Nemo, maslahi ya mtu ni ya mtu mwenyewe, yani hapo hakuna cha right wala wrong bali kuna cha facts or not...Harmony btn you, and your ex when forced in uncomfortable situation i.e sherehe ya mtoto wenu. Na hapo nilipo bold, you my friend are very wrong kids should come first,!!! Hasira zako kwa mama yao does not absolve you from your responsibility as their parent!!!!!!
Kwa nini watu wahanajihangaisha na kids' happiness baada ya kuachana wakati wangeweza kuifikiria na kuipa nafasi kabla ya kufanya maamuzi mazito ya kuachana??
you can say that again bro... with a woman you always have to prove something but with a man all you need is happiness
Sasa kuna cha pili which is the most important: Men respect wanaume wengine so they wouldnt want to be in between the exes, but i doubt if that is true for women, (msinipige mawe) coz i dont see them respecting or at considering "the other woman"
Back to topic, it is very rare kutommega tena ex wife, very rare especially kama bado mnaonana
Unajua nini Brother,
Wanawake Mungu aliwaumba kwa namna ambayo wanaume wanaijua zaidi kuliko wanawake wenyewe!!
Kwenye ile mada ya who is number one btn a husband/wife and kid, wanawake wote walisema bila kumung'unya maneno kuwa namba one kwao ni mtoto!!
Ndio maana baada ya matukio kama kuachana wanaume wanatumia hao hao watoto kufanya lolote wanalotaka....
Kama wasipostuka wasije kusema hatukuwaambia...Ukweli ni kwamba mwanamume hata akimwacha mwanamke, haachi kutamani kumuonja tena. Labda kama alimkera zaidi ya kituo cha polisi!
Just because a parent opted out of their marriage, it doesnt mean he/she cares less about the children's happiness! !!!
caring about children doesnt mean you have to be with your ex-wifejust because a parent opted out of their marriage, it doesnt mean he/she cares less about the children's happiness! !!!
Kuwajali watoto haina maana kuwa na mikutano na majadiliano ya mara kwa mara na mama yao (ambaye tulishindwana anyway)!
Ndo maana nikasema kuwa mtego wa watoto siku zote unawaumiza wanawake zaidi kuliko wanaume...Ukiona mwanamume anafuatilia fuatilia watoto kwa Ex wake...basi jua kuna jambo zaidi ya watoto analolitafuta!!
DarkCity
Duh....................This is very insightful
Mwanajamiione
Sorry for venturing out of the topic
caring about children doesnt mean you have to be with your ex-wife
btw, wewe una ndoa au uko kwenye hypothetical life?
I am just worried kama tunaongea na mtu mwenye family aisee, yani kipimo cha kujali watoto ni kuongea na mama yao??? what if it was an abusive relationship? what if it is not important?
I am sorry, but none of use here has asked about terms zilizosababisha separation in the first place
Wapendwa ninatumaini wote mu wazima.
Ninaomba msaada wenu
Eti inawezekana kwa wazazi waliotengana wakabaki marafiki? Kuwa kwa kuwa mmejaaliwa mtoto/watoto kisha mkatengana, na mnajua kabisa (or at least upande mmoja unajua kabisa kuwa hakuna possibility ya kurudiana- mnaweza mkawa mnaalikana/particippate kwenye shughuli za familia mf. arusi na sometimes kuwatoa watoto wenu out kwa pamoja??
Is it possible? Maana naona hii anger management course itanishinda!
Yote inawezekana, inategemea mlimaliza uhusiano kwa njia gani. Binafsi mwaka 2008 nilihudhuria katika arusi ya ex-wangu na mchango nilitoa. Better say, tulitoa kwani marafiki sote (we have still the same friends for 15 yrs now) tuliamua kuchanganya mchango wetu na kumnunulia kitu cha maana. Mwaka jana alikuja yeye na mume wake kunitembelea, na mwaka huu nimeenda kumwona mumewe wakati almefanyiwa operesheni ya moyo.Yaani hapo niomeiondoa hiyo ya kuwa na another relationship kwani ikishakuwa hivyo its NEVER. Tutaishia tu Bwana eh Mtoto anaumwa kalazwa au mtoto anamaliza term so jiandae kwa ada ya next term but zaidi ya hapo eti flan anaoa utoe mchango au uhudhurie, au tumtoe mtoto kusema ukweli naona karibu navunja undugu na ndugu zangu! Hawataki kunielewa kusema ukweli, kwangu alianza nikamaliza na sitarajii kurudi wala kufake urafiki wa kuunga unga na selotepu kama tunapamba mti wa krismass.
Mbona umebadilisha Avatar???? wapi Che?Yote inawezekana, inategemea mlimaliza uhusiano kwa njia gani. Binafsi mwaka 2008 nilihudhuria katika arusi ya ex-wangu na mchango nilitoa. Better say, tulitoa kwani marafiki sote (we have still the same friends for 15 yrs now) tuliamua kuchanganya mchango wetu na kumnunulia kitu cha maana. Mwaka jana alikuja yeye na mume wake kunitembelea, na mwaka huu nimeenda kumwona mumewe wakati almefanyiwa operesheni ya moyo.
Vile vile jamaa yangu wa karibu sana (mwanamke) aliwachwa, mume akaoa mwengine, na yeye ameolewa. Hivi sasa yeye na mke wa ex-wake ni marafiki, wanatembeleana, wanaalikana na kuhudhuria kwenye shughuli pamoja, za misiba na furaha.
Cutting it short, inategemea mlitengana kwa njia gani. Ikiwa kwa usalama na urafiki kama mlivyoanza, kwa nini isiwe?
Nimemweka pembeni kwa muda. Im digesting the other side of his history I learn recently. He's blamed (with a lot of evidences) that he was a cold-blood killer of innocents. It pained coz he's my idol!Mbona umebadilisha Avatar???? wapi Che?
It is possible but there is no need to force it.
Usi-conclude haraka, acha ligi iendelee kidogo tupate maujuzi.
Mwenzio bado naandika notisi.
Nime conclude nini hapo?
Inawezekana ....
worry not mdogo wanguMTM
Hey what has anything got to do with anything? To answer your quen siko kwenye ndoa................but I once dated a guy(not married) but with a kid . Issues or sherehe to do with the kid, I always stepped back , na nilikuwa nakataa kuhudhuria out of respect kwa mama mtoto. Mimi kama mwanamke was and am aware that, my presence doesnt serve none but kero so i let it be!!!!!!So maybe the issue sio ex but ni hao ma loveydovey when who do not know what and how to behave....just saying:eyebrows: