April am telling you, hiyo level niliyokuwa nimeiweka I was struggling to death, sasa bado mtu ananiambia niongeze?? Hivi nyie kina baba, umuabuse mwenzi wako, including vipigo vya kila mara na bila kuangalia ni barabarani au la, umfanye atake responsibilities zako simply because anafanya kazi, na bado umdhalilishe but yeye aendelee kukuheshimu kwa kukupa nafasi ya kuja kuwaona wanao, wanao wanaumwa wewe hujui wanatibiwaje (na si kuwa huambiwi, ila ukiambiwa ndo unakata mawasiliano only to wait usikie kuwa wanaendelea vema au wamepona ndio unakuja kuwachukua kwa matembezi na show offs, hujui wanao wanakula nini, wanavaa nini sana sana ukija ukakuta wamevaa nguo ulizowahiziona unakazana kuuliza hivi hawa hawana nguo nyingine??- unatizamwa kimya bila hata kufanyiwa vurugu. Halafu bado unatoka unalalamika kuwa unaonewa ! ah kusema ukweli najiona nimekuwa malaika vya kutosha, now I need that Devil in Me, kwa kweli
Yani ukae mkao wa kula, nikikukuta sijui umemualika kwenye pati, jiandae kutandikwa bakora aisee na kuvutwa masikio kama shule ya praimariMTM my bro, I deserve that kabisa! Keep ur eyes open kama ni kiboko kimenifanya niwe sugu sasa. Iam the she-devil.
MTM my bro, I deserve that kabisa! Keep ur eyes open kama ni kiboko kimenifanya niwe sugu sasa. Iam the she-devil.
swahiba MJ1 ni kamanda, i truly believe kwamba atanasuka tu kwenye utando huo....ooopppssssss! slow down bana.,..haya mambo hayahitaji jazba, hasira na kukurupuka kwenye maamuzi yake.
mwj1... huyu ni funza kwenye akili yako, na mabandiko yako mengi yanajionyesha jinsi ulivyonasa kwenye utando wa bui bui,...
...'panic buttons' hazitakusaidia kujing'amua...! Relax and conquer your demons kwanza...jikubalishe kwamba unataka na unaweza kum face off....start from there!...
angalizo muhimu;
usinitaje huko ati mbu kakufundisha...enhee, nisijegeuziwa kibao na hivi mbu nisivyo na bahati, lol...
swahiba MJ1 ni kamanda, i truly believe kwamba atanasuka tu kwenye utando huo
ingawa ni vigumu lakini she is a strong darling
Maty na Nyamayao, nimewaweka akiba. Siku yakinikumba ntawakodisha na mdundiko nyuma nyie mbele mie kati. MJ1 atakua mpiga picha wetu,kha!
MJ1,pole. Lakini ukaribu na huyo baba sarawili unakuchelewesha ku-move on. Jiulize unamkaribisha becoz u ar single ama hata ukiwa na mahusiano/ndoa still utamkaribisha? Kama jibu la kwanza ni applicable,it is nt worth it.
hahahahahah!....king'asti ulisema utaanza kupuliza wikiendi?
kwa hii post yako tu, yajionyesha kuna mahala ulinusa moshi wake...
dahhh...umenichekesha sana!
Biblia inakataza kabisa kabisa kuachana. Nashauri kutafuta namna ya kureconcile badala ya
hii ya kuwa na term interactions.
]Maty na Nyamayao,[/COLOR] nimewaweka akiba. Siku yakinikumba ntawakodisha na mdundiko nyuma nyie mbele mie kati. MJ1 atakua mpiga picha wetu,kha!
MJ1,pole. Lakini ukaribu na huyo baba sarawili unakuchelewesha ku-move on. Jiulize unamkaribisha becoz u ar single ama hata ukiwa na mahusiano/ndoa still utamkaribisha? Kama jibu la kwanza ni applicable,it is nt worth it.
Mkuu siku hizi biblia na misahafu yenyewe vinaibiwa achilia mbali yaloandikwa.
wewe toa ushauri tu
hehehe hivi haujaskia kesi watu wanavusha vitabu vitakatifu kimagendo??hahahaha....ushachizika wewe!...
hahahaha mie namuona maty kachizika zaidi aise, ntamuweka mbele yangu mie nimfate kwa nyuma,hahahah....mie nasemaje kuhusu huyu kaka kwamba kweli alipata mwanamke.....
hehehe hivi haujaskia kesi watu wanavusha vitabu vitakatifu kimagendo??
halaf nimekumic wajameni, hivi msukuma sio memba wa jf?
Bek to ze topik: mapwenti yameniishia, nyie endeleeni tu
hehehe Siku akiibamba paswedi yako ya JF nishtue, nisije nikajileta PM kwa mbwembwe halaf ikawa habari ya kubadilisha ID lolhalafu juzi kati aliniuliza swali kuhusu JF nikapotezea, soon atanibamba/ananish2kia aisee na mie ctaki bana......mic u 2 darlin!
Biblia inakataza kabisa kabisa kuachana. Nashauri kutafuta namna ya kureconcile badala ya
hii ya kuwa na term interactions.