chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
Ni kweli kwamba wanawake wengi wenye elimu ya juu wanadharau sana?na hawajui majukumu yao kama wanawake wengine,ambao hukaa nyumbani tu?.Help.

Uzuri ni kwamba elimu haina mwisho,
Leo utasema mdada una elimu ya juu ya Degree halafu unakuja unakutana na Jamaa kapiga Masters, PHD mpaka CPA halafu Bwa'Mdogo tu!!
Halafu siku hizi elimu nayo kama huna Tembocard-Mastercard nayo sio issue sana!!
Si kweli!
si kweli ila kwenye msafara wa mamba na kenge wamoHelp ya nini sasa hapo? Unataka kuoa mthomi?