Bryson Mbeula
Member
- Sep 25, 2011
- 46
- 4
habari wana JF,kuna jambo nahitaji kujua...mimi ni 23yrs old,ktk maisha yangu sijawahi kumpenda msichana yeyote kutoka moyoni!..licha ya sehemu mbalimbali za ku socialize nilizo pitia hadi chuo..is this normal?
but do you love CHRIST with all your heart and all your soul???????????????
If so this is good.............................gals of this wicked generation can only bring trouble and sickness too................
Hilo sio tatizo, je ukiamka hasubuhi vp uwa umedinda au? Ni uamuzi tu kama umeamua mpaka utapooa ndio udo hiyo ndio misingi ya dini zetu hivyo Big Up.
at the age of 23 umemaliza chuo????? ni chuo kipi hichop maana vyuo ni vingi. au unataka kutuambia ulianza shule ukiwa bado tumboni mwa mamako.habari wana JF,kuna jambo nahitaji kujua...mimi ni 23yrs old,ktk maisha yangu sijawahi kumpenda msichana yeyote kutoka moyoni!..licha ya sehemu mbalimbali za ku socialize nilizo pitia hadi chuo..is this normal?
at the age of 23 umemaliza chuo????? ni chuo kipi hichop maana vyuo ni vingi. au unataka kutuambia ulianza shule ukiwa bado tumboni mwa mamako.
it is very normal.keep it up.Time will come.
Kwanza mshukuru mungu,then hiyo ni normal tu piga shule kwanza hizi mambo zipo uazikuta ukishamaliza chuo na kupata kazi ndio uanze kuzifikiria coz una muda wa kutosha kuzifanya saaaaaaaaaaaaaaaaaana!so tuliza boli kijana.