mkuu Top Cat!
 
Last edited by a moderator:
Habari ndugu zangu. Natamani kumwelewa mtoa mada lakini inanipa shida. Kuna mipango mingi sana inapangwa namna ya kuueneza Uislamu kwenye nyumba zao za ibada na wanatumia vipeperushi, cds, dvds na namna mbalimbali kuhasishana. Nia yao ni kuiongoza dunia na watu wote wamwabudu mtume Mohamed. Yeyote asiye kuwa Muslim ni Kafiri kwao na ni takataka tu au mnyama fulani tu, ndio maana kukuchinja wewe mwanadamu kafiri ni kawaida sana na Ibada na nguzo muhimu kwa Uislamu. Ndio maana Wanaweza kujilipu kwa ajiri ya dini yao. Niliongea na jamaa mmoja mwislamu kama anaweza kijilipua akaniambia INAWEZEKANA na ni thawabu kwake ibada maalumu.

Naomba nikuulize mtoa mada kwa nini mnamwita asiye muslimu kafiri?

Kwa nini mko tayari kujilipua?

Kwa nini mashehe wanasambaza cd,dvds,tape na vitu vingine hamuwakemei?

Na mwisho kwa leo kwanini nchi nyingi za kiislamu hazina amani?
 
Well said kabisa,labda mimi niulize swali moja kwako,
Chukulia mfano taharuki iliyokatokea mbagala na kuchomwa kwa kanisa kipindi kile,je kabla ya taharuki ile na sakata la kukojolewa qur an huku bara tulishawahi kuskia choko choko kama hizi?
ni wazi kwamba hatukuwahi kuwa na choko choko kama hizo,
Zanzibar pia haya tunayaona miaka hii ya sasa,mufti alimwagiwa tindikali huko,makanisa yanachomwa huko,padri kauwawa huko n,k
kisha tumekuja tena kuyaskia ya geita hivi majuzi,thats why tunasema haya yanayotokea sasa kwani zaman yalikuwa wapi?
mafundisho yako vile vile,watu ni wale wale,kuna nin kimezliwa mioyoni mwao?
hapo ndipo tunapostahiki kusimamia..

Mimi siyo mjuzi sana wa sayansi ya jamii ila ninaelewa kuwa jamii zote zinabadilika. Vichocheo vya mabadiliko vinaweza kuwa vinatoka ama ndani ya jamii au nje ya jamii husika. Hii maana yake ni kuwa tunaweza kuwa tunasoma kitu kilekile lakini tukawa na tafsiri tofauti kutegemea na wapi tulipotokea na wakati gani tumesoma kile tulichosoma. Hivyo mimi sishangai kuwa biblia na korani ni ileile lakini tafsiri zinabadilika kutegemea na nani amesoma wakati gani na kwa minajili ipi.

Madhehebu makubwa ya kikristo yana utaratibu wa viongozi kutoa miongozo na tafsiri sahihi ya mafundisho yao pale wanapoona kuna upotoshaji au hata pale wanaposhinikizwa kuendana na mabadiliko katika jamii. Ndio maana pamoja na kulaani mauaji ya padre kule Zanzibar, Askofu Pengo alisisitiza kuwa ukristo unahubiri amani na unapinga visasi na akawahimiza waumini wa dhehebu lake wajizuie kulipiza kisasi au kufanya vitendo vitakavyohatarisha amani ya nchi. Ninachosema ni kuwa ni wakati sasa wa viongozi wa waislamu pia kujitokeza na kutoa msimamo wa uislamu juu ya haya yanayoendelea hii itawanyima platform hawa wahubiri wachache wanaotumia ombwe lililopo la maelekezo sahihi kuhubiri chuki, mauaji na visasi kama inavyoendelea sasa. Tukumbuke kuwa haya mambo yakifikia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe wote tutaathirika bila kujali tulikuwa sahihi au la.
 
serikali ya CCM iliyochaguliwa kidemokrasia

Mkuu DULLAH MSAVIVOR hapo sikubaliani na wewe, CCM haikuchaguliwa na wananchi imewekwa na NEC sio wananchi na wala hawakuingia kidemokrasia, waliiba kura

Kwa kweli hata mimi sikubaliani na waislam wenzangu wanaoshabikia huu upuuzi wa kuchoma makanisa na vile vile nalaani hili tukio la kupigwa risasi Padri huko Zanzibar.

