Is God Real?

Is God Real?

Sasa wewe na Ng',ombe mnatofauti gani? Leo wewe unamaamzi ya kumchinja ng'ombe wako, ila na wewe kuna mtu anamaamuzi ya maisha yako ufe leo au kesho.

Mfanano wako wewe na Ng'ombe. Wote hamjui mkifa roho zenu zinaenda wap? Wote hamfamu dakika mbili mbele yenu kipi kitatokea. Wote ni empty set, sema wewe kidogo unamzidi ufahamu ng'ombe ndio maana una uwezi wa kumtawala. Ila sasa kama ulivyo mzidi ufahamu Ng'ombe na kuweza kumtawala basi jua kuna viumbe ambavyo vimekuzidi ufahamu wewe. Kwaio Mungu Muumba mbingu na nchi haitaji kuthibitishwa kwa akili za Mwanadam hizi zenye kikomo nonsense. Ila kama viumbe vyake vimeweza kukutawala kweli unauwezo wa kuhoji uwepo wake????? Seriously
Thibitisha roho ipo.
 
Thibitisha roho ipo.
Yaani ni sawa uwe ndani ya tumbo la Mama yako alafu uombe kithibitishiwa mambo ya nje kua umeumbwa kwa sex n.k. ila mtu ambaye upo nje ya io matrix anaelewa kila kitu.

Tupo ndani ya matrix ya mwili kwaio mambo ya roho yapo ila uwezi kuyafamu kwasababu , we trapped kwenye mwili huu, ndio maan kuna vitabu vingi kila kimoja kina theory zake. Ila iondoi ukweli kua YUPO MUNGU. wanadamu wataweka theory zao nyingi , ila ukweli utabaki kua kweli na uongo utathibitika tu. Kwaio ili update ukwel anzia kua Mungu yupo sasa ndio utafute ukweli kupitia theory tofauti tofauti za Dini

Mimi ukinithibitishia ukifa unaenda wapi basi na Mimi takuthibitishia roho ipo au aipo
 
Yaani ni sawa uwe ndani ya tumbo la Mama yako alafu uombe kithibitishiwa mambo ya nje kua umeumbwa kwa sex n.k. ila mtu ambaye upo nje ya io matrix anaelewa kila kitu.

Tupo ndani ya matrix ya mwili kwaio mambo ya roho yapo ila uwezi kuyafamu kwasababu , we trapped kwenye mwili huu.

Mimi ukinithibitishia ukifa unaenda wapi basi na Mimi takuthibitishia roho ipo au aipo
Hujathibitisha roho ipo.

Umetoa mfano usiohusiana na uthibitisho kwamba roho ipo.

Kwani haiwezekani kuwa tukiwa tumboni hatujui nje kulivyo, na pia roho haipo?

Ukweli kwamba tukiwa tumboni hatujui nje kulivyo unathibitishaje roho ipo?

Kimantiki umefanya logical non sequitur fallacy hapa.

Unajua logical non sequitur fallacy ni nini?

Nimekutaka uthibitishe roho ipo.

Umeshindwa.
 
Mungu yupo ila anamasihara mengi mi nishamwambia naitaji bilion 4 aache masihara sitegemei kanileta apa mi kuwa kijakazi wa Samia kama ana mambo mengi mi anifungulie milango nipate b4 nisolve shida ndogo ndogo za wengine
 
Hujathibitisha roho ipo.

Umetoa mfano usiohusiana na uthibitisho kwamba roho ipo.

Kwani haiwezekani kuwa tukiwa tumboni hatujui nje kulivyo, na pia roho haipo?

Ukweli kwamba tukiwa tumboni hatujui nje kulivyo unathibitishaje roho ipo?

Kimantiki umefanya logical non sequitur fallacy hapa.

Unajua logical non sequitur fallacy ni nini?

Nimekutaka uthibitishe roho ipo.

Umeshindwa.
Sasa unataka nithibitishe kitu usicho kiamini. Wewe uamini kuhusu roho sasa tathibitishaje kitu usicho kiamini.

Aumini katika Mwanzo ila unaamini katika katikati, uamini katika chanjo ila unaamini katika muendelezo. Sasa kama uaminini katika chanzo, kwaio unaamini kuanzia ulipopata ufahamu, sasa mtu wa namna hii utamuelezea habari za mwisho wake kama Mwanzo wake ameshindwa kuuamini? Kama chanzo chake ameshindwa kukiamini je atamini mwisho wake. Kwa kifupi Mimi niishie hapa, wew amini katikati yako bila kuamini Mwanzo wako na mwisho wako. Naamini utabakia hapo hapo katikati milele na wala autakufa.

Ila kama ungeamini Roho ipo, basi wapo watu wengi wangekuthibitishia hapa hapa.
 
