Is it confirmed That iddi is Kesho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it confirmed That iddi is Kesho?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by vivian, Aug 30, 2011.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wengi wetu hapa tuna uhakika 100% kuwa Iddi ni Kesho.

  Kwani nani kawambia Mwezi utaandama Leo? je usipoonekana.

  Naomba msinywe tena valuer kama jana mkijua kesho ni mapunziko halafu mwezi ugome kuonekana.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hapa Saudia sisi twajilia ubwabwa wetu kuanzia leo.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nadhani hii inawahusu zaidi waislamu
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Eid mubarakh.
   
 5. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ni kweli MS, lakini hata sie wakristu inatuhusu kiana.
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  usipoandama mimi naacha kufunga
  najua nitakuwa nimekamilisha siku zangu 30.
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  leo lazma mwez uandame mkuu, usiwe na shaka. Umefunga kwel, au vidonda vya tumbo.
   
 8. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  mpaka nione mwezi mimi ndio nafungua, halafu naona kama kuna mawingu hapa - ikifikia saa kumi naenda mji wa jirani labda huko anga litakuwa clear nikauangalizie hivyo. Sheria inasema ni lazima uuone kwa jicho lako mwenyewe maana ingelikuwa kwa macho ya wengine nasi tungefuata mkumbo wa Saudi Arabia
   
 9. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kama sheria inasema lazima uone kwa jicho lako mwenyewe basi wengi tunakosea. Nakumbuka Last time walisema umeonekana Mombasa watu tukafungua. na mara nyingi huwa wanasema umeonekana sehemu fulani.
   
 10. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hii inawahusu zaidi waislam??????? mmh1 KWELI WW NI MWITA!!
   
 11. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hivi wewe humjui huyu ni nani hadi leo?
   
 12. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ila watu leo mmechelewa wengi sana kazini, nikiwemo na mimi
   
 13. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii nchi kuna vurugu nyingi katika jina la utawala bora na uhuru wa kujieleza!! Imagine ka fm radio fulani Mbeya usiku wa jana (29/08/2011) kameendelea kutangaza kuwa leo (30/08/2011) ni sikukuu na pilau itakuwa nje nje!!- Quite misleading. Those are good days wakati Redio ya Taifa ndo Masheikh walikuwa wanatoa tamko la Eid na wote tukiamka tunaweka mambo yetu sawa.

  Jambo hili ni serious- serikali isaidie kwani linawahusu waumini wa dini zote. Alternatively tuchukue msimamo wa Egyptians na wengine ambao wanatumia Kalenda - inapofika tarehe Taifa linajua ni lini kuanza kufunga na wanajua tarehe ya Eid.
   
Loading...