Mimi ni Muislam niliyeoa Mwanamke wa dini ya Kikiristo na tuna mtoto mmoja na tunaishi vizuri tu bila ya matatizo yoyote kwa miaka 10 sasa. Naheshimu imani ya dini yake na anaheshimu imani ya dini yangu.

Naomba tuweni pamoja katika kipindi hiki kigumu tulichonacho kwa kuwa chuki tayari imeshaenezwa na CCM, tusipoangalia tutaliangamiza Taifa letu kutokana na uroho wa Madaraka wa CCM.

Waislam na Wakiristo adui yetu sote tunamjua na si mwengine zaidi ya Umaskini na ujinga, lakini hatuwezi kuwatokomeza hao bila ya kuitokomeza CCM, CCM ndio adui namba moja wa Watanzania. Adui huyu hatuna budi tukashirikiana pamoja kumtokomeza kwa nguvu zote lasivyo adui huyu CCM ataligawa taifa na kuchochea chuki zaidi miongoni mwetu kama tusipokuwa makini na adui huyu Taifa litakuwa kwenye vita.
 
Habari ndugu zangu. Natamani kumwelewa mtoa mada lakini inanipa shida. Kuna mipango mingi sana inapangwa namna ya kuueneza Uislamu kwenye nyumba zao za ibada na wanatumia vipeperushi, cds, dvds na namna mbalimbali kuhasishana. Nia yao ni kuiongoza dunia na watu wote wamwabudu mtume Mohamed. Yeyote asiye kuwa Muslim ni Kafiri kwao na ni takataka tu au mnyama fulani tu, ndio maana kukuchinja wewe mwanadamu kafiri ni kawaida sana na Ibada na nguzo muhimu kwa Uislamu. Ndio maana Wanaweza kujilipu kwa ajiri ya dini yao. Niliongea na jamaa mmoja mwislamu kama anaweza kijilipua akaniambia INAWEZEKANA na ni thawabu kwake ibada maalumu.

Naomba nikuulize mtoa mada kwa nini mnamwita asiye muslimu kafiri?

Kwa nini mko tayari kujilipua?

Kwa nini mashehe wanasambaza cd,dvds,tape na vitu vingine hamuwakemei?

Na mwisho kwa leo kwanini nchi nyingi za kiislamu hazina amani?

Kafiri sio tusi wala kejeli katika uislam,sema huwa kwa hekima haishauriwi kulitamka neno hilo moja kwa moja mbele ya muhusika,,
yeyote yule ambae ni non believer huitwa kafiri kama neno lilitoholewa kutoka katika lugha ya kiarabu.,

kuhusu kujilipua si kweli kama uislam unaruhusu kujilipua,uislam unakataza mtu kuizuru nafsi yake na pia kuidhuru nafsi ya mwingine asie na hatia,ila inaruhusu slef difence pale innocent person unapoona unagharamika kimaisha,just kw kutetea uhai wako,,

hao mashekhe wanaosambaza hizo cds,dvs n,k na bila sisi kuwakemea ni jukumu la serikali iliyo madarakan kuangalia na kuzipitia hizo cds,dvds na kama ikibaina ni za kichochez basi na izifungie,,

si kweli kwamba nchi nyingi zenye waislam hazina aman,nchi nyingi zenye waislam zina aman,unless otherwise kwingine kuna interests za watu fulani,lakini zipo nchi kama oman,saud arabia,iran,qatar,jordan,turkey n,k kuna waislam wengi na kuna aman kubwa..
 
yanayotokea zanzibar yana sababu ambazo lazima zifanyiwe utafiti wa kina na serikali kisha iyatafutie suluhisho,
mbona zamani hayakuwepo?
kuna yule mufti alimwagiwa tindikali huko huko zanzibar,umesahau?
je,ulishawahi kuskia waislam wakihisi ya kwamba waliofanya hivyo ni wakristo??