Sasa unataka nithibitishe kitu usicho kiamini. Wewe uamini kuhusu roho sasa tathibitishaje kitu usicho kiamini.

Aumini katika Mwanzo ila unaamini katika katikati, uamini katika chanjo ila unaamini katika muendelezo. Sasa kama uaminini katika chanzo, kwaio unaamini kuanzia ulipopata ufahamu, sasa mtu wa namna hii utamuelezea habari za mwisho wake kama Mwanzo wake ameshindwa kuuamini? Kama chanzo chake ameshindwa kukiamini je atamini mwisho wake. Kwa kifupi Mimi niishie hapa, wew amini katikati yako bila kuamini Mwanzo wako na mwisho wako. Naamini utabakia hapo hapo katikati milele na wala autakufa..
Nataka uthibitishe kwa sababu kuamini hakutoshi kufanya kitu kiwe cha kweli.

Unaweza kuamini hata uongo.

Unaweza kuamini wewe ni mtoto wa Donald Trump, rais wa Marekani.

Je, kuamini hivyo kunaweza kukufanya wewe uwe mtoto wa Donald Trump, rais wa Marekani, kama wewe si mtoto wa Donald Trump kweli?

Hakukufanyi uwe mtoto wa Donald Trump.

Kwa hiyo, kuamini kitu hakufanyi kiwe kweli.

Uthibitisho ndio unatenganisha uongo na ukweli.

Umeelewa hapo?

Kiranga ifike mahali watu wakubali tu hamna kitu kinaitwa roho ni kitu Cha kufikirika tu. Japo kwa fikra za watu tafasri yake ni ifahamu based on logical thinking au wengine hudhani general functionality ya kiumbe hai kuwa na maisha ndio roho ila hichi tu ni uongo. Watu fudee hata wachinje mikoa kadhaa tuache kujipa Imani kuna kitu kinaitwa roho kitatoka huko kuja kumtesa, ni fikra tu we are not special duniani kama wanadamu tupo kwenye ecosystem ya kufa ili vingine viishi bila hivyo Dunia isinge exist kwa hiyo population, kugombania chakula, maskani.mm nk
 
Ndiyo maana mpaka sasa ukitaka uthibitisho, wathibitishe hiyo roho ipo, unapata hadithi tu.

As long ago as the times of Buddha and Socrates people already knew this is a mere myth.

And yet until today, some people still believe it.
 
Wewe ni mungu (una kikomo chako na unaweza kuumba chochote kutokana na vilivyopo tayari) na yupo yeye sasa ambaye ni Mungu au MUNGU (yeye hana kikomo na anaweza kuumba chochote bila kutumia chochote)
Mbona aliumba binadamu kwa kutumia udongo?!
 
Let's begin again with our endless debate. Questioning authority and culture ili tupate ukweli ulipo lala?
You ain’t serious! If we can’t meaningfully participate in a debate surrounding an easier subject such as stem cell research or artificial intelligence, what makes you think we can meaningfully participate in a debate surrounding the existence of God?
 
Kwamba kina newton na hao uliowataja kuamini Mungu ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu?
Wazee wa THIBITISHA.

Kwa akili zetu finyu na limited tunamuwekea Mungu standards za kuthibiitishwa kama juice za moo! kama TBS yani!

Kwa akili zetu chache, tunataka kumpangia, Mungu nini afanye na nn asifanye. "kama kuna mungu kwa nini kuna njaa" moja ya reasoning ya kipuuzi kabisa

Mungu ni mysterious, sisi binadamu atuwezi kumfahamu kama tunavyotamani kumfahamu, kitendo cha kuanziasha mjadala kama huu na kuomba uthibitisho wake ni jibu kuwa mnaamini Mungu yupo lakini ni mysterious one, na yeye yupo nje ya uelewa wetu, kushindwa kumthibitisha hakufanyi Mungu hayupo bali kunaonesha sisi ni wadunchu sana kwake kupata majibu ya tunayo jiuliza. Mungu haitaji uthibitisho mkubwa wa kisayansi na vitabu pages kwa pages No. ni simple common sense ya mtoto wa miaka 9 inakwambia Mungu yupo

Mfano wa sisimizi na binadamu, Inawezekana sisimizi akawa anakuwaza min -me kama ni limungu flani unaweza ukambinya sisimizi kwa kijidole tu akakulaani au unaweza kudondosha visukari sisimizi akapita akakuona bonge la msaada, lakin milele sisimizi huo asielewe kwanini na kivipi unaweza kufanya unayomfanyia na sisimizi huyo anaweza akakuhoji kama wewe ni mungu au ni kiumbe gani lakini hasipate majibu, Kumbuka mpaka sisimizi amefika hatua ya kuhoji ni kwamba ameshakumbana na mikasa kwa kubinywa na kidole chako na mkasa wa kupewa sukari, so technically anajua kuna likiumbe lipo ila hana majibu nalo ni likiumbe la aina gani.

sijui kama nimeleweka! lakini sisi ni visismizi kwa Mungu. Kwa maswali yetu tunaojiuliza kila leo tukiyageuza kinyume ni dhahiri mnamzidi ku prove Uwepo wa Mungu na ukuu wake.
 
Kusema kitu kipo nnje ya uelewa, hakithibitishi kuwa kitu kipo , ila kinathibisha kuwa haukielewi, hii inavunja hoja ya mysterious .

Mtoto wa miaka 9 pia ana amini hoja ya santa claus ,ndio maana tunahitaji ushahidi na sio intuition.

Kama Mungu hapimiki wala hawezi thibitika kwa namna yoyote , hii haina tofauti na kutokuwepo kabisa.
 
Wazee wa THIBITISHA.

Kwa akili zetu finyu na limited tunamuwekea Mungu standards za kuthibiitishwa kama juice za moo! kama TBS yani!

Kwa akili zetu chache, tunataka kumpangia, Mungu nini afanye na nn asifanye. "kama kuna mungu kwa nini kuna njaa" moja ya reasoning ya kipuuzi kabisa

Mungu ni mysterious, sisi binadamu atuwezi kumfahamu kama tunavyotamani kumfahamu, kitendo cha kuanziasha mjadala kama huu na kuomba uthibitisho wake ni jibu kuwa mnaamini Mungu yupo lakini ni mysterious one, na yeye yupo nje ya uelewa wetu, kushindwa kumthibitisha hakufanyi Mungu hayupo bali kunaonesha sisi ni wadunchu sana kwake kupata majibu ya tunayo jiuliza. Mungu haitaji uthibitisho mkubwa wa kisayansi na vitabu pages kwa pages No. ni simple common sense ya mtoto wa miaka 9 inakwambia Mungu yupo

Mfano wa sisimizi na binadamu, Inawezekana sisimizi akawa anakuwaza min -me kama ni limungu flani unaweza ukambinya sisimizi kwa kijidole tu akakulaani au unaweza kudondosha visukari sisimizi akapita akakuona bonge la msaada, lakin milele sisimizi huo asielewe kwanini na kivipi unaweza kufanya unayomfanyia na sisimizi huyo anaweza akakuhoji kama wewe ni mungu au ni kiumbe gani lakini hasipate majibu, Kumbuka mpaka sisimizi amefika hatua ya kuhoji ni kwamba ameshakumbana na mikasa kwa kubinywa na kidole chako na mkasa wa kupewa sukari, so technically anajua kuna likiumbe lipo ila hana majibu nalo ni likiumbe la aina gani.

sijui kama nimeleweka! lakini sisi ni visismizi kwa Mungu. Kwa maswali yetu tunaojiuliza kila leo tukiyageuza kinyume ni dhahiri mnamzidi ku prove Uwepo wa Mungu na ukuu wake.
Circular thinking, less reasoning, no questioning and yet a lot of blah blah come up with evidence man. People are watching they want to here something reasonable to such a debate.
 
You ain’t serious! If we can’t meaningfully participate in a debate surrounding an easier subject such as stem cell research or artificial intelligence, what makes you think we can meaningfully participate in a debate surrounding the existence of God?
Mzee upo out of topic!! No one understands umeandika nini be more concise man.
 
Mtu anaye hoji kua Mungu yupo ni wakuonewa huruma kabisa, maana amekwama kwenye ancient civilization.

Watu wametoka kwenye Imani tofauti kuanzia Hakuna Mungu- Kuna Miungu mingi- Kuna Mungu mmoja (refer safari ya wana wa Israel Mungu anadhiirisha kua ndio Mwenye Nguvu katika Miungu yote). Kweli bado watu wanahoji kuhusu uwepo wa Mungu.

Uwepo wako hapa Dunia kama mtawala wa viumbe vyote ni uthubitisho kuwa na wewe kuna mtu anaekuchunga kama ng'ombe.

Tusirudi kwenye ancient civilization.

Saiz ilibidi tujadili Dini ipi ni Sahihi? Maana zote zinasema Mungu ni mmoja
kila kitu kina chanzo,chanzo cha Mungu ni nini? Je unaweza kuthibitisha uwepo wake?
 
Kwa akili zetu finyu na limited tunamuwekea Mungu standards za kuthibiitishwa kama juice za moo! kama TBS yani
Uongo mkubwa sana huu, haya uliyoandika wala hayatoki kwa Mungu fikra zako na wala hakuna mahala Mungu kasema hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom