Is Tanzania a failed state economically?

. Tunaitisha mkutano wa kitaifa na kuweka blueprint ya kile tunachotaka kifanyike.

Tutengeneze kwanza vision ya taifa. Matatizo mengi yanaanza na ukosefu wa vision. Utajuiaje umepotea njia ikiwa unakokwenda hukujui? Tunafanya mambo yetu kama kaa wengi waliolundikwa kwenye shimo kila mmoja akijaribu kutoka kwa kumpandia mwenzie.
 
we care, we really do, i tell you, but not enough to to anything, that is the most imporntant recipe of failure.
We know we are falling, we hate whre we are going, but we do not want to do anything.
Are we hopeless?
I hope not.
The guys like those who can go forward like zitto fujikombe and their teams are our hope. Lets pray for them, that they dont fail so soon.

This is where our most glaring problem lies - depending on political figures to usher in change and solutions. These two that you have mentioned are mere individuals, they do not possess the entire strength. A revolution cannot materialise on the back of a few individuals, citizens must themselves take the reigns and enforce transformation.
We continue to lose this fight because we let MPs fight for us; numbers matter in this battle, and until ordinary citizens are able to fight for this country, it will not happen in our lifetime.
 
Tunaanza upya. Tunaitisha mkutano wa kitaifa na kuweka blueprint ya kile tunachotaka kifanyike. Politically kwanza lazima CCM iondoke madarakani. Wamepoteza moral right ya kuongoza. Tunapanga uongozi ambao utatupa mwelekeo mpya hasa katika suala la rushwa, uwekezaji, elimu, afya na kilimo. CDM wana mawazo mazuri zaidi ya CCM katika masuala hayo yote.


Mtu mzima Jasusi umeongea vizuri sana kiasi sitaki kuharibu mpangilio wako!

Tunahitaji kuanza upya, tupate muafaka wa kitaifa!
Tufume upya mfumo wetu kwenye kada zote.
Tutengeneze intergration iliyo na maslahi kwa taifa kati ya utaalamu na siasa!

Tukianza upya hakika tutaweza, ila kwanza tuipoteze CCM.
 
This is where our most glaring problem lies - depending on political figures to usher in change and solutions. These two that you have mentioned are mere individuals, they do not possess the entire strength. A revolution cannot materialise on the back of a few individuals, citizens must themselves take the reigns and enforce transformation.
We continue to lose this fight because we let MPs fight for us; numbers matter in this battle, and until ordinary citizens are able to fight for this country, it will not happen in our lifetime.

Where do we start?
What are we suppose to do?
 
Misri wame wa ban wafuasi wa mubarak!nasi pia wana ccm wasishike madaraka yeyote!raia tuache uoga tukusanyike gymkhana
 
It failed long before we knew...when the president was hardly spending a week in Tanzania and three weeks abroad. That was in 2006 to 2010.
 
Waaoh...a wonderful analysis.
There is a famous philosopher who said "The army of sheep led by a lion is ten times better than the army of lions led by a sheep"...here he intended to show the importance of a leader.
Our main problem is leadership....when a leader is commited,determined and motivated even the people under his/her leadership will have a morale to responsibilties so as to accomplish a national goal.....a leader can be elected democratically but rules autocratically in order to influence and stimulate development...this in turn will change the whole system automatically....refer to incumbent president of Rwanda.
 
Good overall analysis. But not only 71 heroes exist in this country. Those mentioned just grasped an opportunity to be on the air. Many are everywhere. Just a matter of time and fursa
 
I pray,and I know the inocent Wananchi will end up be the winners and claim their lovely Nation
 
I do!! and what you posted is a reality

---tusaidie basi na a few proposals on how to get out of our failure??

Wewe upendi ukweli, unamsakama wa nini? Kwa nini uanzishi thread yako ukaelezea unayotaka kusikia?

Hao washauri serikalini hawalipwi? Nahisi wewe ni mmoja wapo unakuja humu kuchukua points za kukusaidia kikazi.

Acha pumba
 
Me like this....nipate PC nikugongee. Umesema ukweli mtupu
 
Where do we start?
What are we suppose to do?

jeykey na wenzake hawana GOD FEARING, NO CONSCIOUSNESS IN THEIR HEARTS KABISA, thats why wanaua, wanafanya mambo ambayo ni MACHAFU, KINYUME KABISA NA UBINADAMU! USHIRIKINA HUTAWALA KIPINDI CHA UCHAGUZI KULIKO KUMUABUDU ALLAH, MUNGU TU! HILI NI CHUKIZO KUBWA SANA KWA MUUMBA WETU KWA KUJISAHAU HIVI! JEYKEY NI KIMEO SIJAWAHI ONA KIMEO KAMA HIKI TOKA KUUMBWA KWA ULIMWENGU! Pinda naye ni HOVYOOOOOOOOOOO KABISA! Mimi kuna saa huwa natamani kuhama hii nchi, kubadili na damu isiwe na asili ya kitanzania, cjui niweje, kwa jinsi naichukia hii serikali ya baba ridhiwani!
 
It failed long before we knew...when the president was hardly spending a week in Tanzania and three weeks abroad. That was in 2006 to 2010.

what else are the yardstick, Tanzania is a failed state
A country where people know of their leaders loot and still can prosecute such leader
A country that has not been able to transform successfully from agrarian to trandisia in the development continuum
A country where there is no natural disaster and yet a worst hit state with natural disaster has survived the trauma
A country that cannot trained her citizens and develop her human resource for future occurrence
A country where certificate is all that matters
A country that a candidate can openly condemns a political party and later via for presidency next 5 years under the same party
A country where people opinion and voice is not heard
A country that local govt officials don't come to work

There are lots of criteria that show that Tanzania is a failed state
 
Where do we start?
What are we suppose to do?

Get rid of CCM and its leadership at the first and any opportunity before you. Natafisiri kwa msisitizo "Ondoa uwepo wa aina yo yote wa CCM kwa fursa ya kwanza na yo yote iliyopo mbele yako.

Mifano

1. Do not behave like CCM and its members, be responsible and determined to change the social economic status quo by focusing that IT CAN BE DONE IF YOU PLAY YOUR PART

2. be honest and despise dishonesty instantly

3. Refrain from spoils which you have acquired maliciously and illigally

4. Work hard because you will earn according to your work and in so doing you will be serving your country.

5. Ashame the devils in form of wachumia tumbo

6. ----- ongezea
 
nadhani kuna haja ya kuanza upya kwa taifa hili km ndy kwanza tumepata huru...
 
Back
Top Bottom