Is it fair kuoana na your childish sweetheart?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Nauliza kwa nia njema tu,kama kuna madhara au faida zozote naomba kufahamishwa!
 
madhali mnapendana hakuna chenye madhara!Naomba kuuliza mlikuwa pamoja muda wote au mlitengana mkarudiana?
 
Ulimaanisha childhood sweetheart?

Maana kama yupo childish wa nini uonane nae sasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom