Is God Real?

Is God Real?

Mungu yupo ndani yako. Mara nyingi hufanya kazi kupitia wewe ila kuna kanuni na masharti yake.

Mungu hana huruma na mtu yoyote, mara nyingi anaweza kukupa kile unachokiwaza mara nyingi hata kama ni kibaya

Halazimiki kujibu maombi kwa njia na namna ile unayotaka wewe

Mungu ni wazo na hakuna kitu chochote kinaweza kutokea kabla ya wazo kwanza
Man made, God is imaginary.
 
Kiwango cha uwezo
Ukishaona mjadala na maswali kuhusu uwepo wa Mungu (awali ya yote nakusudia Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na nwenye upendo wote), huo mjadala tu ni ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.

Kwa sababu Mungu huyo mwenye sifa hizo hatakiwi kuwa mkatili hivyo kuwanyima uwezo watu kujua kwa uhakika, bila mjadala wala maswali, kuwa yeye Mungu yupo.

Mungu angekuwapo kweli, isingewezekana kuwa na mjadala kuhusu uwepo wake.

Uwepo wake ungejulikana, ungejulikana kwa wote, wakati wote, pahali pote, muda wote, bila shaka yoyote, kwa namna ambayo mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana.

Kwa hiyo, ukiona swali, mjadala, mabishano yoyote, kuhusu uwepo wa Mungu, hilo swali, huo mjadala, hayo mabishano, ni uthibitisho kuwa huyo Mungu hayupo.

Yani huyo Mingu ni kwa kwenye hadithi za kutungwa na watu tu, zaidi ya hizo hadithi, hayupo.
I kufikiri na wa kufanya mambo mbalimbali anaamua yeye mwenyewe anayeumba. Ulitakaje, viumbe wawe na uweza sawa na muumbaji? Utukufu na ukuu utabaki ni wake yeye. Ametuumba kwa namna inayompendeza. Na kuna mambo mengi hatuna control nayo, tunabaki kutegemea majaliwa yake.
 
Kiwango cha uwezo

I kufikiri na wa kufanya mambo mbalimbali anaamua yeye mwenyewe anayeumba. Ulitakaje, viumbe wawe na uweza sawa na muumbaji? Utukufu na ukuu utabaki ni wake yeye. Ametuumba kwa namna inayompendeza. Na kuna mambo mengi hatuna control nayo, tunabaki kutegemea mahaliwa yake.
Tatizo ni kwamba philosophers and truth seekers argue in order to find where the truth lies ila ukija kwenye upande wa Imani huo ni upande binafsi and your dealing with opinion not facts.
 
Kiwango cha uwezo

I kufikiri na wa kufanya mambo mbalimbali anaamua yeye mwenyewe anayeumba. Ulitakaje, viumbe wawe na uweza sawa na muumbaji? Utukufu na ukuu utabaki ni wake yeye. Ametuumba kwa namna inayompendeza. Na kuna mambo mengi hatuna control nayo, tunabaki kutegemea majaliwa yake.
Hujathibitisha Mungu yupo.

Unajipigia hadithi zile zile nilizosema kwamba Mungu yupo.

Kama unabisha hizi si hadithi tu, thibitisha huyo Mungu yupo kweli.

Hoyo habari ya "kiwango cha akili" hata mimi naweza kuitumia kusema kuwa kiwango chako cha akili hakijaweza kuelewa kuwa Mungu hayupo.

Utabishaje hapo, kama kweli kiwango chako cha akili hakijafikia uwezo wa kujua juwa Mungu hayupo?
 
Mungu yupo ndani yako. Mara nyingi hufanya kazi kupitia wewe ila kuna kanuni na masharti yake.

Mungu hana huruma na mtu yoyote, mara nyingi anaweza kukupa kile unachokiwaza mara nyingi hata kama ni kibaya

Halazimiki kujibu maombi kwa njia na namna ile unayotaka wewe

Mungu ni wazo na hakuna kitu chochote kinaweza kutokea kabla ya wazo kwanza
Mungu ni wewe mwenyewe.
 
Mnapochanganyikiwa wengi ni hapo kudhani Mungu ni mwenye huruma tu, ni mwenye upendo tu na ukimuomba chochote atakupa kirahisi tu
 
Nadharia ya uwepo wa Mungu inafanya kazi pale upeo wakufikiri wa mhusika unapofika kwenye koma.

Mfano, ulimwengu na vyote vimetoka wapi,....MUNGU
Kwenye moja ya maandiko ndani ya bibilia, yanasema UKOMA ulikuwa ni laana na adhabu toka kwa Mungu...ulipopata dawa wakasogeza magoli.

Hivyo, Mungu ni HISIA.
 
Mwamba uliyemtag anapenda Sana hizi mada😅
Ni mada zilizo katikati ya mambo mengi sana yanayoongoza maisha yetu.

Mada za utamaduni, uchumi, siasa, , falsafa, mambo ya jamii, huwezi kuziongelea bila kugusa habari hii.

Na mimi mara zote napenda kuangalia viini vya mambo.

Mfano, unaweza kufikiri kuwa matatizo yetu mengi ya siasa, ya uongozi mbovu, ya uchumi mbaya, ya kutoheshimu haki za binadamu hayahusiani na hiki swali, lakini kuna mstari wa moja kwa moja kati ya matatizo haya na hii imani.
 
I disagree, if you're statement is real can you prove it with vivid reasons.
Kabla umesema Mungu ni wazo tu (imaginary)

Je kuna kitu gani kingine unaweza kuleta hapa duniani bila kuwa na wazo kwanza?

Vitu vyote vinaanza kwa wazo tu kwanza, haijalishi ni kikubwa kiasi gani leo lakini kabla lilikuwa ni wazo tu kichwani kwa fulani

Hata hii JF kuna mtu aliwaza kwanza ndiyo akaunda hii tovuti, haikutokea tu out of no where
 
Universe is infinity(based on speed of light hatujawahi kupata an edge ya mwisho), this is scientifically proven based on what we have explored as human. Let's try to be more concise what are thoughts, maan yake ni mkusajiko wa taarifa mbalimbali zinazojaribu kuleta maana. How can you compare something real from information?
 
Universe is infinity, this is scientifically proven based on what we have explored. Let's try to be more concise what are though, maan yake ni mkusajiko wa taarifa mbalimbali zinazojaribu kuleta maana. How can you compare something real from information.
Sasa huku ni saa nne usiku, ni lazima nilale sasa. Tukijaaliwa kesho nitaingia tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom