Is God Real?

Is God Real?

Upo shambani unapanda maharagwe,
Unachimba shimo unatupia mbegu ya maharage kwenye shimo kisha unafukia unamaliza kupanda unarudi zako nyumbani.

Kwa bahati mbaya wakati unatupia zile mbegu kuna baadhi ya MACHO ya mbegu yalikuwa yanatazama Juu badala ya chini...cha ajabu ukija baada ya siku 3 utakuta mbegu zote (Zilizogeuza macho juu na zilizo elekeza macho chini)Zote zimeota.
NANI ALIYEZIGEUZA ZILE MBEGU ZA ZILIZOTAZAMA JUU ZIELEKEE CHINI NA KUTOA MZIZI KISHA MBEGU KUOTA?
Soma Quran Surah Al-Waaqi‘ah (56:63–64)
 
Gravitropism & phototropism
 
“Kutokumwona Mungu kwa macho, haimaanishi hayupo.
Kama vile hauoni akili, lakini unajua ipo kwa matendo yake.”
Wisdom mzee Neuro-studies Zina deal na nini? Watu wanafumuliwa vichwa tunathibitisha akili ipo, wanasayansi wanaweza kutibu hata mshipa mdogo wenye shida ndani ya ubongo??? Yet not everything can be compared we live by being programmed whereby with human ability to reason helps us to make decision.

Nadhani bado unarudi kulekule kwenye source nenda direct kwenye fact kesho wanasayansi waje wathibitishe kwako kweli mnachokisema ni kweli.
 
Watu wa imani wanafeli sna kufanya imani iwe ni hoja ya ukweli na hakika , wakati hata lengo la imani sio hilo
 
Nitajie mkulima gani aliyewahi kuyengeneza hizi kanuni?

Me huwa nadhani Wasomi ndo wangekuwa watu wa mwanzo kumjua Mungu ila ninachokiona kwa wasomi nyinyi nachoka kabisa.
Kuyengeneza ni nini hapo umeniacha
 
Watu wa imani wanafeli sna kufanya imani iwe ni hoja ya ukweli na hakika , wakati hata lengo la imani sio hilo
Lengo la imani hata kibibilia ni kuijua kweli ili watu wawe huru. Sasa wanapojaribu kukwepa facts inamaana they don't know what they are talking about, watu wengi ni programmed less reasoning.
 
Nitajie mkulima gani aliyewahi kuyengeneza hizi kanuni?

Me huwa nadhani Wasomi ndo wangekuwa watu wa mwanzo kumjua Mungu ila ninachokiona kwa wasomi nyinyi nachoka kabisa.
Kumjua kivipi wakati hata hao wenye Imani hawajui wanaongea nini wengi wamerithi tamaduni na imani za walipotoka.
 
Mtu anaye hoji kua Mungu yupo ni wakuonewa huruma kabisa, maana amekwama kwenye ancient civilization.

Watu wametoka kwenye Imani tofauti kuanzia Hakuna Mungu- Kuna Miungu mingi- Kuna Mungu mmoja (refer safari ya wana wa Israel Mungu anadhiirisha kua ndio Mwenye Nguvu katika Miungu yote). Kweli bado watu wanahoji kuhusu uwepo wa Mungu.

Uwepo wako hapa Dunia kama mtawala wa viumbe vyote ni uthubitisho kuwa na wewe kuna mtu anaekuchunga kama ng'ombe.

Tusirudi kwenye ancient civilization.

Saiz ilibidi tujadili Dini ipi ni Sahihi? Maana zote zinasema Mungu ni mmoja
 
Uwepo wa Mungu ni philosophical beliefs, sio real kisayansi, ila ni inaweza kuonekana ni real ndani ya akili ya mtu aliye taka kuamini hivyo
Sayansi gani unayoisema min -me
Newton
albert
schondinger
na wengine wengi tu wanakupiga... sayansi gani unayoijua wewe ambayo haiamni Mungu.
 
Attachments

  • Screenshot_20260124-225031~2.jpg
    Screenshot_20260124-225031~2.jpg
    75.8 KB · Views: 3
Sayansi gani unayoisema min -me
Newton
albert
schondinger
na wengine wengi tu wanakupiga... sayansi gani unayoijua wewe ambayo haiamni Mungu.
Kwamba kina newton na hao uliowataja kuamini Mungu ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu?
 
Mtu anaye hoji kua Mungu yupo ni wakuonewa huruma kabisa, maana amekwama kwenye ancient civilization.

Watu wametoka kwenye Imani tofauti kuanzia Hakuna Mungu- Kuna Miungu mingi- Kuna Mungu mmoja (refer safari ya wana wa Israel Mungu anadhiirisha kua ndio Mwenye Nguvu katika Miungu yote). Kweli bado watu wanahoji kuhusu uwepo wa Mungu.

Uwepo wako hapa Dunia kama mtawala wa viumbe vyote ni uthubitisho kuwa na wewe kuna mtu anaekuchunga kama ng'ombe.

Tusirudi kwenye ancient civilization.

Saiz ilibidi tujadili Dini ipi ni Sahihi? Maana zote zinasema Mungu ni mmoja
Duh tumekua ng'ombe tena?
 
Umerudia kusoma ulicho andika?
 
Duh tumekua ng'ombe tena?
Sasa wewe na Ng',ombe mnatofauti gani? Leo wewe unamaamzi ya kumchinja ng'ombe wako, ila na wewe kuna mtu anamaamuzi ya maisha yako ufe leo au kesho.

Mfanano wako wewe na Ng'ombe. Wote hamjui mkifa roho zenu zinaenda wap? Wote hamfamu dakika mbili mbele yenu kipi kitatokea. Wote ni empty set, sema wewe kidogo unamzidi ufahamu ng'ombe ndio maana una uwezi wa kumtawala. Ila sasa kama ulivyo mzidi ufahamu Ng'ombe na kuweza kumtawala basi jua kuna viumbe ambavyo vimekuzidi ufahamu wewe. Kwaio Mungu Muumba mbingu na nchi haitaji kuthibitishwa kwa akili za Mwanadam hizi zenye kikomo nonsense. Ila kama viumbe vyake vimeweza kukutawala kweli unauwezo wa kuhoji uwepo wake????? Seriously
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom