Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

Opera Min

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
901
657
Kuna kampuni moja inaitwa Qnet ni kampuni tanzu ya Qi company,ni biashara ya mtandao makao yake makuu yapo Hong kong,wana deal na kuuza saa,vifaa tiba n.k.

ni hivi wanashawishi watu wakope na wanunue bidhaa mtandaoni km saa n.k kwa bei kubwa km milioni 5 then automatically unakua umeshakua member then unaambiwa utafute watu kadhaa nao wanunue bidhaa ili upate kamisheni cha ajabu ni kua hta km huna hela watatumia mbinu zote za kiulaghai kwamba utapata zaidi ya milioni 10 as a kamisheni kila mwezi na maisha yko yatakua mazuri ndani ya muda mfupi sasa na njaa zetu hizi ukipiga picha m10 kila mwezi unaweza kuingia mkenge .

Hii kampuni ilishapigwa marufuku kwa "fraud" nchi kibao kama India,australia n.k.hivi sasa hapa bongo ndo imeshika kasi na ofisi zao zipo hpa kinondoni Studio. serikali mko wapi?

kwa jinsi walivyo wajanja hpa walipoweka ofisi yao huwezi jua kinachoendelea humo ndani utaona tu watu wanaingia na kutoka ukiuliza kuna nini humo ndani huwezi ambiwa,nimejaribu kunyapia nyapia mpaka nimefanikiwa kuingia na kufanyiwa semina ndo nikagundua hawa ni matapeli.

Maisha magumu yasitufanye tuwe wepesi wa kuamini visivyo aminika.
 
Hizi biashara za namna hii zimekuwa nyingi na zimekuja kwa wakati, wakati ambapo wengi wanapenda utajiri wa mezani. Alafu utashangaa wakishadhulumiwa wanaanza kulaumu serikali kwa kutowasaidia kubana hao matapeli utadhan wakati wanajiunga walipewa mwongozo na serikali.

Na mtaliwa tu subiri wakaze uzi walaji
 
Bongo bana mambo ya ajabu kabisa DECI ililiza watu , lakini wahusika wakawa wanaiangalia tuu mpaka ilipotaka kufilisi Taifa ndio watu wanashtuka too late, mbona hii inaonekana wazi kabisa ni PYRAMID SCHEME? kwanini wahusika wasikamatwe mara moja?

Haya kuna wale wengine wa ndani wanaoitwa ' SANITARIUM" wengi ni waumini wa kanisa moja linalosali jumamosi, wanashikisha watu kacomputa eti kanaangalia magojwa mwili mzima,, wizara ya afya hamuwaoni hawa matapeli?
 
Kuna kampuni moja inaitwa Qnet ni kampuni tanzu ya Qi company,ni biashara ya mtandao makao yake makuu yapo Hong kong,wana deal na kuuza saa,vifaa tiba n.k.

ni hivi wanashawishi watu wakope na wanunue bidhaa mtandaoni km saa n.k kwa bei kubwa km milioni 5 then automatically unakua umeshakua member then unaambiwa utafute watu kadhaa nao wanunue bidhaa ili upate kamisheni cha ajabu ni kua hta km huna hela watatumia mbinu zote za kiulaghai kwamba utapata zaidi ya milioni 10 as a kamisheni kila mwezi na maisha yko yatakua mazuri ndani ya muda mfupi sasa na njaa zetu hizi ukipiga picha m10 kila mwezi unaweza kuingia mkenge .

Hii kampuni ilishapigwa marufuku kwa "fraud" nchi kibao kama India,australia n.k.hivi sasa hapa bongo ndo imeshika kasi na ofisi zao zipo hpa kinondoni Studio. serikali mko wapi?

kwa jinsi walivyo wajanja hpa walipoweka ofisi yao huwezi jua kinachoendelea humo ndani utaona tu watu wanaingia na kutoka ukiuliza kuna nini humo ndani huwezi ambiwa,nimejaribu kunyapia nyapia mpaka nimefanikiwa kuingia na kufanyiwa semina ndo nikagundua hawa ni matapeli.

Maisha magumu yasitufanye tuwe wepesi wa kuamini visivyo aminika.
Sehemu gani mkuu nifanunulie vizuri inbox
 
bora umeitaja yaani na hii kama ni feki watapigwa wengiii wanajoin kwa mil 4 hapa shoga yangu kaingia kwa mbembwe eti kila mwezi atakuwa anapata mil 7 mmmmh wajuzi wa d9 njoo muokoe watu.

Yale yale ya rifaro africa nilipigwa na hawa jamaa
Me nimejoin and i am getting paid each week ikifa nshapata pesa yangu nlowekesha.. if you want to join make sure your awere that your taking risk anything might happen
 
Unaita watu matapeli huku wenzako wakimake money!! Shauri yako. KANYAPIE TENA UELEWE KINACHOENDELEA USIPOTOSHE WATU.
 
Back
Top Bottom