Pamoja na juhudi nzuri za kujitetea kwa ndugu zangu waislamu, lakini ukweli unabaki palepale kuwa Uislamu kwa sasa umepoteza mvuto kwani ndiyo ulitufikisha hapa tulipoooooo!!!!

Ikumbukwe kuwa swala la juhudi za kuuneza uislamu umejimaliza wenyewe, hakuna mtu tena aliye mkristo ama mpagani kudanyika kwa lolote lile eti asilimishwe!!. Kinachofanyika sasa, wadada wote waliokuwa wananyemelewa na wakaka wa kiislamu wamewapiga stoooop! kwani wamjuwa kuwa wataenda kushawishiwa kujitoa mhanga eti wataenda ahera, uongo mtupuuuu!!! Imeandikwa baada ya kifo ni HUKUMU na si vinginevyoooooo! Pia wakaka wa kikristo sasa wanawauliza kwanza wasichana majina, akitaja Asha, ajira,Kulthumu, anaambiwa asepe huko kwani ni kibaraka wa uislamu na gaidi namba moja.

Sasa kwa mazingira haya hamuoni kwamba mnajimaliza ninyi wenyewe tuuuu! Oneni pia matokeo ya form 4, ziro ziko zote kwenu, je mnategemea nini, ni lini mtakapofikiria kwenda shule ya uhakika muachane na hiyo elimu kuua????? Shame on you, once again shame on you!!!! wadada wa kikristo kazi uzi kutowadondokea hao magaidiiii! wakaka please stop from any relationship with Muislimu girls, theyare killers, they will us/you soon!!!
 
Ningetaka kuona watu wakichagua upande, badala ya huu UHUNI wa kujificha kwenye kivuli cha AMANI na UNDUGU ambao hata maelezo yake hayaeleweki.

1. Huwezi kujadili Imani ya dini ya mtu kama mali binafsi ya anayeiamini dini hiyo. Imani yeyote lazima uipime kwa misingi ya UKWELI (kwamba ina ukweli) na ina APPLICATION (iko relevant) kwenye maisha ya anaeamini. Imani ambayo haiendani na matendo ni bure kabisa. Hivyo suala la kwamba dini fulani ni ya Amani ni ujinga kuliongelea kama matendo ya wanaoamini hayajielezi yenyewe.

2. Suala la dini kuhusishwa na fujo, mauaji na ugaidi - Dini imekuwa ni Umoja wa wanaoamini. Sasa wanaoamini wanapaswa kupinga KWA MAKUSUDI, jitihada zozote za waamini wao kuipaka matope hiyo Imani. Kutetea matendo ya wanaoamini inakuwa sawa na kuitetea Imani yenyewe (huwezi kutenganisha matendo na Imani halafu Ukategemea UKWELI utabaki Umesimama.

3. Huwezi kuielewa Imani yako, kama hujaelewa Lengo la Uhai (Purpose of Life). Huwezi pia kuuelewa uhai kama hujaelewa lengo la aliyeumba uhai huo.

4. Kuna mambo ambayo ni (sacred) na ambayo huwezi kuya-desacralize katika mazingira yeyote. Moja ya mambo ambayo ni sacred ni * Uhai *Time *Sexuality etc. Kwa hiyo dini au Imani yeyote haiwezi ikasema Uhai ni kitu kitakatifu pale wanapojisikia kufikiri/ kuhisi hivyo. Sacrilege ya kitu haitegemei fikira au hisia au mazingira ya mwanadamu yeyote. Wajibu wa wanadamu ni kuweka kilicho sacred kibaki kuwa sacred.

