Is there any JF member who watchs love in the wild from E TV? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is there any JF member who watchs love in the wild from E TV?

Discussion in 'Entertainment' started by Samkyjr, Oct 11, 2012.

 1. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani kuna mwana JF yeyote huwa anaangaria love in the wild kupitia e tv, kiukweli kwa couple za tanzania na mapenzi yetu hata kama mmekaa zaidi ya miaka 2 sijui kama mkitenganishwa na kuulizwa maswali tofauti juu ya mpenzio kawa utaweza kujibu sawa kama yeye atakavyo jibu, kwa mfano busu lenu kwa mara ya kwanza lili kuwa wapi? Mpenzi wako anapenda zaidi sehemu ipi ya mwili wako.
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Na kwa nini couples za Tanzania ziige mapenzi kutokana na TV?

  Unauliza mambo ya busu katika watu ambao hawana utamaduni wa busu?

  Unauliza mambo ya muda katika watu ambao hawana utamaduni wa kuwa na diary?
   
 3. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  naona wewe si mmoja ya wale wanaotazama hicho kipindi, ndio maana nikawauliza wana jf wanaotazama hicho kipindi unatakiwa uwe unasoma kwanza kabla ya kukurupuka na kujibu mambo usiyo jua.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Kwanza huna njia ya kujua kama natazama au sitazami.

  Pili, kwamba natazama au sitazami sio suala hapa.

  Suala ni kwamba umetegemea Watanzania watake kuwa na mapenzi ya kuiga kutoka kwenye TV na mtandao.

  Kwa kisa gani?

  Huwezi kumtegemea Mtanzania ambaye hawi pale akishtushwa ajue jinsi ya kujibu swali linalouliza "What makes your lover go pale in a second?"

  Hogwash!
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,814
  Likes Received: 36,906
  Trophy Points: 280
  Mkuu mie natazama iyo kitu, nilichokigundua ni swala la wanawake kuwa tegemezi kiasi kwamba couple ikifail mwanamke anakuwa wa kwanza kutaka kubadili mwanaume akiamini mwanaume ndo anakosea.
  Last week one among couples walichelewa coz farasi waligoma kutembea ila mwanamke alielekeza lawama kwa mwanaume bila sababu za msingi.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...