Is it true?

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Ni kweli kwamba wanawake wengi wenye elimu ya juu wanadharau sana?na hawajui majukumu yao kama wanawake wengine,ambao hukaa nyumbani tu?.Help.
 
Ni kweli kwamba wanawake wengi wenye elimu ya juu wanadharau sana?na hawajui majukumu yao kama wanawake wengine,ambao hukaa nyumbani tu?.Help.

wewe haya umeyatoa wapi?................stereotyping has always led most of us astray........................kila mtu yategemea kalelewa vipi..................
 
Uzuri ni kwamba elimu haina mwisho,
Leo utasema mdada una elimu ya juu ya Degree halafu unakuja unakutana na Jamaa kapiga Masters, PHD mpaka CPA halafu Bwa'Mdogo tu!!
Halafu siku hizi elimu nayo kama huna Tembocard-Mastercard nayo sio issue sana!!
 
hujajibu swali,
 
Ni kweli kwamba wanawake wengi wenye elimu ya juu wanadharau sana?na hawajui majukumu yao kama wanawake wengine,ambao hukaa nyumbani tu?.Help.

Ni kweli...Ila kama wewe form 4 au STD VII mwanamke aliyehitimu chuo unatafuta wa nini??

Kwani wenye viwango kama vyako wameisha?? Kwa sababu kama elimu yake iko juu sana, wewe unatakiwa kuwa mtumishi wake na siyo mwenzi wake....

Umeridhika??

Babu DC!!
 
Kusoma ni kitu kingine, na kuelimika ni muamala mwingine.
Mwanamke aliesoma na akawa na dharau huyo atakua amesoma tu! Hajaelimika. Aliye elimika hawi hivyo.
 
sio kweli,hilo halina uhusiano na kiwango cha elimu,ni swala la mtu binafsi,kulingana na malezi aliyokulia na ufaham wa wajibu wake km mke.
 
Hata awe na elimu vipi, time yakupiga vitu shahada yake unaiweka chini.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom