Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Jun 6, 2013 #1 Nauliza kwa nia njema tu,kama kuna madhara au faida zozote naomba kufahamishwa!
C cheriefrance Senior Member Jun 5, 2013 134 40 Jun 6, 2013 #2 madhali mnapendana hakuna chenye madhara!Naomba kuuliza mlikuwa pamoja muda wote au mlitengana mkarudiana?
madhali mnapendana hakuna chenye madhara!Naomba kuuliza mlikuwa pamoja muda wote au mlitengana mkarudiana?
Maundumula JF-Expert Member Nov 4, 2010 7,553 3,070 Jun 6, 2013 #3 Ulimaanisha childhood sweetheart? Maana kama yupo childish wa nini uonane nae sasa?
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Jun 6, 2013 Thread starter #4 cheriefrance said: madhali mnapendana hakuna chenye madhara!Naomba kuuliza mlikuwa pamoja muda wote au mlitengana mkarudiana? Click to expand... tulipotezana ka miaka 6 hvi,ndo tumekutana tena kwa mara nyingne!
cheriefrance said: madhali mnapendana hakuna chenye madhara!Naomba kuuliza mlikuwa pamoja muda wote au mlitengana mkarudiana? Click to expand... tulipotezana ka miaka 6 hvi,ndo tumekutana tena kwa mara nyingne!
C cheriefrance Senior Member Jun 5, 2013 134 40 Jun 6, 2013 #5 Perry said: tulipotezana ka miaka 6 hvi,ndo tumekutana tena kwa mara nyingne! Click to expand... Then sioni tatizo!madhali mlishawahi kuwa na watu tofauti kwahio mmeshakuwa na mitazamo tofauti ya maisha na mapenzi!
Perry said: tulipotezana ka miaka 6 hvi,ndo tumekutana tena kwa mara nyingne! Click to expand... Then sioni tatizo!madhali mlishawahi kuwa na watu tofauti kwahio mmeshakuwa na mitazamo tofauti ya maisha na mapenzi!