Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,756
- 13,855
Mtu anaye hoji kua Mungu yupo ni wakuonewa huruma kabisa, maana amekwama kwenye ancient civilization.
Watu wametoka kwenye Imani tofauti kuanzia Hakuna Mungu- Kuna Miungu mingi- Kuna Mungu mmoja (refer safari ya wana wa Israel Mungu anadhiirisha kua ndio Mwenye Nguvu katika Miungu yote). Kweli bado watu wanahoji kuhusu uwepo wa Mungu.
Uwepo wako hapa Dunia kama mtawala wa viumbe vyote ni uthubitisho kuwa na wewe kuna mtu anaekuchunga kama ng'ombe.
Tusirudi kwenye ancient civilization.
Saiz ilibidi tujadili Dini ipi ni Sahihi? Maana zote zinasema Mungu ni mmoja