*Huwezi kusema unaheshimu uhai halafu ukawa unaondoa (violate) haki ya mwingine ya kuwa na uhai - hapo utawachanganya wanadamu. Unapofundisha kuua ni vibaya, basi fundisha hadi wanadamu wooote wakuelewe (usiache utata ukagubika unaloamini) maana wengi watautumia utata huu kuharibu haki ya wengine ya kuwa hai.
*Utata unapotokea - ama kwa sababu ya mafundisho kutokueleweka/kutokuwafikia walengwa au kuwafikia ukiwa nusu - UKWELI UNAKUWA UMEONDOLEWA/UMENAJISIWA (corrupted) na hivyo kinachowafikia walengwa ni chaos.

5. Waislam popote duniani wanapaswa kuipima Imani yao na kujiuliza maswali magumu - Islam is it still fit for a purpose?????????????????????????
 
Pamoja na juhudi nzuri za kujitetea kwa ndugu zangu waislamu, lakini ukweli unabaki palepale kuwa Uislamu kwa sasa umepoteza mvuto kwani ndiyo ulitufikisha hapa tulipoooooo!!!!

Ikumbukwe kuwa swala la juhudi za kuuneza uislamu umejimaliza wenyewe, hakuna mtu tena aliye mkristo ama mpagani kudanyika kwa lolote lile eti asilimishwe!!. Kinachofanyika sasa, wadada wote waliokuwa wananyemelewa na wakaka wa kiislamu wamewapiga stoooop! kwani wamjuwa kuwa wataenda kushawishiwa kujitoa mhanga eti wataenda ahera, uongo mtupuuuu!!! Imeandikwa baada ya kifo ni HUKUMU na si vinginevyoooooo! Pia wakaka wa kikristo sasa wanawauliza kwanza wasichana majina, akitaja Asha, ajira,Kulthumu, anaambiwa asepe huko kwani ni kibaraka wa uislamu na gaidi namba moja.

Sasa kwa mazingira haya hamuoni kwamba mnajimaliza ninyi wenyewe tuuuu! Oneni pia matokeo ya form 4, ziro ziko zote kwenu, je mnategemea nini, ni lini mtakapofikiria kwenda shule ya uhakika muachane na hiyo elimu kuua????? Shame on you, once again shame on you!!!! wadada wa kikristo kazi uzi kutowadondokea hao magaidiiii! wakaka please stop from any relationship with Muislimu girls, theyare killers, they will us/you soon!!!

Dah,sijui hata nikujibu nini,,

Anyway kila mtu asimamie kile anachokiamin,ila hoja yetu kuu hapa ni tanzania yenye aman..
 
Shekhe ilunga umhukumu yeye kulingana na hayo anayoyazungumza,
Kama unataka mimi niwe katika position ya kumjaji huyo shekhe kama ni muislam sahihi au si muislam sahihi mimi sipo katika position hiyo,zaid zaid nitachosimamia mimi kipimo cha muislam safi ni kufuata mafundisho na kuacha makatazo na kumcha mola ipasavyo..
hii ya kumuhukumu Shekhe Ilunga ilitakiwa ianzie kwenu nyinyi mnaoujua uislamu hasa ni nini, mjitokeze mseme wazi wazi anachokisema shehe sio uislamu bali ana interest zake binafsi kwa hiyo ndugu zangu msimsikilize wala kuyafuata maneno yake, shida huyu shekhe anahubiri kwenye misikiti na huko kuna waislamu safi kwa nini wanamruhusu? kwa mantiki hiyo ni kwamba hawa watu wanohusisha haya mambo na uislamu hawana makosa kabisa kwa sababu ndio yanahubiriwa huko misikitini, kwa hiyo ndugu yangu, nimekuelewa sana unaposema hayo lakini kuna watu humu wanshabikia mamneno ya shekhe na kutuaminisha kua uislamu ndio huo
 
Unayakubali mafundisho ya Sheikh Ilunga????
*Kama hujafanya chochote kuyakataa maana yake umeyakubali
*Unaweza kusema kuwa Sheikh Ilunga anaupigania Uislamu??
*Sheikh Ilunga anatumia Quran kutekeleza hayo anayosema (Quran unayoamini hata wewe inatoa maelekezo)

Back
Top Bottom