Is it fair kuoana na your childish sweetheart?

Is it fair kuoana na your childish sweetheart?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Nauliza kwa nia njema tu,kama kuna madhara au faida zozote naomba kufahamishwa!
 
madhali mnapendana hakuna chenye madhara!Naomba kuuliza mlikuwa pamoja muda wote au mlitengana mkarudiana?
 
Ulimaanisha childhood sweetheart?

Maana kama yupo childish wa nini uonane nae sasa?
 
madhali mnapendana hakuna chenye madhara!Naomba kuuliza mlikuwa pamoja muda wote au mlitengana mkarudiana?

tulipotezana ka miaka 6 hvi,ndo tumekutana tena kwa mara nyingne!
 
Back
Top Bottom